Big Man Kontawa
Member
- Aug 28, 2021
- 36
- 112
Pole sana Mkuu,atakuwa sawa.Daaah! hii dunia acheni tu!
MGONJWA WANGU MARA ANAKUA KATIKA HALI YA KULETA MATUMAINI, MARA GHAFLA LINAIBUKA TATIZO JINGINE !
SASA MOYO UMEANZA KUMSUMBUA, MAPIGO YANAENDA KASI ISIVYO KAWAIDA
PIA DAMU INAPUNGUA SANA.
MARA NYINGINE ANAPATA CHANGAMOTO YA UPUMUJI.
Sijui ndo side effects za CHEMOTHERAPY
MkuuBoss Habari ya Leo? Pole sana, Kuna Mfanyakazi mwenzetu alikuwa anauguza Mke wake ugohjwa wa Saratani ya TITI, so yeye kafanikisha, mke wake amepona, alimpeleka MOSHI kwenye Tiba mbadala. Ni SMS nitakusaidia kukulink naye. Pole sana, Shemeji atapona.
Tupo hospitali mkuu.Pole sana Mkuu,atakuwa sawa.
Udhaifu mmoja waweza pelekea mwingine.
Mpeleke hospital wampime magonjwa mengine kama moyo,figo,mapafu,sukari na damu pia,nk
Sometimes naona mgonjwa anapimwa hivi vitu kabla hajaanza chemotherapy.
Pia jitahidi kuzingati lishe.
Huyu kavulugwa sijui unauza dawa siyo kwa mineno iyoSasa kinachekesha nini hapa mkuu. Kama kwako ni jepes kwa mwenzio ni zito, mpe mawazo mbadala kuliko kucheka cheka
Nimekutumia mawasiliano yake,mtafuteKuna mtu mmoja nilikutana nae machakos kenya nikiwa na shida fulani,ni daktari mwenye bustani ya dawa na alinisaidia nikapona kabisa,katika moja ya maongezi yake alizungumzia cancer ila sina hakika na jambo alilonalo mkeo kama liko mahala anapoweza kufanyia kazi,
Nitajitahid nikutafutie mawasiliano yake uone kama kuna analoweza kukushauri ama kukusaidia
Ila naona huna interest na mambo ya maombi.Ooh ahsante sana. Nimeyapata
Habari za asbh ,mliotaka na nyie namba za yule babu mliosema anatibu Kansa na nyie mnataka namba zake mzisave izo apo ,mwanachemba alinitumia 0626896577
Za asubuhii Mkuu, Heri ya Mwaka Mpya wa 2024. Nimechelewa kujibu. Namba ya simu ya mtu ambae alikuwa na tatizo la Kansa ya Matiti na Amepona. Anapatikana Dodoma Wilaya ya KONDOA 0672 354 367. Ila aliyemtibu yupo Mwanga Kilimanjaro. AsanteMkuu
Weka contacts zake kwa faida ya wengine wenye uhitaji.
Walisema Bukoba sijui KageraUlisema yupo Bukoba??
Asante MkuuZa asubuhii Mkuu, Heri ya Mwaka Mpya wa 2024. Nimechelewa kujibu. Namba ya simu ya mtu ambae alikuwa na tatizo la Kansa ya Matiti na Amepona. Anapatikana Dodoma Wilaya ya KONDOA 0672 354 367. Ila aliyemtibu yupo Mwanga Kilimanjaro. Asante
MkuuYapata miaka miwili imepita tangu mke wangu alipogundulika ana saratani ya matiti, tulianza dozi ya CHEMOTHERAPY pale GOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL Ifakara, tulipatiwa jumla ya mizunguko 8 ya CHEMO, hali ilionekana kuwa nzuri ila ndani ya muda mfupi sana uvimbe ulianza tena.
Baada ya kuona uvimbe umeanza upya tulihamia Dodoma BENJAMIN MKAPA napo tulipatiwa chemo 4 kisha ukafanyika upasuaji ili kuondoa titi lililoathirika na saratani, upasuaji amefanya mwezi wa 4 mwaka huu.
Baada ya upasuaji hali ilionekana kama ipo vizuri, ila baada ya miezi ipatayo mi3 mgonjwa ameanza kusumbuliwa tena.
Anasumbuliwa na; MAUMIVU MAKALI SANA MAHALA ALIPOFANYIWA UPASUAJI
KIDONDA KISICHOPONA (kilianza kidogo sana, kama kiji upele, hatimae kikakua. Hakionyeshi dalili ya kupona.
Najua yote ni mipango ya Mungu, ila sina matumaini kama mke wangu anaweza kupona kwa sasa.
KUNA MTU ASHAWAHI KUUGUZA MGONJWA WA SARATANI naomba ushuhuda ambao unaweza nisaidia cha kufanya.
KAMA KUNA DAWA ZA TIBA MBADALA ULITUMIA ZIKASAIDIA, NAOMBA MSAADA PIA.
Kwa sasa mgonjwa yupo tu nyumbani tunasubiri neema ya Mungu
Ushauri wowote pia napokea.