Kano Pillars yapoteza mchezo wa kwanza nyumbani baada ya miaka 12

Pazi

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2011
Posts
2,946
Reaction score
1,815
Kano Pillars ni timu ya mpira wa miguu huko Nigeria ina rekodi ya miaka 12 bila kufungwa nyumbani kwao sasa ndio imefungwa 2-1 na Nasarawa United.

Je kuna timu nyengine ambazo mnazijua hazijafungwa nyumbani au ugenini kwa Muda wa Miaka zaidi ya 5?

===================
===================


Source: DailyPost Nigeria
 
Barcelona haijawai fungwa fifa club world cup nyumban pia super cup kwa zaid ya miaka 5 haijafungwa kwake
 
Barcelona haijawai fungwa fifa club world cup nyumban pia super cup kwa zaid ya miaka 5 haijafungwa kwake

Kiongozi ivi ile michuano ya vilabu ya fifa world cup huaga inafanyika home and away ama inafanyikia kwenye nchi moja ambayo inakua imechaguliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…