CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Mkuu ni vyema ulivyosema....
"Unawaelewa"
Hata nikisema nini, hoja yangu haitoeleweka.
Lakini hao Bangala na Aucho kila wakikutana na kanoute huwa wanapoteana, huwa anawini Duels dhidi yao.
Ni wachezaji wa kawaida.
Timu yoyote yenye wachezaji sita wa kiwango 6 cha juu....Simba inabebwa na wachezaji WATANO Hadi SITA kaka.
YANI SIMBA INA WACHEZAJI 6 TU KIKOSI CHA KWANZA.
MANURA.
Kapombe.
Shabalala.
Inonga.
Chama na Saido.
Hawa wachezaji wanaifanya timu Yoote hata wachezaji wa KAWAIDA waone wanaweza.
Unazungukwa na mafundi Hadi unaonekana na wewe mchezaji mzuri.
Bwalya chama Miquesson wanamzunguka boko, au mdhamiru au dilunga., NAE ANAONEKANA MKUBWA.
NDICHO KINACHO TOKEA SIMBA.
Timu yoyote yenye wachezaji sita wa kiwango 6 cha juu....
Basi hiyo ni timu nzuri sana.
But sio against Simba, Yanga hajawahi dominate mpira Vs Simba miaka ya karibuni.Yanga ya msomu uliopota ilikuwa na wachezaji wengi wazuri wa kiwango Cha juu walikuwa wanatokea Katikati.5.
Pembeni Alikuwa ni JUMA Shaban mmoja Tu.
Job.
Bangala.
Aucho
Feisal SALUM.
Mayele.
Ndio maana walikuwa wakidominate possession kwa kiwango Kikubwa.
Nijuavyo Mimi unaweza ukawa unaongoza Darasa unajiona wewe namba 1 kumbe unaongoza jopo la WAJINGA.Timu yoyote yenye wachezaji sita wa kiwango 6 cha juu....
Basi hiyo ni timu nzuri sana.
Lakini hii haielezei kwanini kanoute amekuwa akiwashinda Aucho na Bangala.
Ni kwa sababu amezungukwa ns mafundi? NO
We mwenyewe ukiskia kanoute hayupo Simba siku hiyo unashika kichwa.
Game na raja explains it all......
Alianza Sawadogo akachemsha, akaingia mkude ikawa hovyo zaidi.
Simba inaweza afford cheza Bila Chama, Simba inaweza cheza bila manula, simba inaweza cheza Bila kapombe.
Ila Simba bila kanoute mechi ya kimashindano dhidi ya decent team, unakuwa una mawazo.
Game na Azam, kocha aliulizwa kwanini unamchezesha kanoute huku akiwa na kadi ya Njano na alikuwa anacheza rafu. Huoni Risk?
Alichojibu ni kuwa ningemtoa kanoute napoteza midfield.
Anamapungufu yake......
Ila kwa kikosi cha simba cha sasa, ni mchezaji ambaye akikosekana kikosi hakipangiki.
But sio against Simba, Yanga hajawahi dominate mpira Vs Simba miaka ya karibuni.
But hii reply nimejazia Nyama hapo juu, better check it.
Ww jamaa una ujuaji mwingi na kipumbavu.Nijuavyo Mimi unaweza ukawa unaongoza Darasa unajiona wewe namba 1 kumbe unaongoza jopo la WAJINGA.
Ulienda shule nzuri unashika nafasi ya mwisho.
Mfano Kuna muda yanga ilikuwa mbovu mno ajibu Akawa Nyota Kikosini akapewa Hadi unahodha.
Simba IMEKUWA na TATIZO kubwa Sana KWENYE Hilo eneo kwa Miaka Mingi sana.
Nadhani mtu aliyelitendea Haki ni MATOLA na WA mwisho kabisa Alikuwa Mafisango.
NB ukumbike kanute ni No 8 holding midfilder
Kanute anawaongoza akina Nyoni.
Nyoni kacheza misimu 15 plus.
Mkude wamecheza zaidi ya misimu years 12 plus.
Sawadogo amekuwa majeraha mwaka mzima, na uwezo wake ni mdogo kabisa.
Hizo Mechi za yanga unazo zisemea ni kuwa anakaba zaidi. Jukumu lake linakuwa ni kukaba pamoja na kukaba kwake lakini Simba Lazima Ifungwe.
Ww jamaa una ujuaji mwingi na kipumbavu.
Sema usemavyo ila huo ndo ukweli mtu mwenye kuujua mpila hawezi kubeza uwezo wa Kanute hata siku moja.Asante kaka nitajifunza kuwa mwerevu kutoka kwako.
Akikujibu nitag. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shabiki wa Uto umeonyesha umakini ushauri wako,uko vyedi[emoji123][emoji123]
Ila sasa mkuu Aucho,Mayele,Bangala si wapo kwenye timu yako kwanini mlitolewa mkatupwa kwa maluza?
Huyo Bangala, Aucho, na Mayele, hawataki kuisikia Al Hilal.Simba Ina shida kubwa Mno kwenye Eneo la kiungo.
6 na 8.
1: Kanute na Mzamiru ni No 8 wote wawili.
2: Kanute na Mzamiru wote ni Box to Box.
3. Kanute na Mzamiru wote HAWAJUI kupiga Pass
4: Kanute na Mzamiru ni wapotezaji WAKUBWA Wa Mipira.
5: wote hawawezi Dlibling.
6: wote hawawezi long passes.
Tulikuwa na Simba ya Biriyani kwa sababu ya Uwezo wa Lwanga na Mkude kwenye Passing long and short.
HII SIMBA INGEKUWA NA BANGALA AUCHO NA MAYELE INGECHUKUA UBINGWA CAF 2023.
NB.
UONGOZI UFIKIRIE KUPATA VIUNGO WAWILI 6,8.
Pia wasimsahau Pape NDIAYE.
Mie ndo nampenda balaaa kanouteeeee.Kanute hata alivyofunga magoli makali ya kuua nyoka hakucheka wala kutabasamu, aliishia kuwapungia mikono mashabiki. Kweli huyu ni Putin
Ndiwoooooooooo kipenziii changuuuuuu
Paragraph ya mwisho umetishaaa sanaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]1. Sio mbaya kama itatafutwa pattern nzuri ya kuwatumia wote kiushambuliaji zaidi.
2. Kama wote ni 8 na ni B2B, kuna tatizo gani hapo? Labda iwe sielewi hiyo B2B ina maana gani.
3. Mechi ya Simba na Vipers, niliona pasi zilizofika, zilizidi pasi zote zilizopigwa na Ya ga kwenye mchezo wao na Mazembe nadhani, kama wanashida ya pasi na timu inapiga pasi 500+, pengine wakiboreshwa hawa, itakuwa hatari sana.
4. Hili ni tatizo ila nadhani Ntibanzonkinza ndo mpotezaji mkubwa wa mipira
5. Namba nane wakishindwa ku-dribo ni tatizo, lakini naona possession inakuwa juu kila mechi
6. Long passes inawezekana zinashindikana kwasababu timu kama timu haiwezi au haina counter attacks? Washumbuliaji wakati wanakuwa nyuma ya wings
Mayele ni aina ya mshambuliaji ambaye akipata nafasi 5 za wazi, anatumia moja pamoja na kujua kuji-position vizuri hivyo asingeisaidia Simba kihiiivyo.
Kweli akina Mkude, Thadeo na wafananao walihitajika sana, Mkude alileta uhai kwenye game na Vipers.
Kipimo cha Simba ni waarabu, Mamelody; ndio level anayotakiwa kuwa, kujifananisha....sio timu za confederations na ligi ya mchongo.
Hii comment ingekuwa this day last year, basi ulikuwa sahihi kuhusu uwezo Kanoute & Mzamiru more than 80%.Simba Ina shida kubwa Mno kwenye Eneo la kiungo.
6 na 8.
1: Kanute na Mzamiru ni No 8 wote wawili.
2: Kanute na Mzamiru wote ni Box to Box.
3. Kanute na Mzamiru wote HAWAJUI kupiga Pass
4: Kanute na Mzamiru ni wapotezaji WAKUBWA Wa Mipira.
5: wote hawawezi Dlibling.
6: wote hawawezi long passes.
Tulikuwa na Simba ya Biriyani kwa sababu ya Uwezo wa Lwanga na Mkude kwenye Passing long and short.
HII SIMBA INGEKUWA NA BANGALA AUCHO NA MAYELE INGECHUKUA UBINGWA CAF 2023.
NB.
UONGOZI UFIKIRIE KUPATA VIUNGO WAWILI 6,8.
Pia wasimsahau Pape NDIAYE.
Hii comment ingekuwa this day last year, basi ulikuwa sahihi kuhusu uwezo Kanoute & Mzamiru more than 80%.
Ila today, Hapana. Mzamiru na Kanoute wame-improve in mysterious way.
Swali, Hivi karibuni ulishawahi ona simba imekatika/imezidiwa nafasi ya kiungo wakati mzamiru au Kanoute wapo sehemu ya mchezo? Mechi yeyote ile hata ya kimataifa?
Sasa, Simba wametambua mapungufu yao. Kuepusha aibu ndogo ndogo wameamua kucheza na double pivot CMs who both can defend and attack(Mzamiru & Kanoute). Hawa jamaa wanarotate sometimes Kanoute attacks, Sometimes mzamiru attacks.
N.B Kwa Tanzania au East Africa kabisa hakuna mid ambaye atakupa energy kama mzamiru(He is vital and energetic). I repeat, no one can outwork him. Labda mids za uganda wanaweza sogea sogea kidogo kwa uwezo wake.
Hapa Aucho ni mzuri ila ni very Lazy mid.
Kanoute sio pure No. 6 ila uwezo wake wa ku-defend hauhitaji maelezo. Ila me Kanoute is so good at attaking as 8, angalia currently timu ikiwa inashambulia Kanoute would deliver something.
Sasa Tatizo langu, si hatuna No. 6 or 8. Ila tatizo langu hatuna back up ya mzamiru au Kanoute, akikosekana mmoja kati yao basi pale kati tunapoteana kabisa. Wakikosekana wote basi we are dead.
N.B, Mzamiru na Kanoute in very Underrated Player. Lakini ukitaka kujua ubora wao, wasicheze mechi au uliza viungo wa Timu yeyote pinzani watakupa majibu.
Simple. Ni Lini Aucho na Bangala au Kiungo yeyote wali wa-outperform hawa jamaa?
To add vayolence, Mzamiru ana assist nyingi(5) kuliko playmaker wa Yanga Aziz Ki.