joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
we nifala kila uzi unapost huu utumbo wako,hakuna timu ambayo ina wachezaji wote 26 ni first eleven,lazima kuwe na 11 bora,unataja wakina boko ambao wameshifanyia timu makubwa sana ,na wapo hapo kwa ajili ya heshima zao na wataagwa kwa heshima wakiondoka,huyo gadiel aliondoka kwenu mkiwa mnalia leo unajifanya eti ni mbovu kisa amekutana na wakubwaWakati wa Usajili Mo Alijitoa.....
Simba Haina wachezaji ndio maana ilihusishwa na wachezaji zaidi ya kumi na ikaishia kuwakosa wooote.
1.Bambala.
2. MANZOKI.
3.Bobosi.
4.Azizi K
5.Adebayor
6
Orodha ni Ndefu sanaaaaa!
WACHEZAJI MIZIGO.
Banda. .................... .Boko
Sackho. ................... .Nyoni.
Okwa. ............... ...Gadiel.
Dejan. ....................... Mwenda.
Kanute. ......................... Kyombo.
(Akpan)
Onyango.
Mo kwani zake zile? Za familia zile yeye ndiye msimamizi mkuu.Yusuph Anapesa kuliko mo?
Ongezea na Ndala wa Azam Yuphus alitumia nguvu ya pesa dk ya mwisho na alienda mwenyewe kumalizana na mchezaji.