Kanitumia nauli, sijaenda

Kanitumia nauli, sijaenda

Danh mkuu umenikumbusha mtoto wangu angekua na miaka minne sasa hivi kama mama yake asingekula nauli... Qudadadeki zake popote alipo

[emoji41]
 
Nyinyi ndo hawa
IMG-20191107-WA0018.jpeg
 
Dada yako, Marehemu alikuwa anaitwa Beatrice Mvungi,
Yeye mwenyewe alikuwaga Jambazi wa kukimbia na pesa za wanaume kama wewe, ila unakumbuka vzr kilichompata Dada ako
Unamjua? Usipende kutaja majina humu
 
Soon dawa yako ipo jikoni. Usione wale gunia 2 za mkaa,risasi 3 za kifua,mapanga 8 ya kichwa,ukafikiri mambo yalianzia kwa shetani. Yalianza mdogo mdogo kama unavyotaperi hivi. Usifikiri mabaharia wanatulia tu wakiibiwa
Mi mtoto wa kiArusha wewe
 
Nimemkomesha. Kanitumia nauli akajua ntaenda mi sijaenda. Ananipigia sipokei. Akiendelea nampiga block

Kiendacho kwa mganga always hakirudi

Atakuwa mpuuzi akiumia,

Unapotuma nauli ni probability yaani kamali

Either aje upate au aingie mitini na kukublok nikawaida kabisa
 
Back
Top Bottom