Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

Pole, lakini lazima NIKUAMBIE UKWELII.

Hiyo unayoiita TIBA MBADALA ndio TIBA HALISI, Mimea ya asili yenye nguvu ya kukuponya na kuhuisha mwili dhidi ya maradhi ya aina yoyote.

Hayo MAKEMIKALI ndio yalipaswa kuwa TIBA MBADALA. Ukishafeli kutumia MIMEA SAFI (kitu ambacho hakiwezekani) sasa ndio ukajijaze MAKEMIKALI MACHAFU na MIONZI.

Mkiambiwa MNABEZA, ooohh MIMEA NI UCHAWI! Haya sasa!!!!! Umerudi kule kule!!!

Oooohh, wewe hujui sayansi, wewe mchawiii!! Sayansi yenyewe ndio hiyo, umelipa MAMILIONI ukajazwa MIONZI LUKUKI mpaka mwili ukaharibika zaidi na zaidi.

Najua kuna MAKANJANJA watanivamia hapa, lakini sijali. MIMI NAPASUA UKWELI TU, tukana, bwata, lakini HABARI IMEFIKA.
Ipo siku utazitengua hizi kauli,,,,nahisi hujawahi kuumwa na unasema usichokijua kiufupi unaongea ukweli kwa afya yako ya sasa ila yakikuta utaongea lugha nyingine
 
Daah, sadly ni kwamba tumefunga ndoa mwaka 2020 mwezi wa 9, mwaka 2021 akaanza kuumwa mpaka muda huu.
Madaktari wanatibu, Mungu anaponya. Mungu hutumia watu kutibu na kuponya. Uponyaji wa mkeo nauona Kawe kwa Mwamposa Arise & Shine dec 31. Nenda ili jina la Yesu litukuzwe.
 
Acha ubishi we kanjanja wa Kenya! Hiyo mionzi ndiyo iliyomfikisha hapa, mwili wote umeoza kwa ajili ya moto wa mionzi.

Halafu ati unamwambia aache kufanya jitihada akasubiri miujiza kanisani, una kichaa?

Who is steve jobs!? Ndo nani? ni role model wako wa huko Kenya?

Unaweza ukawa na pesa na ukawa mbumbumbu vile vile, kama wewe unaabudu miujiza badala ya jitihada binafsi.

Tatizo unategemea hadithi za vijiweni, omba mtu akuazime bando utafiti kuhusu shida ya Jobs.
Alianza mionzi wakati it was too late, alianza na huo ujinga wenu wenu wa tiba mbadala hadi akachelewa.
 
Tatizo unategemea hadithi za vijiweni, omba mtu akuazime bando utafiti kuhusu shida ya Jobs.
Alianza mionzi wakati it was too late, alianza na huo ujinga wenu wenu wa tiba mbadala hadi akachelewa.
Sikiliza wewe msukule wa steve jobs. Kwanza huyo steve jobs simjui na sina haja ya kujua stori yake.

Stori ninayoijua ni ya huyu mleta mada. Mkewe kapigwa mionzi mpaka mwili umechakaa, ndio maana yuko hapa kuomba ushauri mbadala.

Ushauri mbadala tunaompa ndio huu. Na ameshanielewa vizuri sana, na anaufanyia kazi.

Endelea kukumbatiana na huyo mmeo steve jobs, wenzako wanasonga mbele na wanachagua kilicho bora zaidi.
 
Nimeishia hapo umesema humjui Steve Jobs, kumbe ni kilaza cha huko Buza, huna lolote la kujadili na mimi....
 
Pole mkuu ,kitu cha kwanza aache kutumia vyakula vyote vya ngano na vinywaj vyote vya viwandani alafu maelekezo Pm huko
 
Yapata miaka miwili imepita tangu mke wangu alipogundulika ana saratani ya matiti, tulianza dozi ya CHEMOTHERAPY pale GOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL Ifakara, tulipatiwa jumla ya mizunguko 8 ya CHEMO, hali ilionekana kuwa nzuri ila ndani ya muda mfupi sana uvimbe ulianza tena.

Baada ya kuona uvimbe umeanza upya tulihamia Dodoma BENJAMIN MKAPA napo tulipatiwa chemo 4 kisha ukafanyika upasuaji ili kuondoa titi lililoathirika na saratani, upasuaji amefanya mwezi wa 4 mwaka huu.

Baada ya upasuaji hali ilionekana kama ipo vizuri, ila baada ya miezi ipatayo mi3 mgonjwa ameanza kusumbuliwa tena.

Anasumbuliwa na; MAUMIVU MAKALI SANA MAHALA ALIPOFANYIWA UPASUAJI
KIDONDA KISICHOPONA (kilianza kidogo sana, kama kiji upele, hatimae kikakua. Hakionyeshi dalili ya kupona.

Najua yote ni mipango ya Mungu, ila sina matumaini kama mke wangu anaweza kupona kwa sasa.

KUNA MTU ASHAWAHI KUUGUZA MGONJWA WA SARATANI naomba ushuhuda ambao unaweza nisaidia cha kufanya.

KAMA KUNA DAWA ZA TIBA MBADALA ULITUMIA ZIKASAIDIA, NAOMBA MSAADA PIA.

Kwa sasa mgonjwa yupo tu nyumbani tunasubiri neema ya Mungu

Ushauri wowote pia napokea.
Sio kila Ugonjwa mwanadamu anao umwa ni mpango wa Mungu
Shetan anaweka Giza katika miili ya watu na ilo Giza linasababisha Mgonjwa Kansa, kisukari na Mgonjwa mengi ili uhai wa mtu uondoke.
Ukidondo ghafla ukafa watu wanasema ushirikina uchawi nao sasa hivi umeendelea wanakwepa Wasiwasi

Tufata mtumishi wa kweli wa Mungu ugonjwa utatoka
Kwako imeshindikana ila kwa Mungu inawezekana

Uzima na Mauti vimo katika ulimi wako usikiri udhaifu
Adui anatumia maneno yako kutimiza lengo
 
1. Aache kula nyama

2. Aache kula vyakula au vinywaji vya kusindika kama maziwa, blueband, soda, juisi, nk.

3. Asitumie sukari mahali popote pale.

4. Mlishe ugali wa mtama / uwele pamoja na majani mengi sana kila siku.

KUONDOA SUMU MWILINI, UTANDO NA UTE UTE KWENYE DAMU

1. Atumie juisi ya limao kila siku asubuhi na jioni, malimao makubwa mawili kwa kila juisi.

2. Atumie vitunguu swaumu vibichi, vitwange bunda zima au visage kwenye blenda anywe kama juisi kila siku.

3. Anywe maji mengi kila siku. Mengi ya kutosha angalau lita nne.

HUDUMA YA KWANZA

1. Chemsha majani ya mpera anywe kila siku asubuhi na jioni. Hii ni kiboko.

2. Tengeneza juisi ya karoti anywe kila siku. Hii ni kiboko haswa.

TAHADHARI

1. Kama unaweza kupata maji ya kisima ambayo hayajawekewa madawa ni vizuri sana. Chemsha hata dumu kubwa unaweka hapo anakuwa anakunywa.

2. Hakikisha vyakula vyote au vinywaji vyote anavyotumia havina makemikali.

NJIA YA KIVITA

1. Kama amewahi kubandikizwa meno bandia au machuma kwenye fizi mwambie akayang'oe.

2. Kama ana vyuma kwenye njia ya uke wake au kwenye uterus mwambie akatoe.

3. Kama anatumia madawa ya aina yoyote ya hospitali mwambie aachane nayo.

4. Kitu chochote ambacho ni ARTIFICIAL alichobandikizwa hospitalini mwambie akakitoe.
Pia aachane kabisa na vitu vya sukari

Ila anitafute kwenye kampuni yetu tunatibu kansa kabisa , kwa dawa asili zenye kanuni ya hali ya juu !
Wasilana nasi dawa za Kansa na aina nyingine nyingi kulingana na tatizo la mtu , muda wa tatizo , athari yake n.k

Tupigie +255757577995 www.heshoutang.com/heshoutang-dar-es-salaam-tanzania-office
 
Attachments

  • FC5B9189-E8A8-456A-A6F9-A78589543998.jpeg
    FC5B9189-E8A8-456A-A6F9-A78589543998.jpeg
    108.1 KB · Views: 7
Pole, lakini lazima NIKUAMBIE UKWELII.

Hiyo unayoiita TIBA MBADALA ndio TIBA HALISI, Mimea ya asili yenye nguvu ya kukuponya na kuhuisha mwili dhidi ya maradhi ya aina yoyote.

Hayo MAKEMIKALI ndio yalipaswa kuwa TIBA MBADALA. Ukishafeli kutumia MIMEA SAFI (kitu ambacho hakiwezekani) sasa ndio ukajijaze MAKEMIKALI MACHAFU na MIONZI.

Mkiambiwa MNABEZA, ooohh MIMEA NI UCHAWI! Haya sasa!!!!! Umerudi kule kule!!!

Oooohh, wewe hujui sayansi, wewe mchawiii!! Sayansi yenyewe ndio hiyo, umelipa MAMILIONI ukajazwa MIONZI LUKUKI mpaka mwili ukaharibika zaidi na zaidi.

Najua kuna MAKANJANJA watanivamia hapa, lakini sijali. MIMI NAPASUA UKWELI TU, tukana, bwata, lakini HABARI IMEFIKA.
Aisee haya sio maneno ya kumwambia mgonjwa , ni aina ya masimango kwani wangapi wanatumia dawa za hospital na wanaoona? Na hawaumwi

Dawa yeyote ina sumu na kemikali ndio maana inaua vimelea ,tunachoangalia ni faida ya ile dawa compare na madhara
 
Pole mkuu,mgeukie Mungu kwa kumaanisha,hajawahi kushindwa kitu,omba na kumueleza unalopitia,fanya maombi na toba ya kweli,hakika utatuletea ushuhuda hapa mkeo amepona...
 
Maoni ni mengi
Aiseee
Pole sana mtoa mada,najua upo confused na hali ya mgonjwa,,pia hapa jukwaani kila mtu anasema lake.

Naona Cha muhimu ni kujaribu options zote..
So far za hospital umeshazijaribu sana,,

Nakushauri ongeza maombi.
Mungu wetu anaweza yote.

...
Nimekaa nikakumbuka,
Whatsapp group moja nipo, walikuwa wanajadili haya mambo ya saratani...na wakasema kuna mtu wa tiba asilia yupo Kagera sijui Bukoba(Sikumbuki vizuri)
Walisema kwamba anatibu watu wenye hilo tatizo la saratani ila mgonjwa asiwe ameanza tiba za hospital..
Baadhi ya watu wakatoa ushuhuda ndugu zao kupona,,na contacts zake zilitumwa.

Zile messages ,nadhani itakuwepo ila ni kitambo kimepita..
Kama utahitaji Mkuu nitarudi kutafuta.

Pole sana
Ila mimi option yangu ninayokushauri ni maombi sana,bila kuchoka.
Pia ondoa hofu,weka imani...imani na hofu havikai pamoja.
Pia zingatia sana lishe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Weka namba
 
Huwa wanasema sukari ni chakula cha kansa. Jitahidi sana aache vyakula vyote vyenye kuzalisha sukani mwilini. Utavijuaje, just google
 
Naomba uelezee basi vitu vinavyosaidia kuua kansa
Soma maelezo yangu pale juu

Sukari kama sukariiii, aachane nayoo. Soda pia ni sukarii, blue band, jam, wali, ugali wa sembe. Sukari tupu hizo.

Chakula salama ambacho hakina masukari ni mtama pamoja na mboga za majani.

Masukari mengi mwilini yanadhoofisha kinga ya mwili, ndio maana mtu anashindwa kupona kansa.

Na kansa ni PARASITIC, ukichukua lile nyama lenye kansa ukalipima kwa kutumia microscopic device ambayo haijachakachuliwa na MAJIZI utaona kuna VIMELEA kwenye lile nyama.

VIMELEA vile vinashindwa kutafunwa na kinga ya mwili kwa sababu kinga ya mwili imefifia na kudhoofu ndo maana madudu yanaotamo.

Sukarii, tindikali kwenye damu, utando kwenye damu, heavy metals kwenye damu, vyote vinaua kinga ya mwili. Madudu yanaota na kumea.

Mchakato mzima wa matibabu ya kansa ni kuifufua kinga ya mwili na kuuweka mwili katika NATURAL AND PURE STATE ili kwamba mwili uweze kupambana wenyewe na kujifufua.

Kuwaangamiza wale madudu (parasites / minyoo-like) waliomea kwenye damu na kwenye organs zingine za mwili, tumia dozi kali ya VITUNGUU SWAUMU na LIMAO kila sikuu bila kukoma.

Yale madudu yakimea sana yanajishikiza kwenye UBOHO / Lymphs — kule ambako kinga ya mwili inajengwa. WANABOMOA na KUTEMA SUMU humo humo AS THEY PARASITIZE.

Mwili unashindwa kuyatafuna madudu kisha KANsa.
 
Pole Sana Kiongozi..... Nayahisi maumivu unayopitia....

Sina ujuzi kwenye hili ila Naomba Mungu amlinde na kumpa nguvu Mke wako.

Amuondolee kabisa maumivu yanayomsumbua, na kumponya kabisa hiyo saratani Kwa Jina la Yesu Kristo.

Damu ya Yesu imfunike na naalika ufalme wa Mungu utawale Nyumbani kwako.

Pia mpende sana mke wako Kwa moyo wako wote Katika kipindi hiki anachopitia na Mungu wa Mbinguni atawabariki.

Hakuna linaloshindikana mbele zake Kwa Imani.

Amina.
Amen[emoji120]
 
Yapata miaka miwili imepita tangu mke wangu alipogundulika ana saratani ya matiti, tulianza dozi ya CHEMOTHERAPY pale GOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL Ifakara, tulipatiwa jumla ya mizunguko 8 ya CHEMO, hali ilionekana kuwa nzuri ila ndani ya muda mfupi sana uvimbe ulianza tena.

Baada ya kuona uvimbe umeanza upya tulihamia Dodoma BENJAMIN MKAPA napo tulipatiwa chemo 4 kisha ukafanyika upasuaji ili kuondoa titi lililoathirika na saratani, upasuaji amefanya mwezi wa 4 mwaka huu.

Baada ya upasuaji hali ilionekana kama ipo vizuri, ila baada ya miezi ipatayo mi3 mgonjwa ameanza kusumbuliwa tena.

Anasumbuliwa na; MAUMIVU MAKALI SANA MAHALA ALIPOFANYIWA UPASUAJI
KIDONDA KISICHOPONA (kilianza kidogo sana, kama kiji upele, hatimae kikakua. Hakionyeshi dalili ya kupona.

Najua yote ni mipango ya Mungu, ila sina matumaini kama mke wangu anaweza kupona kwa sasa.

KUNA MTU ASHAWAHI KUUGUZA MGONJWA WA SARATANI naomba ushuhuda ambao unaweza nisaidia cha kufanya.

KAMA KUNA DAWA ZA TIBA MBADALA ULITUMIA ZIKASAIDIA, NAOMBA MSAADA PIA.

Kwa sasa mgonjwa yupo tu nyumbani tunasubiri neema ya Mungu

Ushauri wowote pia napokea.

Mimi sio Dr lakini ushauri wangu

1. Waondoe matiti yote hiyo cancer inamtindo wa kuhamia titi lingine
2. Muhamishie Dar uone kama kuna vipimo vingine na vya mionzi wanaweza kufanya
3. Afanyiwe maombi cancer sio kitu kidogo miujiza ipo

Pole sana sana tatizo la cancer wakati mwingine dawa hazikubali lakini jitahidini kujaribu kila njia. Sehemu ya kuangalia sana ni mapafu ambako ndiyo itaenda kama imeshindikana.
 
Yapata miaka miwili imepita tangu mke wangu alipogundulika ana saratani ya matiti, tulianza dozi ya CHEMOTHERAPY pale GOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL Ifakara, tulipatiwa jumla ya mizunguko 8 ya CHEMO, hali ilionekana kuwa nzuri ila ndani ya muda mfupi sana uvimbe ulianza tena.

Baada ya kuona uvimbe umeanza upya tulihamia Dodoma BENJAMIN MKAPA napo tulipatiwa chemo 4 kisha ukafanyika upasuaji ili kuondoa titi lililoathirika na saratani, upasuaji amefanya mwezi wa 4 mwaka huu.

Baada ya upasuaji hali ilionekana kama ipo vizuri, ila baada ya miezi ipatayo mi3 mgonjwa ameanza kusumbuliwa tena.

Anasumbuliwa na; MAUMIVU MAKALI SANA MAHALA ALIPOFANYIWA UPASUAJI
KIDONDA KISICHOPONA (kilianza kidogo sana, kama kiji upele, hatimae kikakua. Hakionyeshi dalili ya kupona.

Najua yote ni mipango ya Mungu, ila sina matumaini kama mke wangu anaweza kupona kwa sasa.

KUNA MTU ASHAWAHI KUUGUZA MGONJWA WA SARATANI naomba ushuhuda ambao unaweza nisaidia cha kufanya.

KAMA KUNA DAWA ZA TIBA MBADALA ULITUMIA ZIKASAIDIA, NAOMBA MSAADA PIA.

Kwa sasa mgonjwa yupo tu nyumbani tunasubiri neema ya Mungu

Ushauri wowote pia napokea.
Boss Habari ya Leo? Pole sana, Kuna Mfanyakazi mwenzetu alikuwa anauguza Mke wake ugohjwa wa Saratani ya TITI, so yeye kafanikisha, mke wake amepona, alimpeleka MOSHI kwenye Tiba mbadala. Ni SMS nitakusaidia kukulink naye. Pole sana, Shemeji atapona.
 
Back
Top Bottom