Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Salmon, herring n.kSamaki wenye mafuta wanapatikana wapi hao?
Salmon, herring n.k
Wadau
Kwa mujibu wa watafiti kutoka Taasisi ya Utafiti ya Karolinska Stockholm nchini Sweden Wanaume wasiokula sana Samaki wenye mafuta wanauwezekano mkubwa sana wa kupata Kansa ya kibofu Mara 2 au 3 kuliko wanaume wanaokula sana Samaki wenye Mafuta.
Karibuni
NB: Samaki wenye mafuta ni jamii ya 'Salmon' na 'herring'
Alimaanisha "chura" mkuu. Walaji wa mtandao inawahusu hii.Samaki wenye mafuta ndo wapoje hao?
Salmon fish na mackerelSamaki wenye mafuta ndo wapoje hao?
Nakula sana vibua nikahisi nimepona sasaaaaa dah!! Siukwepi huo ugonjwa.Wadau