Kanjanja willy edward vs haruna moshi

Kanda2,

Unahangaika na hao akina Mwita ambao kwao Dar ni exit tu, si unaona reference zake ni Mwanakijiji and the like. Kwao wao Mwanakijiji ndio mwisho wa kila kitu kwa kuwa wametoka nae milimani wote.
Mkuu hii umeniacha hoi.Mwanakijiji anaishi kwa Jf anachukua habari hapa anaenda kuziuza kwenye magazeti kama KULIKONI na Tanzania Daima.ama kweli watu wako mjini kwa mgongo wa JF.KAMA ALIVYO KANJANJA WILLY EDWARD.
 

Hahaha! Mwita Maranya hivi wewe Simba au Yanga? Hiyo bold: Agrrrrrr! Hivi Maximo naye ni wa kuzungumzia hapa? Ni heri wachezaji wetu "wazee" kuliko kocha huyu feki. Miaka mitatu hata kucheza mechi ya fainali ya chalenji hajawahi kuifikisha timu yetu! Pamoja na sapoti kubwa ya JK, TFF, SBL na mashabiki kibao ambapo hakuna kocha mzalendo aliyewahi kuipata!
Kwangu mimi ni afadhali ya Kibadeni, Mziray, Bendera, Korosso na wengine kibao kuliko Looser Maximo! Kalaghabaho!
 
ilitakiwa boban amchukuliea hatua za kisheria huyu kanjanja willy edward.
 
HARUNA MOSHI SHAABAN "BOBAN"
kijana wa unyanyembe Tabora wengi tunamjua!!!leo kuambiwa ana miaka 22!!!hii hata haiingii akilini!!!
Kwani lazima iingie akili mwako?
 



hehehe huyu mwandishi mshamba kweli na haijui dunia kabisa....we mwandishi hebu nitajie mchezaji star wa kiafrika ambaye umri wake unaofahamika kwenye club ndiyo umri wake wa kweli???????
.....sasa nakupa fact karibu wachezaji wa kiafrica wote wanarudisha nyuma age yao na wazungu kuwadetect inakua ni vigumu sana kwa sababu biologically watu weusi tuko strong zaidi ya weupe na mtoto wa miaka 18 ulaya kwa kumwangalia ni sawa kabisa na mtu mwenye miaka 27 na kuendelea mweusi.....sasa kwa mabinti ndo taabu kabisa mtoto wa 14yrs wa kizungu ni sawa na mdada mwenye 25yrs na zaidi mweusi.........
.....then mimi naishi na rafiki wa samweli eto'e hapa Europe wa toka kijiji kimoja huko cameroon anamiaka 34 na ni mdogo kwa eto'e but eto'e club yake inajua ana 28yrs...na wakiona perfomance yake uwanjani hawana wasiwasi na hilo.........

so we mwandishi acha stori za kumsakama Boban, kama anauwezo na tallent na club yake imemkubali mwacheni jamani apate riziki yake.....
....WHAT IS AGE BY THE WAY???????.........
.. na hata club yake wakimfukuza leo wewe utapata nini na utafaidika na nini in ua entire life?????????..........
.........mpe moyo kijana aongeze bidii na mazoezi zaidi ili afanikiwe zaidi.....
..... I'M WISHING U ALL THE BEST BOBAN .....just go go go ......

......pigia kelele uongozi mbaya wa nchi,grand corruption,Upendeleo makazini,wizi wa mali za uma,huduma mbaya za jamii, maji,umeme,mfumo wa elimu mbovu,makazi mabovu, taifa halina vission ya kueleweka,...........
...acha vijana wa kimasikini wajitafutie riziki yao mkuu.............haina effect kwa taifa kwa yeye kucheza international soccer akiwa na umri mkubwa bali inalitangaza taifa hususani kwa sekta za utalii na biashara na then kipato cha taifa chaongezeka na kesho wewe waweza ongezewa kamshahara na bosi wako ati...maana wanunuzi wa gazeti wataongezeka ..........
....UNAJUA NI WATALII WANGAPI WANAKUA IMPRESSED KUJA KUPAONA ANAPOTOKA HASHEEM THABEET??? NA NI WANGAPI WATAFANYA THE SAME WANAPOMUONA BOBAN AKI-SCORE GOALS KWA CLUB YAKE?????
.......OPEN UA EYES MY BROTHER.....STAND 4UA COUNTRY ALWAYS......
...WE WAZANI WAMAREKANI WAHAJUI KWAMBA VITA NI MBAYA???? ULISHAWAHI KUSIKIA WAKIWABEZA WANAJESHI WAO KWAMBA WATAENDA SHINDWA VITA HUKO UARABUNI??????..
........USE UA BRAIN AND NOT UA HEAD.
......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…