KANJANJA LA CLOUDS: sema na hili la mrundi usigharamiwe harusi

KANJANJA LA CLOUDS: sema na hili la mrundi usigharamiwe harusi

Mzee chawa mwenyewe full shobo dundo usizojua hata kuzi balance,zee la kuleta historia za miaka 6 hadi 10 ya new signings za utopolo naku challenge useme hili kuhusu bwana Bigirimana kama utagharamiwa harusi yako na maboss zako hao unaojitahidi kuwafurahisha na somo la historia

Bigirimana wakati anatolewa kwa mkopo kwenda Rangers from newcastle huku akilipwa pounds 5000 kwa week newcastle na yeye mwenyewe walificha kwamba jamaa ni mgonjwa wa HEPATISIS C mimi siyo doctor najua ni hatari na una tabia ya kujrudia au kudhoofisha mwili

Akiwa Rangers hakucheza mechi hata moja na kocha wao alikuwa furious baada ya hapo waka m dump,newcastle hawakumtaka wakmuweka team B kisha akazurura zururra ikiwepo kupita team ya ndondo a non league club iitwayo solihul moors

Chronic hepatitis C can be a serious disease resulting in long-term health problems, including liver damage, liver failure, cirrhosis, liver cancer, and even death. It is the most common reason for liver transplantation in the United States

Mzee wa historia usisahau kutuambia pia ana rekodi ya kuachwa ukiacha mbali kutoka coventry to newcastle 2012 bada aya hapo yeye ni kuachwa tu hata motherwell ya scotland walimuacha, glentoran walimuacha , rangers hakucheza sababu mgonjwa wa INI,usije kukuta hata ile team ya nondo isiyocheza league solihul moors walimuacha

*BWANA KANJANJA I DARE YOU KUANDIKA HAYA HASWA LA UGONJWA NA HUYO JAMAA KUCHEZA na la kucheza LIGI YA NDONDO MAAANA ULIVYOJITOA FAHAMU KUFUKUZIA UGHARIMIWE HARUSI YA ULIYEMVALISHA PETE HADI INASIKITISHA..JITAHIDI KU BALANCE SHOBO




View attachment 2287990View attachment 2287991
Kujificha kwenye ID fake kusikufanye Uwe mpumbavu. Mods Tunaomba uthibitisho wa huu ujinga au chukueni hatua. Ushabiki wa mpira usikiuke Maadili ya faragha za watu. Huyu ni Daktari hadi aseme magonjwa ya watu?
 
Utopolo wanataambaa na chezaji la Newcastle [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kujificha kwenye ID fake kusikufanye Uwe mpumbavu. Mods Tunaomba uthibitisho wa huu ujinga au chukueni hatua. Ushabiki wa mpira usikiuke Maadili ya faragha za watu. Huyu ni Daktari hadi aseme magonjwa ya watu?
We mjinga ,rangers hakucheza sababu ya medical condition...magazeti ya uk yenyewe yameandika ni hepatisis c na snapshot nimeweka we unakuja kulialia hapa,Hovyo kabisa...tungekuwa na waandishi wa kueleweka hili swali angeulizwa sema yamejaa machawa tu
 
Hajasoma udom huyo Mangi, kasoma SUA. Kazi yenyewe kapewa kwa connection ya Mangi mwenzake aliyepo hapo Mawinguni na Wachaga ndo zao hizo kubebana alafu wanashinda humu wanajisifia kusoma.
 
Back
Top Bottom