Kanoute hana ubora wa kucheza Simba

Kanoute hana ubora wa kucheza Simba

Mwanzo mlisema banda sio mchezaji baada ya mechi ya jana kila mtu anasema banda angeanza simba angeshinda kweli soka letu kivyetu vyetu.
Afadhali banda ana akili ila sio sakho
 
w
Wakati wa Usajili Mo Alijitoa.....

Simba Haina wachezaji ndio maana ilihusishwa na wachezaji zaidi ya kumi na ikaishia kuwakosa wooote.

1.Bambala.
2. MANZOKI.
3.Bobosi.
4.Azizi K
5.Adebayor
6
Orodha ni Ndefu sanaaaaa!

WACHEZAJI MIZIGO.
Banda. .................... .Boko
Sackho. ................... .Nyoni.
Okwa. ............... ...Gadiel.
Dejan. ....................... Mwenda.
Kanute. ......................... Kyombo.
(Akpan)
Onyango.
we nifala kila uzi unapost huu utumbo wako,hakuna timu ambayo ina wachezaji wote 26 ni first eleven,lazima kuwe na 11 bora,unataja wakina boko ambao wameshifanyia timu makubwa sana ,na wapo hapo kwa ajili ya heshima zao na wataagwa kwa heshima wakiondoka,huyo gadiel aliondoka kwenu mkiwa mnalia leo unajifanya eti ni mbovu kisa amekutana na wakubwa
 
Yusuph Anapesa kuliko mo?
Mo kwani zake zile? Za familia zile yeye ndiye msimamizi mkuu.

Hivi unawajua watoto wa Bakheresa,hawanaga fujo ila wana mawe.Yusuph ni mtu wa bata kimya kimya.
 
Mo kwani zake zile? Za familia zile yeye ndiye msimamizi mkuu.

Hivi unawajua watoto wa Bakheresa,hawanaga fujo ila wana mawe.Yusuph ni mtu wa bata kimya kimya.
Kuna watu watabisha na hilo unalolisema boss
 
[emoji16]
IMG_20221110_153223.jpg
 
Wewe utakuwa ni utopolo..tuachie timu yetu. Kazi ya defensive midfield sio ya kuremba. Angalia kina Gatusso walivyokuwa wanacheza. Hujui mpira
 
Wewe utakuwa ni utopolo..tuachie timu yetu. Kazi ya defensive midfield sio ya kuremba. Angalia kina Gatusso walivyokuwa wanacheza. Hujui mpira
Asa ana defense nn uyo kanoute?
 
CHAMA DAY 2 .
BADO MOJA MSILIE SANA
NINGEKUWA CHAMA MDA KUONGEZA MSHAHARA HUU ELSE UNAJIPA INJURY MKUU UMRI UNAKATA TAKATA..WAKUJUE..MECHI 2 WANATESEKA KAMA WANA DRIP ZA COV .19..

NJIA NYINGINE .....KESHO MTAKWAMBIA
WATAKUJUA MACHA UMETOKEA MARANGU NA SIO...Z...
 
Ongezea na Ndala wa Azam Yuphus alitumia nguvu ya pesa dk ya mwisho na alienda mwenyewe kumalizana na mchezaji.

Ila mkalawitiwa na waarabu kwenye shirikisho..licha ya kuwa na kina ndala sjui yebo yebo
 
Back
Top Bottom