Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

Apumzike kwa amani Mama, hata matibabu ya india hayakusaidia, au alipata ahueni kwa miaka kadhaa

Aligundulika na kansa akiwa na miaka 47. Akaja akafariki akiwa na miaka 60.

Wahindi walimsaidia kumuongezea kama miaka 10 mbele ya kuishi
 
Yapata miaka miwili imepita tangu mke wangu alipogundulika ana saratani ya matiti, tulianza dozi ya CHEMOTHERAPY pale GOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL Ifakara, tulipatiwa jumla ya mizunguko 8 ya CHEMO, hali ilionekana kuwa nzuri ila ndani ya muda mfupi sana uvimbe ulianza tena.

Baada ya kuona uvimbe umeanza upya tulihamia Dodoma BENJAMIN MKAPA napo tulipatiwa chemo 4 kisha ukafanyika upasuaji ili kuondoa titi lililoathirika na saratani, upasuaji amefanya mwezi wa 4 mwaka huu.

Baada ya upasuaji hali ilionekana kama ipo vizuri, ila baada ya miezi ipatayo mi3 mgonjwa ameanza kusumbuliwa tena.

Anasumbuliwa na; MAUMIVU MAKALI SANA MAHALA ALIPOFANYIWA UPASUAJI
KIDONDA KISICHOPONA (kilianza kidogo sana, kama kiji upele, hatimae kikakua. Hakionyeshi dalili ya kupona.

Najua yote ni mipango ya Mungu, ila sina matumaini kama mke wangu anaweza kupona kwa sasa.

KUNA MTU ASHAWAHI KUUGUZA MGONJWA WA SARATANI naomba ushuhuda ambao unaweza nisaidia cha kufanya.

KAMA KUNA DAWA ZA TIBA MBADALA ULITUMIA ZIKASAIDIA, NAOMBA MSAADA PIA.

Kwa sasa mgonjwa yupo tu nyumbani tunasubiri neema ya Mungu

Ushauri wowote pia napokea.
Pole sana mkuu
 
Kwa sasa mgonjwa yupo tu nyumbani tunasubiri neema ya

Kitu cha kwanza unatakiwa kujua kuwa Kansa ni nini , kabla hujatafuta tiba sahihi
1. Ondoa hofu ,maana hofu ni nyenzo ya kansa kusambaa kwa haraka
2. Surgery? Iwe njia ya dharura tu , ni kweli upasuaji hutoa eneo la Kansa lakini haliwezi toa vichocheo vyake ( Cancer ground) hivyo kufanya Cancer kurudi tena

3. Chemotherapy or Radiation?
Hii njia huua Seli za Kansa huku
Seli za
Kawaida hufa pia
Lakini pia ni sumu Moto ambayo hushikilia uwezo wa Kansa , ndiyo maana mapema au baadaye Kansa hurudi tena , tena kwa mateso makali kwa sababu mwili hauna kinga ya kutosha

KIPI KIFANYIKE ?
(Heshoutang Natural health system/ Xianhe) knowledge & treatment:

Kansa ni mojawapo ya Kukosa uwiano wa nishati katika Seli ( Water energy property & Fire energy property), ambapo nishati asili maji (cool energy) hushuka na kusababisha nishati Moto
Kupanda ( Fire toxin ) na kufanya Seli kuchanganyikiwa na kuwa vamizi na kuongezeka kwa wingi bila mpangilio na kusababisha madhara kama ; Vimbe, kuzuia mzunguko wa damu / Nutrients & Oxygen kwenye eneo husika , hivyo eneo hilo kuwa Kama limekufa
(No blood circulation no Nutrients no Oxygen =Death)
Treatment ( Xianhe Formula/ Nature)
1. Zuia Kansa kusambaa huku ukiondoa sumu kwenye Seli ( Clear fire toxin excessive in Cells )
2. Vunja mikwamo( Vimbe n.k ) kuruhusu mzunguko wa damu kufikia eneo husika na mwili kwa ujumla ili kuruhusu Virutubisho pamoja na Oxygen kuwa sawa
3. Rudishia Nishati maji kwenye Seli ili kuwianisha nishati ( Replenish Water energy property into Cells to balance Cancer Cells Energy)
Hivyo Seli za Kansa hurudi kawaida na tatizo la Kansa huondoka kabisa na haliwezi rudia tena

NB : Cancer Cells are from normal Cells !
Unaweza jipatia TIBA ya Cancer aina yoyote kwetu kwa dawa asili za hali ya juu , na magonjwa mengine mbalimbali
Cont: +255757577995 www.heshoutang.com/heshoutang-dar-es-salaam-tanzania-office
 
Pole, lakini lazima NIKUAMBIE UKWELII.

Hiyo unayoiita TIBA MBADALA ndio TIBA HALISI, Mimea ya asili yenye nguvu ya kukuponya na kuhuisha mwili dhidi ya maradhi ya aina yoyote.

Hayo MAKEMIKALI ndio yalipaswa kuwa TIBA MBADALA. Ukishafeli kutumia MIMEA SAFI (kitu ambacho hakiwezekani) sasa ndio ukajijaze MAKEMIKALI MACHAFU na MIONZI.

Mkiambiwa MNABEZA, ooohh MIMEA NI UCHAWI! Haya sasa!!!!! Umerudi kule kule!!!

Oooohh, wewe hujui sayansi, wewe mchawiii!! Sayansi yenyewe ndio hiyo, umelipa MAMILIONI ukajazwa MIONZI LUKUKI mpaka mwili ukaharibika zaidi na zaidi.

Najua kuna MAKANJANJA watanivamia hapa, lakini sijali. MIMI NAPASUA UKWELI TU, tukana, bwata, lakini HABARI IMEFIKA.
Zamani wazazi wetu Walirithi tiba asili , lakini Sasa hivi tiba asili ni Kisayance kabisa , Mimi nashikilia kampuni tiba asili namba 1 duniani , makao makuu yake ni Marekani ( TCM / Traditional Chinese Medicine) lazima uende darasani usome na ufanye mitihani , ujue mwili ukoje ,Mifumo yake utendaji Kazi wake , tabia ya kila mfumo , na mfumo huu unadhibiti vitu gani , na ili mfumo ufanye Kazi sawasawa kipi Husababisha , Magonjwa hutokana na nini , na ili mtu aumwe shida inakuwa nini , na dalili kadha wa kadha mwili huonesha ni matatizo gani ,
Maana kila dalili mwili unaonesha ndio ugonjwa wenyewe ( Majina ya magonjwa ni elimu ya kemikali ) ,asili hatujihusishi na majina ya magonjwa , tunahusika na dalili mwili unaonesha , ndizo tunatibu , Discomforts zikiondoka umepona tayari , kwa hiyo Tabibu lazima aende darasani kusomea vyote Hivyo na tiba zake !
Chemical treatment sio uponyaji ni dharura tu, Ila uponyaji upo kwenye Natural, na mwili wenyewe ndio huponya kila ugonjwa , usipofanya Kazi Sambamba na asili ya mwili hakuna uponyaji kutokea ( Self Recovery System)
Huku Presha, Kisukari , Hepatitis , Cancer , na mengine yote yanapona , na Ndio mpango wa Mungu
Biblia inasema Mungu alitupa matunda kuwa chakula, majani kuwa dawa !
Kwa ushauri na tiba wasiliana
+255757577995
 
Pole, lakini lazima NIKUAMBIE UKWELII.

Hiyo unayoiita TIBA MBADALA ndio TIBA HALISI, Mimea ya asili yenye nguvu ya kukuponya na kuhuisha mwili dhidi ya maradhi ya aina yoyote.

Hayo MAKEMIKALI ndio yalipaswa kuwa TIBA MBADALA. Ukishafeli kutumia MIMEA SAFI (kitu ambacho hakiwezekani) sasa ndio ukajijaze MAKEMIKALI MACHAFU na MIONZI.

Mkiambiwa MNABEZA, ooohh MIMEA NI UCHAWI! Haya sasa!!!!! Umerudi kule kule!!!

Oooohh, wewe hujui sayansi, wewe mchawiii!! Sayansi yenyewe ndio hiyo, umelipa MAMILIONI ukajazwa MIONZI LUKUKI mpaka mwili ukaharibika zaidi na zaidi.

Najua kuna MAKANJANJA watanivamia hapa, lakini sijali. MIMI NAPASUA UKWELI TU, tukana, bwata, lakini HABARI IMEFIKA.
Science huwezi kuikwepa hatakama huijui.
Cancer ni tatizo la dunia.
 
CHEMOTHERAPY haiwezi kukuponya KANSA, inakuongezea KANSA. Ni kama unajibanika kwenye TANURU LA MOTO.

Achana na CHEMOTHERAPY, angalia chakula chake cha kila siku ni chakula gani?

Kama una akili timamu, ungelima hapo bustani upande mchicha mwingi ambao hauna MAKEMIKALI, pamoja na KAROTI, hiyo iwe FIRST AID yake.

MAUCHAFU kwenye damu yake pia, SUMUU, UTANDO, MUCUS, afanye namna ya kuondoa yote hayo. DAMU CHAFU.

PAMBANA SANA, ATAPONA KAMA UNA AKILI TIMAMU.

Ukiendelea na MAKEMIKALI na hizo CHEMOTHERAPY utamuangamiza.
Umetumia maneno makali Sana kumpa solution ambayo siyo ya kweli! Iv unaijua cancer kweli wewe? Yaan simple tu apande mchicha na karoti ndo imponyeshe? Icho kwako ndo akili timamu! Next time kama huna kitu kizuri cha kumshauri mtu Bora kuficha ujinga kwa kukaa kimya bwana mdogo!
 
Utaongeza kinga yake!

Hiyo siyo medical expert point of view hiyo no experience ya Hali ya juu!huwezi elezea mechanism ya dawa ya kienyeji inavofanya kazi!!

Mkojo umetibu vidonda vya tumbo ambavyo nyie mmeshindwa kuvitibu zaidi ya Omeprazole ya kutuliza,mkojo umetibu malaria sugu ten Ile haisikii dawa tena!!mkojo ni anti poison AND anti chemicals zenye sumu kama kama hizo!!

Kupona kidonda Cha upasuaji atapona coz Ile sumu ya mionzi itaisha na cell zitajiunda upya !!

Atumie doze hiyo ataleta mrejesho!!

Wauza dawa hawawezi pioneer ishu ya urine therapy hata kidogo mtakosa soko la dawa !

Pia warm water therapy hamuwezi!!

Mkojo mkojo Wala sio kwa bahati mbaya !I know what I mean from experience ya watu waliotumia hata wanaooza meno wanapona na meno kuwa strong!!
Mimi binafsi sipingi tiba mbadala zinaweza kusaidia. Mfano kwa mgonjwa kama huyu kutumia mastafeli, balance diet, alkaline food, mboga, matunda kwa sana sio kitu kibaya kwanza ni chakula.

Hapa tunazungumzia specifics ,unmshauri Prospilla na mgonjwa wake. Hii specific, hii one case kutumia mkojo wake sioni kama itaongeza tija yoyote zaidi ya kumuongezea matatizo.

Kama anatumia madawa makali kama ya antibiotics na mengine kupunguza maumivu, kutibu kidonda kwa wiki kadhaa yatakuwepo kwenye mkojo, kiwango fulani cha bacteria watakuwepo kwenye mkojo, pia kumbuka kuna body muscle tissues na proteins zitakuwepo kwenye mkojo.

Mkojo, haja kubwa na jasho ni system ya mwili kuondoa (waste) uchafu, sumu na vitu isivyovihitaji mwilini.

Kunywa mkojo wa mgonjwa ni kurudisha uchafu ndani. Itamlazimu mwili wa mgonjwa kutumia nguvu kubwa zaidi kusafisha tena mwili. Inaweza kusababisha dyhydration and organs failure akinywa kila siku.

Pia itamlazimu kunywa maji mengi zaidi kuchuja chumvi, ammonia za ziada nk Wakati mwili tayari ni dhaifu na una changamoto za kutosha.
 
Umetumia maneno makali Sana kumpa solution ambayo siyo ya kweli! Iv unaijua cancer kweli wewe? Yaan simple tu apande mchicha na karoti ndo imponyeshe? Icho kwako ndo akili timamu! Next time kama huna kitu kizuri cha kumshauri mtu Bora kuficha ujinga kwa kukaa kimya bwana mdogo!
Nyamaza we mshamba wa Rukwa usiye na kisomo.

Juisi ya Karoti peke yake ina uwezo wa kusambaratisha seli zote zenye kansa.
 
Nashukuru kwa experince. Mimi katika kuhangaika nimewapata watu wawili walio shuhudia walikua na kansa na wamepona
Mmoja alikatwa na ziwa kabisa

Mwingine yeye hata hospital hakufika, alipatiwa tu miti shamba.
Pole mkuu na natumai hizo njia zote zitafanya kazi kwako. Pia hongera kwa kuuguza maana si kazi rahisi

Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki 🙏🏽
 
Kitu cha kwanza unatakiwa kujua kuwa Kansa ni nini , kabla hujatafuta tiba sahihi
1. Ondoa hofu ,maana hofu ni nyenzo ya kansa kusambaa kwa haraka
2. Surgery? Iwe njia ya dharura tu , ni kweli upasuaji hutoa eneo la Kansa lakini haliwezi toa vichocheo vyake ( Cancer ground) hivyo kufanya Cancer kurudi tena

3. Chemotherapy or Radiation?
Hii njia huua Seli za Kansa huku
Seli za
Kawaida hufa pia
Lakini pia ni sumu Moto ambayo hushikilia uwezo wa Kansa , ndiyo maana mapema au baadaye Kansa hurudi tena , tena kwa mateso makali kwa sababu mwili hauna kinga ya kutosha

KIPI KIFANYIKE ?
(Heshoutang Natural health system/ Xianhe) knowledge & treatment:

Kansa ni mojawapo ya Kukosa uwiano wa nishati katika Seli ( Water energy property & Fire energy property), ambapo nishati asili maji (cool energy) hushuka na kusababisha nishati Moto
Kupanda ( Fire toxin ) na kufanya Seli kuchanganyikiwa na kuwa vamizi na kuongezeka kwa wingi bila mpangilio na kusababisha madhara kama ; Vimbe, kuzuia mzunguko wa damu / Nutrients & Oxygen kwenye eneo husika , hivyo eneo hilo kuwa Kama limekufa
(No blood circulation no Nutrients no Oxygen =Death)
Treatment ( Xianhe Formula/ Nature)
1. Zuia Kansa kusambaa huku ukiondoa sumu kwenye Seli ( Clear fire toxin excessive in Cells )
2. Vunja mikwamo( Vimbe n.k ) kuruhusu mzunguko wa damu kufikia eneo husika na mwili kwa ujumla ili kuruhusu Virutubisho pamoja na Oxygen kuwa sawa
3. Rudishia Nishati maji kwenye Seli ili kuwianisha nishati ( Replenish Water energy property into Cells to balance Cancer Cells Energy)
Hivyo Seli za Kansa hurudi kawaida na tatizo la Kansa huondoka kabisa na haliwezi rudia tena

NB : Cancer Cells are from normal Cells !
Unaweza jipatia TIBA ya Cancer aina yoyote kwetu kwa dawa asili za hali ya juu , na magonjwa mengine mbalimbali
Cont: +255757577995 www.heshoutang.com/heshoutang-dar-es-salaam-tanzania-office
Ahsante sana, nashukuru kwa elimu na namna ya kuipata dawa.

Nitakutafuta ndugu.
 
Pole mkuu na natumai hizo njia zote zitafanya kazi kwako. Pia hongera kwa kuuguza maana si kazi rahisi

Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki [emoji1431]
Ameeen
 
Maoni ni mengi
Aiseee
Pole sana mtoa mada,najua upo confused na hali ya mgonjwa,,pia hapa jukwaani kila mtu anasema lake.

Naona Cha muhimu ni kujaribu options zote..
So far za hospital umeshazijaribu sana,,

Nakushauri ongeza maombi.
Mungu wetu anaweza yote.

...
Nimekaa nikakumbuka,
Whatsapp group moja nipo, walikuwa wanajadili haya mambo ya saratani...na wakasema kuna mtu wa tiba asilia yupo Kagera sijui Bukoba(Sikumbuki vizuri)
Walisema kwamba anatibu watu wenye hilo tatizo la saratani ila mgonjwa asiwe ameanza tiba za hospital..
Baadhi ya watu wakatoa ushuhuda ndugu zao kupona,,na contacts zake zilitumwa.

Zile messages ,nadhani itakuwepo ila ni kitambo kimepita..
Kama utahitaji Mkuu nitarudi kutafuta.

Pole sana
Ila mimi option yangu ninayokushauri ni maombi sana,bila kuchoka.
Pia ondoa hofu,weka imani...imani na hofu havikai pamoja.
Pia zingatia sana lishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante sana mkuu, nitazingatia ushauri wako
 
CHEMOTHERAPY haiwezi kukuponya KANSA, inakuongezea KANSA. Ni kama unajibanika kwenye TANURU LA MOTO.

Achana na CHEMOTHERAPY, angalia chakula chake cha kila siku ni chakula gani?

Kama una akili timamu, ungelima hapo bustani upande mchicha mwingi ambao hauna MAKEMIKALI, pamoja na KAROTI, hiyo iwe FIRST AID yake.

MAUCHAFU kwenye damu yake pia, SUMUU, UTANDO, MUCUS, afanye namna ya kuondoa yote hayo. DAMU CHAFU.

PAMBANA SANA, ATAPONA KAMA UNA AKILI TIMAMU.

Ukiendelea na MAKEMIKALI na hizo CHEMOTHERAPY utamuangamiza.
Unamtoaje akili mtu usiyemjua, angekua hana akili timamu sidhani kama angemuuguza mkewe.
Ila je unajuaje mazingira anayoishi kama yanaruhusu kupanda hizo mboga mboga, watu wansishi vyumba vya kupanga, maana siyo nyumba ni chumba.

Wengine nyumba za kwao, ila eneo halina nafasi, linaruhusu kupanda mazao.

Pole sana ndugu yetu, unaeuguza, unapitia mazito sana wakati huu, ukizingatia ndiye mshauri wako, mwenzio, mlezi wa watoto na mlinzi wa nyumba yako. Mwenyezi Mungu atende miujiza ili mkeo apone.
 
Yapata miaka miwili imepita tangu mke wangu alipogundulika ana saratani ya matiti, tulianza dozi ya CHEMOTHERAPY pale GOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL Ifakara, tulipatiwa jumla ya mizunguko 8 ya CHEMO, hali ilionekana kuwa nzuri ila ndani ya muda mfupi sana uvimbe ulianza tena.

Baada ya kuona uvimbe umeanza upya tulihamia Dodoma BENJAMIN MKAPA napo tulipatiwa chemo 4 kisha ukafanyika upasuaji ili kuondoa titi lililoathirika na saratani, upasuaji amefanya mwezi wa 4 mwaka huu.

Baada ya upasuaji hali ilionekana kama ipo vizuri, ila baada ya miezi ipatayo mi3 mgonjwa ameanza kusumbuliwa tena.

Anasumbuliwa na; MAUMIVU MAKALI SANA MAHALA ALIPOFANYIWA UPASUAJI
KIDONDA KISICHOPONA (kilianza kidogo sana, kama kiji upele, hatimae kikakua. Hakionyeshi dalili ya kupona.

Najua yote ni mipango ya Mungu, ila sina matumaini kama mke wangu anaweza kupona kwa sasa.

KUNA MTU ASHAWAHI KUUGUZA MGONJWA WA SARATANI naomba ushuhuda ambao unaweza nisaidia cha kufanya.

KAMA KUNA DAWA ZA TIBA MBADALA ULITUMIA ZIKASAIDIA, NAOMBA MSAADA PIA.

Kwa sasa mgonjwa yupo tu nyumbani tunasubiri neema ya Mungu

Ushauri wowote pia napokea.
Sikusoma uzi wako wote, ila dawa nilokupa ni dwa ya maajabu usipuuzie, nakupa ya kutibu kidonda pia. Nimeshatibu watu wa vidonda ndugu. Mm sio tabibu na dawa xangu nazitoa bure kabisa.
Chukua pembe la ng'ombe and usiondoe kitu chochote, chukua aloevera ikaushe, weka na chumvi kidogo sana, pembe la ngombe lichimbie tu chini then lifukie usifukie lilaishia ama ukiweza tengeneza kama tanuru la kuchomea mkaa. Kama utachimbia basi weka moto juu yake hadi liwe jeusi kama mkaa na aloevera fanya hivo then saga na blender huo mchanganyiko hadi uwe fine dust.
Utakuwa unampaka mgonjwa ukiweza changanya na mafuta ya nazi ama ya ng'ombe yaan samli ili kidonda kisikauke sana.
 
Pole sana mkuu
Kwa nini Kansa ya matiti hutokea?
Matiti ni mojawapo kwenye udhibiti wa mfumo wa Uzazi ,
Mfumo wa Uzazi kwa mwanamke upo chini ya udhibiti wa mfumo wa INI & NYONGO ( LIVER & GALLBLADDER SYSTEM “LG”)
LG Kazi yake ni Kutunza damu na kuachia damu mwilini , Hedhi kwa mwanamke hutegemea afya ya mfumo wa Ini / LG, Hedhi mdiyo alama ya mwanamke kujua anaweza pata mtoto au la ,
LG husaidia Mmeng’enyo wa chakula ,umeunganishwa na tendons ,Kucha,macho, hudhibiti Uzazi/ Fertility, matiti / breast ,Ovaries, Uterus

Kwa hiyo ukiongelea tatizo la matiti unagusa mfumo wa Ini na Uzazi kwa ujumla , kwa hiyo tunapotafuta chanzo cha tatizo lazima tuchimbe ndani ,
1. Uzazi wa mpango , unaharibu mfumo wa Uzazi , usitumike kwa muda mrefu kuna side effects,
2. Vidonge vya Uzazi , isiwe ndiyo tabia n.k
NB : Hivi vyote hapo juu vipo kwa ajili ya dharura tu , lazima kuwe na kiasi ,
The best ni Calendar, pia wanaume tuwapende wake zetu kwa kuwasaidia , akisema siku za hatari tuelewe , tumia mpira au toa nje ( Family planning ) , tuwaepushie wake zetu matatizo ,
Cancer is a serious organ problem, matibabu yake huhitaji ushirikiano mkubwa na fedha nyingi,

Kwenye Nature ni matibabu kuanzia miezi 3, 6-12 kutokana na stage ya kansa , lakini lazima ipone , ni gharama sana ,dawa zetu asili ni pesa nyingi
Sh. 80,000/kwa chupa sio mchezo ,
Na pia Saidizi lazima kuwepo
Kama: Kuvunja vimbe ,kuondoa Kansa, n.k
Ukitumia Chemotherapy au Surgery sio
Mbaya njoo Sasa tutoe vile vichocheo kuweka mwili sawa ,ili tatizo lisirudi tena , Kansa inarudi kwa sababu vichocheo vyake ( Fire toxin) hazitoki na Chemotherapy au radiation au surgery
Maana Chemotherapy & Radiation ni Fire ) tunahitaji Cold
Yapata miaka miwili imepita tangu mke wangu alipogundulika ana saratani ya matiti, tulianza dozi ya CHEMOTHERAPY pale GOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL Ifakara, tulipatiwa jumla ya mizunguko 8 ya CHEMO, hali ilionekana kuwa nzuri ila ndani ya muda mfupi sana uvimbe ulianza tena.

Baada ya kuona uvimbe umeanza upya tulihamia Dodoma BENJAMIN MKAPA napo tulipatiwa chemo 4 kisha ukafanyika upasuaji ili kuondoa titi lililoathirika na saratani, upasuaji amefanya mwezi wa 4 mwaka huu.

Baada ya upasuaji hali ilionekana kama ipo vizuri, ila baada ya miezi ipatayo mi3 mgonjwa ameanza kusumbuliwa tena.

Anasumbuliwa na; MAUMIVU MAKALI SANA MAHALA ALIPOFANYIWA UPASUAJI
KIDONDA KISICHOPONA (kilianza kidogo sana, kama kiji upele, hatimae kikakua. Hakionyeshi dalili ya kupona.

Najua yote ni mipango ya Mungu, ila sina matumaini kama mke wangu anaweza kupona kwa sasa.

KUNA MTU ASHAWAHI KUUGUZA MGONJWA WA SARATANI naomba ushuhuda ambao unaweza nisaidia cha kufanya.

KAMA KUNA DAWA ZA TIBA MBADALA ULITUMIA ZIKASAIDIA, NAOMBA MSAADA PIA.

Kwa sasa mgonjwa yupo tu nyumbani tunasubiri neema ya Mungu

Ushauri wowote pia napokea.
Inaumiza sana ,pole sana ndugu Ila nakuomba sana nitafute , sisi tutamtibu hata Kama Kansa imeenda mbele sana Ila atatumia dawa zetu asili kwa muda mrefu kidogo, na bei itapungua akiwa member , pia atakuwa anapata bonus kwa kila product
TUTAKACHOSAIDIA :
1. Convert Cancer at one place ,and deal with it there
2. Improve circulation ( this formula will break blood stuck or blockage and make the blood to flow well at the affected area, which means will also stop pain ) she experiences severe pain because of blockage / blood stuck / Mishipa imeziba , damu haifiki eneo husika
Na Pia kidonda hakiwezi pona kwa kuwa damu haifiki eneo la kidonda kupeleka Nutrients ili kuponya kidonda , kidonda hakiponi kwa dawa bali kwa virutubisho / nutrients zilizo kwenye damu ,
Kwa hiyo lazima kuvunja mikwamo au kuzibua mishipa ili damu ifike maeneo ya kidonda ili kuponya ! ( Tuna kanuni ya dawa hiyo / breaking formula )

3. Balance Cancer cell’s energy by replenishing Water energy property into Cells so to cancel or Clear fire toxin which feeds cancer cells ( This formula will transform Cancer cells back to normal )
We will protect your Liver system too because the problem is attacking breast which is under your Liver control, so we must double check the Liver & Gallbladder system energy/ Smoothing energy to make the organ function better so to release enough blood in the body
So these different formulas applied will make the body energy come back and heal Cancer by the Self Recovery System.
Kila kanuni hapo ina dawa yake !
NB: Surgery, Chemotherapy, Radiation, ni kwa dharura tu .

Hujachelewa kuwa na imani / Dawa zipo tunazo kutoka Marekani
Cont: +255757577995
 
Attachments

  • 0C7D8678-6269-45A1-9848-370ED71E7552.jpeg
    0C7D8678-6269-45A1-9848-370ED71E7552.jpeg
    108.1 KB · Views: 13
Back
Top Bottom