Kansa ya Kibofu

Kansa ya Kibofu

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,957
Wadau
Kwa mujibu wa watafiti kutoka Taasisi ya Utafiti ya Karolinska Stockholm nchini Sweden Wanaume wasiokula sana Samaki wenye mafuta wanauwezekano mkubwa sana wa kupata Kansa ya kibofu Mara 2 au 3 kuliko wanaume wanaokula sana Samaki wenye Mafuta.
Karibuni
NB: Samaki wenye mafuta ni jamii ya 'Salmon' na 'herring'
 
Salmon, herring n.k

Je! utafiti haujataja kiasi cha chini au juu kabisa anachoshauriwa mwanaume kula ili kuepuka hilo tatizo na pengine kiasi cha juu kabisa ili kuepuka madhara yatokanayo na kuzidisha kiasi kama yapo?
 
Wadau
Kwa mujibu wa watafiti kutoka Taasisi ya Utafiti ya Karolinska Stockholm nchini Sweden Wanaume wasiokula sana Samaki wenye mafuta wanauwezekano mkubwa sana wa kupata Kansa ya kibofu Mara 2 au 3 kuliko wanaume wanaokula sana Samaki wenye Mafuta.
Karibuni
NB: Samaki wenye mafuta ni jamii ya 'Salmon' na 'herring'

Pweza na Ngisi vipi?, kama nao wana mafuta basi wanaume wa Dar HAWAKO hatarini
 
Wadau
Kwa mujibu wa watafiti kutoka Taasisi ya Utafiti ya Karolinska Stockholm nchini Sweden Wanaume wasiokula sana Samaki wenye mafuta wanauwezekano mkubwa sana wa kupata Kansa ya kibofu Mara 2 au 3 kuliko wanaume wanaokula sana Samaki wenye Mafuta.
Karibuni
NB: Samaki wenye mafuta ni jamii ya 'Salmon' na 'herring'
Nakula sana vibua nikahisi nimepona sasaaaaa dah!! Siukwepi huo ugonjwa.
 
weka picha ya hao samaki.
chinook1.jpg

51MwqP2jHdL._SY300_.jpg

salmon fish
 
Back
Top Bottom