Simba Ina shida kubwa Mno kwenye Eneo la kiungo.
6 na 8.
1: Kanute na Mzamiru ni No 8 wote wawili.
2: Kanute na Mzamiru wote ni Box to Box.
3. Kanute na Mzamiru wote HAWAJUI kupiga Pass
4: Kanute na Mzamiru ni wapotezaji WAKUBWA Wa Mipira.
5: wote hawawezi Dlibling.
6: wote hawawezi long passes.
Tulikuwa na Simba ya Biriyani kwa sababu ya Uwezo wa Lwanga na Mkude kwenye Passing long and short.
HII SIMBA INGEKUWA NA BANGALA AUCHO NA MAYELE INGECHUKUA UBINGWA CAF 2023.
NB.
UONGOZI UFIKIRIE KUPATA VIUNGO WAWILI 6,8.
Pia wasimsahau Pape NDIAYE.
Hii comment ingekuwa this day last year, basi ulikuwa sahihi kuhusu uwezo Kanoute & Mzamiru more than 80%.
Ila today, Hapana. Mzamiru na Kanoute wame-improve in mysterious way.
Swali, Hivi karibuni ulishawahi ona simba imekatika/imezidiwa nafasi ya kiungo wakati mzamiru au Kanoute wapo sehemu ya mchezo? Mechi yeyote ile hata ya kimataifa?
Sasa, Simba wametambua mapungufu yao. Kuepusha aibu ndogo ndogo wameamua kucheza na double pivot CMs who both can defend and attack(Mzamiru & Kanoute). Hawa jamaa wanarotate sometimes Kanoute attacks, Sometimes mzamiru attacks.
N.B Kwa Tanzania au East Africa kabisa hakuna mid ambaye atakupa energy kama mzamiru(He is vital and energetic). I repeat, no one can outwork him. Labda mids za uganda wanaweza sogea sogea kidogo kwa uwezo wake.
Hapa Aucho ni mzuri ila ni very Lazy mid.
Kanoute sio pure No. 6 ila uwezo wake wa ku-defend hauhitaji maelezo. Ila me Kanoute is so good at attaking as 8, angalia currently timu ikiwa inashambulia Kanoute would deliver something.
Sasa Tatizo langu, si hatuna No. 6 or 8. Ila tatizo langu hatuna back up ya mzamiru au Kanoute, akikosekana mmoja kati yao basi pale kati tunapoteana kabisa. Wakikosekana wote basi we are dead.
N.B, Mzamiru na Kanoute in very Underrated Player. Lakini ukitaka kujua ubora wao, wasicheze mechi au uliza viungo wa Timu yeyote pinzani watakupa majibu.
Simple. Ni Lini Aucho na Bangala au Kiungo yeyote wali wa-outperform hawa jamaa?
To add vayolence, Mzamiru ana assist nyingi(5) kuliko playmaker wa Yanga Aziz Ki.