Cancer haijawahi kutibiwa na maombi, maombi ni hatuza za watu wasiopenda kutumia akili/ waliokataa tamaa na maisha.
Stages za cancer zinaVary kila mwaka kutokana na ukubwa wa tumor na jinsi ilivoenea katika mwili
Kama ipo kwenye kizazi Dr anaweza kushauri a ampute kizazi (binadamu huishi bila kizazi)
Pia Dr anaweza kutoa kati ya hizi option
1. Chemotherapy
2. Radiation therapy
3. Hormonal Therapy
4. Immunotherapy
5. Stem cell transplant
Cancer Stage 4 sio mwisho wa maisha, hayo maombi hayatakusaidia chochote, specialist ndio wenye uwezo wa kutoa result ya kipi kifanyike.