makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Kuna mzee aliwahi kunigusia sumu ya nyuki,inatibu kansa ila hatukufikia kwenye dozi yake, ndio alikuwa anafanya utafiti lakini changamoto ni nyingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila makaveli Una fix babake ahaaaKuna mzee aliwahi kunigusia sumu ya nyuki,inatibu kansa ila hatukufikia kwenye dozi yake, ndio alikuwa anafanya utafiti lakini changamoto ni nyingi
Serious, sio fix jambo hili ni serious, na yule mzee ukifika kwake anafuga nyuki, kuna majambo tu yamemkwamisha.Ila makaveli Una fix babake ahaaa
Ahsante kumbe uwezekano wa kupona upoCancer haijawahi kutibiwa na maombi, maombi ni hatuza za watu wasiopenda kutumia akili/ waliokataa tamaa na maisha.
Stages za cancer zinaVary kila mwaka kutokana na ukubwa wa tumor na jinsi ilivoenea katika mwili
Kama ipo kwenye kizazi Dr anaweza kushauri a ampute kizazi (binadamu huishi bila kizazi)
Pia Dr anaweza kutoa kati ya hizi option
1. Chemotherapy
2. Radiation therapy
3. Hormonal Therapy
4. Immunotherapy
5. Stem cell transplant
Cancer Stage 4 sio mwisho wa maisha, hayo maombi hayatakusaidia chochote, specialist ndio wenye uwezo wa kutoa result ya kipi kifanyike.
Ya pili literraly umemwambia halipo ni fiction..yesu utampata wapi ???Stage hiyo hakuna dawa inayosikia.
Just only two ways.
1. Kusubiri kifo
2. Yesu amponye . Hii ya Yesu kumponya ni simple ila kwa maombi ya watumishi matapeli haiwezekani
Sumu hiyo unaipataje makaveliS
Serious, sio fix jambo hili ni serious, na yule mzee ukifika kwake anafuga nyuki, kuna majambo tu yamemkwamisha.
Siwezi kutoa sana details zote hapa, ila jambo ni serious.
Vipo vifaa vya kuvuna sumu, lakini hata nyuki wenyewe kukugonga inapunguza uwezekano wa kupata kNsa.Sumu hiyo unaipataje makaveli
Kwanza pole sana mkuu, Wapo stage 4 waliopona ila wanatofautiana aina ya cancer,Wadau Habari zenu
Mama yangu anasumbuliwa na kansa ya kizazi imefika stage 4 hivi hii stage kuna wagonjwa wamewahi survival
Hii hata chrome vp haiwezekani kwa hiyo mgonjwa kukaa anakuwa haweziMama Kwa hatua aliyopo anahitaji tu Palliative Care, awe karibu na Mungu na Upendo wa kutosha kutoka Kwa wanawe.
Stage 4 maana yake Kansa ni ama imeshafika kwenye kibofu au Mfumo wa chini wa Chakula, au Kwenye Ini, mapafu , mifupa.
Survival ya hatua hii Huwa ni chini ya miaka mitano tangu kugundulika.
Haina matibabu ya kuiponya, sana sana lengo ni kupunguza Kasi ya Ugonjwa kusambaa maeneo mbalimbali ya mwili.
Pole sana Mkuu,tuwapende Mama zetu .
Yesu kashindwa kujiponya asitiwe mijeredi pale msalabani, ataweza kumponya mgonjwa wa kansa? Ivi nyie watu wa dini mmerogwa au, Uyo mungu wenu alikuwa anakunya, anajamba,anasimamisha zakari kwa matamanio akiona msambwanda, hizo sifa zote zinatosha kuonyesha kwamba hakuwa mungu,Stage hiyo hakuna dawa inayosikia.
Just only two ways.
1. Kusubiri kifo
2. Yesu amponye . Hii ya Yesu kumponya ni simple ila kwa maombi ya watumishi matapeli haiwezekani
Ajahah , chizi huyoYa pili literraly umemwambia halipo ni fiction..yesu utampata wapi ???
Aisee pole sana mwamba, Mungu awatie nguvu kwnye kipindi hichi kigumuAhsante wote kwa ushauri dah nasikitika Mgonjwa wangu Amefariki
Pole brooo sana Mungu Ampumzishe Mama msiba upo wapi?Ahsante wote kwa ushauri dah nasikitika Mgonjwa wangu Amefariki
Nasikitika na wewe Ila zaidi nakupa pole ,kaa imara kipindi hichiAhsante wote kwa ushauri dah nasikitika Mgonjwa wangu Amefarikil
Kitunda Tumaini nurseryPole brooo sana Mungu Ampumzishe Mama msiba upo wapi?