Mwandishi kanjanja wa Gazeti la Jambo LEO bwana Willy Edward ameandika makala mbili za kumkatisha Tamaa,mchezaji wetu wa kimataifa Haruna Moshi Boban.
Maandishi ya Willy Edward sio ya kizalendo na hayana maslahi yeyote kwa Taifa.
Willy Edward ambaye tumewahi kuambiwa alifukuzwa kazi gazeti la Majira kwa kutokujua kazi ya uandishi.ameibuka na makala kumshutumu BOBAN kuwa kadanganya miaka ya kuzaliwa.
WILLY EDWARD wewe ni mzazi wa BOBAN kiasi ujifanye kumjua kuliko wazazi wake?
utapata nini kuandika makala haya? unataka uoneka wewe ni YANGA ZAIDI na unawakomoa simba. hilo sio jibu Mafanikio ya BOBAN NI MAFANIKIO YA TAIFA.
HIVI WEWE UNA SIFA YA UANDISHI? AU UMEHUDHURIA KOZI ZA WIKI MBILI PALE MTANZANIA?
hehehe huyu mwandishi mshamba kweli na haijui dunia kabisa....we mwandishi hebu nitajie mchezaji star wa kiafrika ambaye umri wake unaofahamika kwenye club ndiyo umri wake wa kweli???????
.....sasa nakupa fact karibu wachezaji wa kiafrica wote wanarudisha nyuma age yao na wazungu kuwadetect inakua ni vigumu sana kwa sababu biologically watu weusi tuko strong zaidi ya weupe na mtoto wa miaka 18 ulaya kwa kumwangalia ni sawa kabisa na mtu mwenye miaka 27 na kuendelea mweusi.....sasa kwa mabinti ndo taabu kabisa mtoto wa 14yrs wa kizungu ni sawa na mdada mwenye 25yrs na zaidi mweusi.........
.....then mimi naishi na rafiki wa samweli eto'e hapa Europe wa toka kijiji kimoja huko cameroon anamiaka 34 na ni mdogo kwa eto'e but eto'e club yake inajua ana 28yrs...na wakiona perfomance yake uwanjani hawana wasiwasi na hilo.........
so we mwandishi acha stori za kumsakama Boban, kama anauwezo na tallent na club yake imemkubali mwacheni jamani apate riziki yake.....
....WHAT IS AGE BY THE WAY???????.........
.. na hata club yake wakimfukuza leo wewe utapata nini na utafaidika na nini in ua entire life?????????..........
.........mpe moyo kijana aongeze bidii na mazoezi zaidi ili afanikiwe zaidi.....
..... I'M WISHING U ALL THE BEST BOBAN .....just go go go ......
......pigia kelele uongozi mbaya wa nchi,grand corruption,Upendeleo makazini,wizi wa mali za uma,huduma mbaya za jamii, maji,umeme,mfumo wa elimu mbovu,makazi mabovu, taifa halina vission ya kueleweka,...........
...acha vijana wa kimasikini wajitafutie riziki yao mkuu.............haina effect kwa taifa kwa yeye kucheza international soccer akiwa na umri mkubwa bali inalitangaza taifa hususani kwa sekta za utalii na biashara na then kipato cha taifa chaongezeka na kesho wewe waweza ongezewa kamshahara na bosi wako ati...maana wanunuzi wa gazeti wataongezeka ..........
....UNAJUA NI WATALII WANGAPI WANAKUA IMPRESSED KUJA KUPAONA ANAPOTOKA HASHEEM THABEET??? NA NI WANGAPI WATAFANYA THE SAME WANAPOMUONA BOBAN AKI-SCORE GOALS KWA CLUB YAKE?????
.......OPEN UA EYES MY BROTHER.....STAND 4UA COUNTRY ALWAYS......
...WE WAZANI WAMAREKANI WAHAJUI KWAMBA VITA NI MBAYA???? ULISHAWAHI KUSIKIA WAKIWABEZA WANAJESHI WAO KWAMBA WATAENDA SHINDWA VITA HUKO UARABUNI??????..
........USE UA BRAIN AND NOT UA HEAD.
......