Kanoute hana ubora wa kucheza Simba

Kanoute hana ubora wa kucheza Simba

Namtukana anaenza kunitukana huwa sianzi matusi hovyo hovyo. Tunataniana kawaida basi japo matani mengine yanakera ila hamna haja ya matusi.
Sio wewe popoma ni jamaa ivi boya sana ana matusi
 
Tuma number PIEMU

Yaani anataja hapa mtandao, halafu unatafuta vocha unakwangua unaipiga picha unamtumia PM atapambana nayo huko namba hua siamini hata mimikudisplay kwa mtu jukwaani kizembe na sijawahi
 
Yaani anataja hapa mtandao, halafu unatafuta vocha unakwangua unaipiga picha unamtumia PM atapambana nayo huko namba hua siamini hata mimikudisplay kwa mtu jukwaani kizembe na sijawahi
Sure watu sio wema humu kabisa bora kuto kuji expose
 
Matola
Mgunda hawatatufikisha popote pale
 
Wapenzi wa Simba habari zenu

Leo naomba niwachane makavu kuhusu iki kituko mnachokisifia kisa kutokucheka sjui putin

Aisee Huyu mchezaji ni wa kawaida mno kiasi kwamba ukimpeleka ata KMC atasugua benchi sana kwa BARAKA GAMBA MAJOGORO

KANOUTE ni mchezaji asie na faida hasi wala chanya akiwa uwanjani inshort ni USELESS

Hana Creativity yeyote kama kiungo kiufupi kazidiwa hata na (saidi ndemla )

Hana vision yeyote kuna mda mpira unakuja anabutua nikimuangalia nashangaa sana kumuona akicheza simba

Kwa kutegemea kanoute na mzamiru mtafukuza mno ma kocha ila simba tatizo leo ni wachezaji wa kawaida sana

Nunueni wachezaji kama mpo serious otherwise kila game mtayocheza na team yenye viungo wabunifu mtapata tabu sana
Kanoute nilimuona zaman sana kama mchezaji wa kawaida kabla ajazaliwa
 
Mwanzo mlisema banda sio mchezaji baada ya mechi ya jana kila mtu anasema banda angeanza simba angeshinda kweli soka letu kivyetu vyetu.
 
Wakati wa Usajili Mo Alijitoa.....

Simba Haina wachezaji ndio maana ilihusishwa na wachezaji zaidi ya kumi na ikaishia kuwakosa wooote.

1.Bambala.
2. MANZOKI.
3.Bobosi.
4.Azizi K
5.Adebayor
6
Orodha ni Ndefu sanaaaaa!

WACHEZAJI MIZIGO.
Banda. .................... .Boko
Sackho. ................... .Nyoni.
Okwa. ............... ...Gadiel.
Dejan. ....................... Mwenda.
Kanute. ......................... Kyombo.
(Akpan)
Onyango.
Ongezea na Ndala wa Azam Yuphus alitumia nguvu ya pesa dk ya mwisho na alienda mwenyewe kumalizana na mchezaji.
 
Wakati wa Usajili Mo Alijitoa.....

Simba Haina wachezaji ndio maana ilihusishwa na wachezaji zaidi ya kumi na ikaishia kuwakosa wooote.

1.Bambala.
2. MANZOKI.
3.Bobosi.
4.Azizi K
5.Adebayor
6
Orodha ni Ndefu sanaaaaa!

WACHEZAJI MIZIGO.
Banda. .................... .Boko
Sackho. ................... .Nyoni.
Okwa. ............... ...Gadiel.
Dejan. ....................... Mwenda.
Kanute. ......................... Kyombo.
(Akpan)
Onyango.
Ila Simba ikifanya vizuri sifa zote zinaenda Kwa mo
 
Back
Top Bottom