Apumzike kwa amani Mama, hata matibabu ya india hayakusaidia, au alipata ahueni kwa miaka kadhaa
Pole sana mkuuYapata miaka miwili imepita tangu mke wangu alipogundulika ana saratani ya matiti, tulianza dozi ya CHEMOTHERAPY pale GOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL Ifakara, tulipatiwa jumla ya mizunguko 8 ya CHEMO, hali ilionekana kuwa nzuri ila ndani ya muda mfupi sana uvimbe ulianza tena.
Baada ya kuona uvimbe umeanza upya tulihamia Dodoma BENJAMIN MKAPA napo tulipatiwa chemo 4 kisha ukafanyika upasuaji ili kuondoa titi lililoathirika na saratani, upasuaji amefanya mwezi wa 4 mwaka huu.
Baada ya upasuaji hali ilionekana kama ipo vizuri, ila baada ya miezi ipatayo mi3 mgonjwa ameanza kusumbuliwa tena.
Anasumbuliwa na; MAUMIVU MAKALI SANA MAHALA ALIPOFANYIWA UPASUAJI
KIDONDA KISICHOPONA (kilianza kidogo sana, kama kiji upele, hatimae kikakua. Hakionyeshi dalili ya kupona.
Najua yote ni mipango ya Mungu, ila sina matumaini kama mke wangu anaweza kupona kwa sasa.
KUNA MTU ASHAWAHI KUUGUZA MGONJWA WA SARATANI naomba ushuhuda ambao unaweza nisaidia cha kufanya.
KAMA KUNA DAWA ZA TIBA MBADALA ULITUMIA ZIKASAIDIA, NAOMBA MSAADA PIA.
Kwa sasa mgonjwa yupo tu nyumbani tunasubiri neema ya Mungu
Ushauri wowote pia napokea.
Yapata miaka miwili imepita tangu mke wangu alipogundulika ana saratani ya matiti, tulianza dozi ya CHEMOTHERAPY pale GOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL Ifakara, tulipatiwa jumla ya mizunguko 8 ya CHEMO, hali ilionekana kuwa nzuri ila ndani ya muda mfupi sana uvimbe ulianza tena.

Kwa sasa mgonjwa yupo tu nyumbani tunasubiri neema ya
Kitu cha kwanza unatakiwa kujua kuwa Kansa ni nini , kabla hujatafuta tiba sahihiYapata miaka miwili imepita tangu mke wangu alipogundulika ana saratani ya matiti, tulianza dozi ya CHEMOTHERAPY pale GOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL Ifakara, tulipatiwa jumla ya mizunguko 8 ya CHEMO, hali ilionekana kuwa nzuri ila ndani ya muda mfupi sana uvimbe ulianza tena.
Baada ya kuona uvimbe umeanza upya tulihamia Dodoma BENJAMIN MKAPA napo tulipatiwa chemo 4 kisha ukafanyika upasuaji ili kuondoa titi lililoathirika na saratani, upasuaji amefanya mwezi wa 4 mwaka huu.
Baada ya upasuaji hali ilionekana kama ipo vizuri, ila baada ya miezi ipatayo mi3 mgonjwa ameanza kusumbuliwa tena.
Anasumbuliwa na; MAUMIVU MAKALI SANA MAHALA ALIPOFANYIWA UPASUAJI
KIDONDA KISICHOPONA (kilianza kidogo sana, kama kiji upele, hatimae kikakua. Hakionyeshi dalili ya kupona.
Najua yote ni mipango ya Mungu, ila sina matumaini kama mke wangu anaweza kupona kwa sasa.
KUNA MTU ASHAWAHI KUUGUZA MGONJWA WA SARATANI naomba ushuhuda ambao unaweza nisaidia cha kufanya.
KAMA KUNA DAWA ZA TIBA MBADALA ULITUMIA ZIKASAIDIA, NAOMBA MSAADA PIA.
Kwa sasa mgonjwa yupo tu nyumbani tunasubiri neema ya Mungu
Ushauri wowote pia napokea.
Yapata miaka miwili imepita tangu mke wangu alipogundulika ana saratani ya matiti, tulianza dozi ya CHEMOTHERAPY pale GOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL Ifakara, tulipatiwa jumla ya mizunguko 8 ya CHEMO, hali ilionekana kuwa nzuri ila ndani ya muda mfupi sana uvimbe ulianza tena.
Baada ya kuona uvimbe umeanza upya tulihamia Dodoma BENJAMIN MKAPA napo tulipatiwa chemo 4 kisha ukafanyika upasuaji ili kuondoa titi lililoathirika na saratani, upasuaji amefanya mwezi wa 4 mwaka huu.
Baada ya upasuaji hali ilionekana kama ipo vizuri, ila baada ya miezi ipatayo mi3 mgonjwa ameanza kusumbuliwa tena.
Anasumbuliwa na; MAUMIVU MAKALI SANA MAHALA ALIPOFANYIWA UPASUAJI
KIDONDA KISICHOPONA (kilianza kidogo sana, kama kiji upele, hatimae kikakua. Hakionyeshi dalili ya kupona.
Najua yote ni mipango ya Mungu, ila sina matumaini kama mke wangu anaweza kupona kwa sasa.
KUNA MTU ASHAWAHI KUUGUZA MGONJWA WA SARATANI naomba ushuhuda ambao unaweza nisaidia cha kufanya.
KAMA KUNA DAWA ZA TIBA MBADALA ULITUMIA ZIKASAIDIA, NAOMBA MSAADA PIA.
Kwa sasa mgonjwa yupo tu nyumbani tunasubiri neema ya
Zamani wazazi wetu Walirithi tiba asili , lakini Sasa hivi tiba asili ni Kisayance kabisa , Mimi nashikilia kampuni tiba asili namba 1 duniani , makao makuu yake ni Marekani ( TCM / Traditional Chinese Medicine) lazima uende darasani usome na ufanye mitihani , ujue mwili ukoje ,Mifumo yake utendaji Kazi wake , tabia ya kila mfumo , na mfumo huu unadhibiti vitu gani , na ili mfumo ufanye Kazi sawasawa kipi Husababisha , Magonjwa hutokana na nini , na ili mtu aumwe shida inakuwa nini , na dalili kadha wa kadha mwili huonesha ni matatizo gani ,Pole, lakini lazima NIKUAMBIE UKWELII.
Hiyo unayoiita TIBA MBADALA ndio TIBA HALISI, Mimea ya asili yenye nguvu ya kukuponya na kuhuisha mwili dhidi ya maradhi ya aina yoyote.
Hayo MAKEMIKALI ndio yalipaswa kuwa TIBA MBADALA. Ukishafeli kutumia MIMEA SAFI (kitu ambacho hakiwezekani) sasa ndio ukajijaze MAKEMIKALI MACHAFU na MIONZI.
Mkiambiwa MNABEZA, ooohh MIMEA NI UCHAWI! Haya sasa!!!!! Umerudi kule kule!!!
Oooohh, wewe hujui sayansi, wewe mchawiii!! Sayansi yenyewe ndio hiyo, umelipa MAMILIONI ukajazwa MIONZI LUKUKI mpaka mwili ukaharibika zaidi na zaidi.
Najua kuna MAKANJANJA watanivamia hapa, lakini sijali. MIMI NAPASUA UKWELI TU, tukana, bwata, lakini HABARI IMEFIKA.
Baada ya mwezi lete mrejesho.Ahsante sana mkuu, hope kwa sasa anaendelea vizuri
Science huwezi kuikwepa hatakama huijui.Pole, lakini lazima NIKUAMBIE UKWELII.
Hiyo unayoiita TIBA MBADALA ndio TIBA HALISI, Mimea ya asili yenye nguvu ya kukuponya na kuhuisha mwili dhidi ya maradhi ya aina yoyote.
Hayo MAKEMIKALI ndio yalipaswa kuwa TIBA MBADALA. Ukishafeli kutumia MIMEA SAFI (kitu ambacho hakiwezekani) sasa ndio ukajijaze MAKEMIKALI MACHAFU na MIONZI.
Mkiambiwa MNABEZA, ooohh MIMEA NI UCHAWI! Haya sasa!!!!! Umerudi kule kule!!!
Oooohh, wewe hujui sayansi, wewe mchawiii!! Sayansi yenyewe ndio hiyo, umelipa MAMILIONI ukajazwa MIONZI LUKUKI mpaka mwili ukaharibika zaidi na zaidi.
Najua kuna MAKANJANJA watanivamia hapa, lakini sijali. MIMI NAPASUA UKWELI TU, tukana, bwata, lakini HABARI IMEFIKA.
Umetumia maneno makali Sana kumpa solution ambayo siyo ya kweli! Iv unaijua cancer kweli wewe? Yaan simple tu apande mchicha na karoti ndo imponyeshe? Icho kwako ndo akili timamu! Next time kama huna kitu kizuri cha kumshauri mtu Bora kuficha ujinga kwa kukaa kimya bwana mdogo!CHEMOTHERAPY haiwezi kukuponya KANSA, inakuongezea KANSA. Ni kama unajibanika kwenye TANURU LA MOTO.
Achana na CHEMOTHERAPY, angalia chakula chake cha kila siku ni chakula gani?
Kama una akili timamu, ungelima hapo bustani upande mchicha mwingi ambao hauna MAKEMIKALI, pamoja na KAROTI, hiyo iwe FIRST AID yake.
MAUCHAFU kwenye damu yake pia, SUMUU, UTANDO, MUCUS, afanye namna ya kuondoa yote hayo. DAMU CHAFU.
PAMBANA SANA, ATAPONA KAMA UNA AKILI TIMAMU.
Ukiendelea na MAKEMIKALI na hizo CHEMOTHERAPY utamuangamiza.
Dah ushauri wako konki sana,ebu taja hiko chakula kisichopikwaPia acha kula chakula kilichopikwa
Mimi binafsi sipingi tiba mbadala zinaweza kusaidia. Mfano kwa mgonjwa kama huyu kutumia mastafeli, balance diet, alkaline food, mboga, matunda kwa sana sio kitu kibaya kwanza ni chakula.Utaongeza kinga yake!
Hiyo siyo medical expert point of view hiyo no experience ya Hali ya juu!huwezi elezea mechanism ya dawa ya kienyeji inavofanya kazi!!
Mkojo umetibu vidonda vya tumbo ambavyo nyie mmeshindwa kuvitibu zaidi ya Omeprazole ya kutuliza,mkojo umetibu malaria sugu ten Ile haisikii dawa tena!!mkojo ni anti poison AND anti chemicals zenye sumu kama kama hizo!!
Kupona kidonda Cha upasuaji atapona coz Ile sumu ya mionzi itaisha na cell zitajiunda upya !!
Atumie doze hiyo ataleta mrejesho!!
Wauza dawa hawawezi pioneer ishu ya urine therapy hata kidogo mtakosa soko la dawa !
Pia warm water therapy hamuwezi!!
Mkojo mkojo Wala sio kwa bahati mbaya !I know what I mean from experience ya watu waliotumia hata wanaooza meno wanapona na meno kuwa strong!!
Nyamaza we mshamba wa Rukwa usiye na kisomo.Umetumia maneno makali Sana kumpa solution ambayo siyo ya kweli! Iv unaijua cancer kweli wewe? Yaan simple tu apande mchicha na karoti ndo imponyeshe? Icho kwako ndo akili timamu! Next time kama huna kitu kizuri cha kumshauri mtu Bora kuficha ujinga kwa kukaa kimya bwana mdogo!
Pole mkuu na natumai hizo njia zote zitafanya kazi kwako. Pia hongera kwa kuuguza maana si kazi rahisiNashukuru kwa experince. Mimi katika kuhangaika nimewapata watu wawili walio shuhudia walikua na kansa na wamepona
Mmoja alikatwa na ziwa kabisa
Mwingine yeye hata hospital hakufika, alipatiwa tu miti shamba.
Ahsante sana, nashukuru kwa elimu na namna ya kuipata dawa.Kitu cha kwanza unatakiwa kujua kuwa Kansa ni nini , kabla hujatafuta tiba sahihi
1. Ondoa hofu ,maana hofu ni nyenzo ya kansa kusambaa kwa haraka
2. Surgery? Iwe njia ya dharura tu , ni kweli upasuaji hutoa eneo la Kansa lakini haliwezi toa vichocheo vyake ( Cancer ground) hivyo kufanya Cancer kurudi tena
3. Chemotherapy or Radiation?
Hii njia huua Seli za Kansa huku
Seli za
Kawaida hufa pia
Lakini pia ni sumu Moto ambayo hushikilia uwezo wa Kansa , ndiyo maana mapema au baadaye Kansa hurudi tena , tena kwa mateso makali kwa sababu mwili hauna kinga ya kutosha
KIPI KIFANYIKE ?
(Heshoutang Natural health system/ Xianhe) knowledge & treatment:
Kansa ni mojawapo ya Kukosa uwiano wa nishati katika Seli ( Water energy property & Fire energy property), ambapo nishati asili maji (cool energy) hushuka na kusababisha nishati Moto
Kupanda ( Fire toxin ) na kufanya Seli kuchanganyikiwa na kuwa vamizi na kuongezeka kwa wingi bila mpangilio na kusababisha madhara kama ; Vimbe, kuzuia mzunguko wa damu / Nutrients & Oxygen kwenye eneo husika , hivyo eneo hilo kuwa Kama limekufa
(No blood circulation no Nutrients no Oxygen =Death)
Treatment ( Xianhe Formula/ Nature)
1. Zuia Kansa kusambaa huku ukiondoa sumu kwenye Seli ( Clear fire toxin excessive in Cells )
2. Vunja mikwamo( Vimbe n.k ) kuruhusu mzunguko wa damu kufikia eneo husika na mwili kwa ujumla ili kuruhusu Virutubisho pamoja na Oxygen kuwa sawa
3. Rudishia Nishati maji kwenye Seli ili kuwianisha nishati ( Replenish Water energy property into Cells to balance Cancer Cells Energy)
Hivyo Seli za Kansa hurudi kawaida na tatizo la Kansa huondoka kabisa na haliwezi rudia tena
NB : Cancer Cells are from normal Cells !
Unaweza jipatia TIBA ya Cancer aina yoyote kwetu kwa dawa asili za hali ya juu , na magonjwa mengine mbalimbali
Cont: +255757577995 www.heshoutang.com/heshoutang-dar-es-salaam-tanzania-office
Mwaga shule kaka mkubwa watu tuko na note buku pembeniNyamaza we mshamba wa Rukwa usiye na kisomo.
Juisi ya Karoti peke yake ina uwezo wa kusambaratisha seli zote zenye kansa.
Ahsante sana mkuu, nitazingatia ushauri wakoMaoni ni mengi
Aiseee
Pole sana mtoa mada,najua upo confused na hali ya mgonjwa,,pia hapa jukwaani kila mtu anasema lake.
Naona Cha muhimu ni kujaribu options zote..
So far za hospital umeshazijaribu sana,,
Nakushauri ongeza maombi.
Mungu wetu anaweza yote.
...
Nimekaa nikakumbuka,
Whatsapp group moja nipo, walikuwa wanajadili haya mambo ya saratani...na wakasema kuna mtu wa tiba asilia yupo Kagera sijui Bukoba(Sikumbuki vizuri)
Walisema kwamba anatibu watu wenye hilo tatizo la saratani ila mgonjwa asiwe ameanza tiba za hospital..
Baadhi ya watu wakatoa ushuhuda ndugu zao kupona,,na contacts zake zilitumwa.
Zile messages ,nadhani itakuwepo ila ni kitambo kimepita..
Kama utahitaji Mkuu nitarudi kutafuta.
Pole sana
Ila mimi option yangu ninayokushauri ni maombi sana,bila kuchoka.
Pia ondoa hofu,weka imani...imani na hofu havikai pamoja.
Pia zingatia sana lishe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamtoaje akili mtu usiyemjua, angekua hana akili timamu sidhani kama angemuuguza mkewe.CHEMOTHERAPY haiwezi kukuponya KANSA, inakuongezea KANSA. Ni kama unajibanika kwenye TANURU LA MOTO.
Achana na CHEMOTHERAPY, angalia chakula chake cha kila siku ni chakula gani?
Kama una akili timamu, ungelima hapo bustani upande mchicha mwingi ambao hauna MAKEMIKALI, pamoja na KAROTI, hiyo iwe FIRST AID yake.
MAUCHAFU kwenye damu yake pia, SUMUU, UTANDO, MUCUS, afanye namna ya kuondoa yote hayo. DAMU CHAFU.
PAMBANA SANA, ATAPONA KAMA UNA AKILI TIMAMU.
Ukiendelea na MAKEMIKALI na hizo CHEMOTHERAPY utamuangamiza.
Sikusoma uzi wako wote, ila dawa nilokupa ni dwa ya maajabu usipuuzie, nakupa ya kutibu kidonda pia. Nimeshatibu watu wa vidonda ndugu. Mm sio tabibu na dawa xangu nazitoa bure kabisa.Yapata miaka miwili imepita tangu mke wangu alipogundulika ana saratani ya matiti, tulianza dozi ya CHEMOTHERAPY pale GOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL Ifakara, tulipatiwa jumla ya mizunguko 8 ya CHEMO, hali ilionekana kuwa nzuri ila ndani ya muda mfupi sana uvimbe ulianza tena.
Baada ya kuona uvimbe umeanza upya tulihamia Dodoma BENJAMIN MKAPA napo tulipatiwa chemo 4 kisha ukafanyika upasuaji ili kuondoa titi lililoathirika na saratani, upasuaji amefanya mwezi wa 4 mwaka huu.
Baada ya upasuaji hali ilionekana kama ipo vizuri, ila baada ya miezi ipatayo mi3 mgonjwa ameanza kusumbuliwa tena.
Anasumbuliwa na; MAUMIVU MAKALI SANA MAHALA ALIPOFANYIWA UPASUAJI
KIDONDA KISICHOPONA (kilianza kidogo sana, kama kiji upele, hatimae kikakua. Hakionyeshi dalili ya kupona.
Najua yote ni mipango ya Mungu, ila sina matumaini kama mke wangu anaweza kupona kwa sasa.
KUNA MTU ASHAWAHI KUUGUZA MGONJWA WA SARATANI naomba ushuhuda ambao unaweza nisaidia cha kufanya.
KAMA KUNA DAWA ZA TIBA MBADALA ULITUMIA ZIKASAIDIA, NAOMBA MSAADA PIA.
Kwa sasa mgonjwa yupo tu nyumbani tunasubiri neema ya Mungu
Ushauri wowote pia napokea.
Kwa nini Kansa ya matiti hutokea?Pole sana mkuu
Inaumiza sana ,pole sana ndugu Ila nakuomba sana nitafute , sisi tutamtibu hata Kama Kansa imeenda mbele sana Ila atatumia dawa zetu asili kwa muda mrefu kidogo, na bei itapungua akiwa member , pia atakuwa anapata bonus kwa kila productYapata miaka miwili imepita tangu mke wangu alipogundulika ana saratani ya matiti, tulianza dozi ya CHEMOTHERAPY pale GOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL Ifakara, tulipatiwa jumla ya mizunguko 8 ya CHEMO, hali ilionekana kuwa nzuri ila ndani ya muda mfupi sana uvimbe ulianza tena.