Pole sana mkuu.Asante sana kwa ufafanuzi wako mzizimkavu.ugonjwa huu ulimuua mdogo wangu niliyemwachia ziwa miaka 31 iliyopita.alikufa akiwa na miaka kumi.niliambiwa na wazazi kuwa alikuwa na kansa ya damu.sikuelewa ulikuwa na ugonjwa wa namna gani.asante kwa ufafanuzi huu.