Maoni ni mengi
Aiseee
Pole sana mtoa mada,najua upo confused na hali ya mgonjwa,,pia hapa jukwaani kila mtu anasema lake.
Naona Cha muhimu ni kujaribu options zote..
So far za hospital umeshazijaribu sana,,
Nakushauri ongeza maombi.
Mungu wetu anaweza yote.
...
Nimekaa nikakumbuka,
Whatsapp group moja nipo, walikuwa wanajadili haya mambo ya saratani...na wakasema kuna mtu wa tiba asilia yupo Kagera sijui Bukoba(Sikumbuki vizuri)
Walisema kwamba anatibu watu wenye hilo tatizo la saratani ila mgonjwa asiwe ameanza tiba za hospital..
Baadhi ya watu wakatoa ushuhuda ndugu zao kupona,,na contacts zake zilitumwa.
Zile messages ,nadhani itakuwepo ila ni kitambo kimepita..
Kama utahitaji Mkuu nitarudi kutafuta.
Pole sana
Ila mimi option yangu ninayokushauri ni maombi sana,bila kuchoka.
Pia ondoa hofu,weka imani...imani na hofu havikai pamoja.
Pia zingatia sana lishe.
Sent using
Jamii Forums mobile app