KANJANJA LA CLOUDS: sema na hili la mrundi usigharamiwe harusi

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Mzee chawa mwenyewe full shobo dundo usizojua hata kuzi balance,zee la kuleta historia za miaka 6 hadi 10 ya new signings za utopolo naku challenge useme hili kuhusu bwana Bigirimana kama utagharamiwa harusi yako na maboss zako hao unaojitahidi kuwafurahisha na somo la historia

Bigirimana wakati anatolewa kwa mkopo kwenda Rangers from newcastle huku akilipwa pounds 5000 kwa week newcastle na yeye mwenyewe walificha kwamba jamaa ni mgonjwa wa HEPATISIS C mimi siyo doctor najua ni hatari na una tabia ya kujrudia au kudhoofisha mwili

Akiwa Rangers hakucheza mechi hata moja na kocha wao alikuwa furious baada ya hapo waka m dump,newcastle hawakumtaka wakmuweka team B kisha akazurura zururra ikiwepo kupita team ya ndondo a non league club iitwayo solihul moors

Chronic hepatitis C can be a serious disease resulting in long-term health problems, including liver damage, liver failure, cirrhosis, liver cancer, and even death. It is the most common reason for liver transplantation in the United States

Mzee wa historia usisahau kutuambia pia ana rekodi ya kuachwa ukiacha mbali kutoka coventry to newcastle 2012 bada aya hapo yeye ni kuachwa tu hata motherwell ya scotland walimuacha, glentoran walimuacha , rangers hakucheza sababu mgonjwa wa INI,usije kukuta hata ile team ya nondo isiyocheza league solihul moors walimuacha

*BWANA KANJANJA I DARE YOU KUANDIKA HAYA HASWA LA UGONJWA NA HUYO JAMAA KUCHEZA na la kucheza LIGI YA NDONDO MAAANA ULIVYOJITOA FAHAMU KUFUKUZIA UGHARIMIWE HARUSI YA ULIYEMVALISHA PETE HADI INASIKITISHA..JITAHIDI KU BALANCE SHOBO

a.JPG
b.JPG
 
Piga kelele weee lakini Mwamba ndio ameshatua Dar Young Africa. Kama anaumwa au Mgonjwa sisi tunacho hitaji kipaji alichonacho ata Nwanko Kanu aliachwa na International Milan Kwa tatizo la moyo ila alipokua aki itumikia Arsenal alionyesha umwamba wake kwenye soka.
 
Sawa ni vizuri kanjanja yule wa clouds akahadithia kwenye somo lake la historia za new signings za utopolo
 
Wee kumbe jamaa ni mgonjwa siriaz sasa hapa yanga wamefanya kitu cha hatari ...maana huko ulaya wenyewe wa taalam wa afya wame nyoosha mikono sasa ndio unataka kusema hapa africa wataweza ?

Unless waseme wamemleta ili wakamtibie kwa mganga wa asili
 
Mzee chawa mwenyewe full shobo dundo usizojua hata kuzi balance,zee la kuleta historia za miaka 6 hadi 10 ya new signings za utopolo naku challenge useme hili kuhusu bwana Bigirimana kama utagharamiwa harusi yako na maboss zako hao unaojitahidi kuwafurahisha na somo la historia

Bigirimana wakati anatolewa kwa mkopo kwenda Rangers from newcastle huku akilipwa pounds 5000 kwa week newcastle na yeye mwenyewe walificha kwamba jamaa ni mgonjwa wa HEPATISIS C mimi siyo doctor najua ni hatari na una tabia ya kujrudia au kudhoofisha mwili

Akiwa Rangers hakucheza mechi hata moja na kocha wao alikuwa furious baada ya hapo waka m dump,newcastle hawakumtaka wakmuweka team B kisha akazurura zururra ikiwepo kupita team ya ndondo a non league club iitwayo solihul moors

Chronic hepatitis C can be a serious disease resulting in long-term health problems, including liver damage, liver failure, cirrhosis, liver cancer, and even death. It is the most common reason for liver transplantation in the United States

Mzee wa historia usisahau kutuambia pia ana rekodi ya kuachwa ukiacha mbali kutoka coventry to newcastle 2012 bada aya hapo yeye ni kuachwa tu hata motherwell ya scotland walimuacha, gelentoran walimuacha , rangers hakucheza sababu mgonjwa wa INI,usije kukuta hata ile team ya nondo isiyocheza league solihul moors walimuacha

*BWANA KANJANJA I DARE YOU KUANDIKA HAYA HASWA LA UGONJWA NA HUYO JAMAA KUCHEZA LIGI YA NDONDO MAAANA ULIVYOJITOA FAHAMU KUFUKUZIA UGHARIMIWE HARUSI YA ULIYEMVALISHA PETE HADI INASIKITISHA..JITAHIDI KU BALANCE SHOBO

View attachment 2287990View attachment 2287991
Hii mimba ukekaribia kuzaa sogea kituo cha afya kilicho karibu na wewe
 
Yes ni mgonjwa wa Hepatisis c newcastle walimtoa loan kwa ajili hiyo wakawaficha Rangers baada ya hapo jamaa career yako ilidumbukia chooni kabisa
Kwa hiyo unataka tukusaidie nini? Tukuchangie hela ya kumpeleka hospitali? Maana inawezekana wewe ndiyo mke wake bila shaka.
 
Mzee chawa mwenyewe full shobo dundo usizojua hata kuzi balance,zee la kuleta historia za miaka 6 hadi 10 ya new signings za utopolo naku challenge useme hili kuhusu bwana Bigirimana kama utagharamiwa harusi yako na maboss zako hao unaojitahidi kuwafurahisha na somo la historia

Bigirimana wakati anatolewa kwa mkopo kwenda Rangers from newcastle huku akilipwa pounds 5000 kwa week newcastle na yeye mwenyewe walificha kwamba jamaa ni mgonjwa wa HEPATISIS C mimi siyo doctor najua ni hatari na una tabia ya kujrudia au kudhoofisha mwili

Akiwa Rangers hakucheza mechi hata moja na kocha wao alikuwa furious baada ya hapo waka m dump,newcastle hawakumtaka wakmuweka team B kisha akazurura zururra ikiwepo kupita team ya ndondo a non league club iitwayo solihul moors

Chronic hepatitis C can be a serious disease resulting in long-term health problems, including liver damage, liver failure, cirrhosis, liver cancer, and even death. It is the most common reason for liver transplantation in the United States

Mzee wa historia usisahau kutuambia pia ana rekodi ya kuachwa ukiacha mbali kutoka coventry to newcastle 2012 bada aya hapo yeye ni kuachwa tu hata motherwell ya scotland walimuacha, glentoran walimuacha , rangers hakucheza sababu mgonjwa wa INI,usije kukuta hata ile team ya nondo isiyocheza league solihul moors walimuacha

*BWANA KANJANJA I DARE YOU KUANDIKA HAYA HASWA LA UGONJWA NA HUYO JAMAA KUCHEZA na la kucheza LIGI YA NDONDO MAAANA ULIVYOJITOA FAHAMU KUFUKUZIA UGHARIMIWE HARUSI YA ULIYEMVALISHA PETE HADI INASIKITISHA..JITAHIDI KU BALANCE SHOBO

View attachment 2287990View attachment 2287991
Mtagugu sana in dsm's RC voice
 
Sasa priva ana akili wenzake wote wanamkataa pale CLOUDS akiwepo yeye kila kitu kinavurugika kiufupi jamaa ni kilaza hyo Sheria sijui kaipata vipi huko udom haya mambo ya connection kwenye kazi ndo yanasababisha yote.
 
Priva ni mtopolo sasa kwa anawakaanga uto wenzake? Halafu inasemekana ni boflo flani hivi
 
Back
Top Bottom