HahahahLeo ulivompole unaweza kudhani umelowekwa kwenye barafu
Tuma number PIEMU
Sasa naanzaje kutuma namba mkuu.Umepata pakujifichia
Sure watu sio wema humu kabisa bora kuto kuji exposeYaani anataja hapa mtandao, halafu unatafuta vocha unakwangua unaipiga picha unamtumia PM atapambana nayo huko namba hua siamini hata mimikudisplay kwa mtu jukwaani kizembe na sijawahi
Sure watu sio wema humu kabisa bora kuto kuji expose
Hata sijui wanawezaje kutuma namba humu mkuuKwani wanatumagaje number mkuu
Kanoute nilimuona zaman sana kama mchezaji wa kawaida kabla ajazaliwaWapenzi wa Simba habari zenu
Leo naomba niwachane makavu kuhusu iki kituko mnachokisifia kisa kutokucheka sjui putin
Aisee Huyu mchezaji ni wa kawaida mno kiasi kwamba ukimpeleka ata KMC atasugua benchi sana kwa BARAKA GAMBA MAJOGORO
KANOUTE ni mchezaji asie na faida hasi wala chanya akiwa uwanjani inshort ni USELESS
Hana Creativity yeyote kama kiungo kiufupi kazidiwa hata na (saidi ndemla )
Hana vision yeyote kuna mda mpira unakuja anabutua nikimuangalia nashangaa sana kumuona akicheza simba
Kwa kutegemea kanoute na mzamiru mtafukuza mno ma kocha ila simba tatizo leo ni wachezaji wa kawaida sana
Nunueni wachezaji kama mpo serious otherwise kila game mtayocheza na team yenye viungo wabunifu mtapata tabu sana
Sipo kwenye majaribioKawaida tu embu jaribu PM
Ongezea na Ndala wa Azam Yuphus alitumia nguvu ya pesa dk ya mwisho na alienda mwenyewe kumalizana na mchezaji.Wakati wa Usajili Mo Alijitoa.....
Simba Haina wachezaji ndio maana ilihusishwa na wachezaji zaidi ya kumi na ikaishia kuwakosa wooote.
1.Bambala.
2. MANZOKI.
3.Bobosi.
4.Azizi K
5.Adebayor
6
Orodha ni Ndefu sanaaaaa!
WACHEZAJI MIZIGO.
Banda. .................... .Boko
Sackho. ................... .Nyoni.
Okwa. ............... ...Gadiel.
Dejan. ....................... Mwenda.
Kanute. ......................... Kyombo.
(Akpan)
Onyango.
Ila Simba ikifanya vizuri sifa zote zinaenda Kwa moWakati wa Usajili Mo Alijitoa.....
Simba Haina wachezaji ndio maana ilihusishwa na wachezaji zaidi ya kumi na ikaishia kuwakosa wooote.
1.Bambala.
2. MANZOKI.
3.Bobosi.
4.Azizi K
5.Adebayor
6
Orodha ni Ndefu sanaaaaa!
WACHEZAJI MIZIGO.
Banda. .................... .Boko
Sackho. ................... .Nyoni.
Okwa. ............... ...Gadiel.
Dejan. ....................... Mwenda.
Kanute. ......................... Kyombo.
(Akpan)
Onyango.