Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Mkuu kwenye kuyasaga na kupata unga inawezekanaje bila kuyakausha hayo majani ?
Akitumia alkaline foods atapona maana saratani inapenda acidic environment.CHEMOTHERAPY haiwezi kukuponya KANSA, inakuongezea KANSA. Ni kama unajibanika kwenye TANURU LA MOTO.
Achana na CHEMOTHERAPY, angalia chakula chake cha kila siku ni chakula gani?
Kama una akili timamu, ungelima hapo bustani upande mchicha mwingi ambao hauna MAKEMIKALI, pamoja na KAROTI, hiyo iwe FIRST AID yake.
MAUCHAFU kwenye damu yake pia, SUMUU, UTANDO, MUCUS, afanye namna ya kuondoa yote hayo. DAMU CHAFU.
PAMBANA SANA, ATAPONA KAMA UNA AKILI TIMAMU.
Ukiendelea na MAKEMIKALI na hizo CHEMOTHERAPY utamuangamiza.
Si una twanga kwanza majani mabichi, Kisha una yaanika boss.Mkuu kwenye kuyasaga na kupata unga inawezekanaje bila kuyakausha hayo majani ?
Alkaline food ni zipi uizo ?Akitumia alkaline foods atapona maana saratani inapenda acidic environment.
Pole sanaYapata miaka miwili imepita tangu mke wangu alipogundulika ana saratani ya matiti, tulianza dozi ya CHEMOTHERAPY pale GOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL Ifakara, tulipatiwa jumla ya mizunguko 8 ya CHEMO, hali ilionekana kuwa nzuri ila ndani ya muda mfupi sana uvimbe ulianza tena.
Baada ya kuona uvimbe umeanza upya tulihamia Dodoma BENJAMIN MKAPA napo tulipatiwa chemo 4 kisha ukafanyika upasuaji ili kuondoa titi lililoathirika na saratani, upasuaji amefanya mwezi wa 4 mwaka huu.
Baada ya upasuaji hali ilionekana kama ipo vizuri, ila baada ya miezi ipatayo mi3 mgonjwa ameanza kusumbuliwa tena.
Anasumbuliwa na; MAUMIVU MAKALI SANA MAHALA ALIPOFANYIWA UPASUAJI
KIDONDA KISICHOPONA (kilianza kidogo sana, kama kiji upele, hatimae kikakua. Hakionyeshi dalili ya kupona.
Najua yote ni mipango ya Mungu, ila sina matumaini kama mke wangu anaweza kupona kwa sasa.
KUNA MTU ASHAWAHI KUUGUZA MGONJWA WA SARATANI naomba ushuhuda ambao unaweza nisaidia cha kufanya.
KAMA KUNA DAWA ZA TIBA MBADALA ULITUMIA ZIKASAIDIA, NAOMBA MSAADA PIA.
Kwa sasa mgonjwa yupo tu nyumbani tunasubiri neema ya Mungu
Ushauri wowote pia napokea.
Khaaaaa! Hii dunia ina machizi aisee 🤣🤣🤣🤣Usipoteze hela zako kutafuta tiba mbadala,waulize madaktari wako wakwambie ukweli,kama haiwezekani kupona.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kwenye kihangaikia maisha,kila aina ya kinalowezekana,lazima. Nadhani hata walioleta hiyo mionzi,wanajua ina msaada japo kidogo.
Mtoa mada amesema(kama sikosei ni yeye),kwamba ni titi la karibu na moyo,kama alihofia hiyo mionzi itaathiri moyo. Nadhani wanaoitumia wanajua cha kufanya, kwa hiyo asiache kumpeleka.
Kila mtu kwa zamu yake na kila mtu atapatilizwa kwa namna yake. Kuna msemo siku hizi nimeanza kuuelewa, "tuombeane mwisho mwema"!Ukitaka kujua uzito wa dunia basi vaa viatu vya huyu mleta mada,
Nikupongeze kwa kutomkimbia mkeo kwa dunia ya leo unahitaji tuzo ya kipekee, kuna wanaume humu huwa wanadhihaki nyonyo ndala sasa wako amekatwa na bado unamthamini hivi,
Niliwahi kuona mkaka jirani na nilipokuwa alikuwa na kansa ya koo😭 mwaka juzi, amefariki mwaka jana, yule kaka alikuwa anatoa machozi ya damu yani maji ya machoni ilikuwa ni damu, kwa macho yangu nilikuwa naogopa hata kumtizama, inatisha nyie, tujidao tu ila ukiona u mzima unatembea unaringa ni kwa neema tu, kiukweli sijawahi ku experience hii kitu kusema nina msaada ila majani ya mstafeli kama walivyoandika wadau wengine nasikia yanasaidia kuna kipindi nilikuwa namtengenezea mzee home (kumkinga na tezi dume)tena ngoja nimkumbushe,
Msalimie mgonjwa na pole kwa kuuguza Mungu awatie faraja na kuwafanyia wepesi katika nyakati hizi ngumu
Alkaline food ni zipi uizo ?
Acidic food ni zipi hizo na mifano ?
Asante
Shukurani.Mi ni member mpya sijajua namna ya kuweka link ila Uzi unaitwa hidden cancer cures wa deception
Mkuu naona unamdanganya mgonjwaCHEMOTHERAPY haiwezi kukuponya KANSA, inakuongezea KANSA. Ni kama unajibanika kwenye TANURU LA MOTO.
Achana na CHEMOTHERAPY, angalia chakula chake cha kila siku ni chakula gani?
Kama una akili timamu, ungelima hapo bustani upande mchicha mwingi ambao hauna MAKEMIKALI, pamoja na KAROTI, hiyo iwe FIRST AID yake.
MAUCHAFU kwenye damu yake pia, SUMUU, UTANDO, MUCUS, afanye namna ya kuondoa yote hayo. DAMU CHAFU.
PAMBANA SANA, ATAPONA KAMA UNA AKILI TIMAMU.
Ukiendelea na MAKEMIKALI na hizo CHEMOTHERAPY utamuangamiza.
Hebu mtaalam tuambie ,kuna aina ngapi ya cancer za matiti? Wewe unaweza kutibu aina ipi ya cancer ya matiti?Khaaaaa! Hii dunia ina machizi aisee 🤣🤣🤣🤣
JamAA DAWA TUNAPEWA NA WATU WA MITI SHAMBAUnaweza kumtajia hizo dawa?
Jamaa unazingua Sana, binafsi nawafahamu wagonjwa wa cancer waliopona. Nina mtu alienda south Africa kutafta Tina alifeli ,saizi yupo mtAani kAponaMkuu naona unamdanganya mgonjwa
Yaani cancer itibiwe na mitishamba?
Like really?
Tusidanganyane bwana
Hakuna useless tiba kama hizi za mitishamba,siku hizi zimepewa jina eti tiba mbadala,sio tiba mbadala ni miti shamba!
Ukijua definition ya cancer utajua directly tiba za mitishamba ni uongo mtupu!
Muache aende hospitali waue hizo cancerous cells usituletee uongo wa mitishamba bwana
Cancer ya iniNaomba msaada wako pia katika hili,
Alipatwa na kansa eneo gani?
Hapana aiseeJamaa unazingua Sana, binafsi nawafahamu wagonjwa wa cancer waliopona. Nina mtu alienda south Africa kutafta Tina alifeli ,saizi yupo mtAani kApona