Kanitumia nauli, sijaenda

Kanitumia nauli, sijaenda

Nimemkomesha. Kanitumia nauli akajua nitaenda mimi sijaenda. Ananipigia sipokei. Akiendelea nampiga block
Ccm ndo mlivyo, mmezoea dhulma, mrudishie hela yake, sasa kama hutaki kwenda hela ya watu umechukua ya nini, hivi dunia ya leo kweli ni ya kukimbia na pesa ndogo kama nauli, mbona unajishusha hadhi sana dear, thamani yako na utu wako ni kubwa kuliko hiyo nauli

Au lumumba hawawalipi?
 
nauli yonyew haikuzidi 20k, lakini jane kaifungulia uzi hahah
 
Kawaida hio mbona ila umempa somo kuwa nyie sio wa kuhurumia ndio maana mnazalishwa wengi wenu na kuwa singol mathsa. Huyu inatakiwa asikate tamaa awe sirias hadi akupate akikupata akutelekeze ili akili ikuingie kwenye papuchi
 
Nishawahi kumlia manzi flani nauli kipindi long Sana Mjini Munich
 
Back
Top Bottom