Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

Pole sana mkuu, ila kama umeshafanya jitihada zote za matibabu ya hospital imeshindikana jaribu sasa tiba lishe.
Binafsi pia naamini sana kwenye tiba lishe afya ya mwili inakuwa determined sana na vitu tunavyokula.
 
Daaah! hii dunia acheni tu!
MGONJWA WANGU MARA ANAKUA KATIKA HALI YA KULETA MATUMAINI, MARA GHAFLA LINAIBUKA TATIZO JINGINE !

SASA MOYO UMEANZA KUMSUMBUA, MAPIGO YANAENDA KASI ISIVYO KAWAIDA

PIA DAMU INAPUNGUA SANA.

MARA NYINGINE ANAPATA CHANGAMOTO YA UPUMUJI.

Sijui ndo side effects za CHEMOTHERAPY
 
Daaah! hii dunia acheni tu!
MGONJWA WANGU MARA ANAKUA KATIKA HALI YA KULETA MATUMAINI, MARA GHAFLA LINAIBUKA TATIZO JINGINE !

SASA MOYO UMEANZA KUMSUMBUA, MAPIGO YANAENDA KASI ISIVYO KAWAIDA

PIA DAMU INAPUNGUA SANA.

MARA NYINGINE ANAPATA CHANGAMOTO YA UPUMUJI.

Sijui ndo side effects za CHEMOTHERAPY
Pole sana Mkuu,atakuwa sawa.
Udhaifu mmoja waweza pelekea mwingine.


Mpeleke hospital wampime magonjwa mengine kama moyo,figo,mapafu,sukari na damu pia,nk

Sometimes naona mgonjwa anapimwa hivi vitu kabla hajaanza chemotherapy.

Pia jitahidi kuzingati lishe.
 
Boss Habari ya Leo? Pole sana, Kuna Mfanyakazi mwenzetu alikuwa anauguza Mke wake ugohjwa wa Saratani ya TITI, so yeye kafanikisha, mke wake amepona, alimpeleka MOSHI kwenye Tiba mbadala. Ni SMS nitakusaidia kukulink naye. Pole sana, Shemeji atapona.
Mkuu
Weka contacts zake kwa faida ya wengine wenye uhitaji.
 
Pole sana Mkuu,atakuwa sawa.
Udhaifu mmoja waweza pelekea mwingine.


Mpeleke hospital wampime magonjwa mengine kama moyo,figo,mapafu,sukari na damu pia,nk

Sometimes naona mgonjwa anapimwa hivi vitu kabla hajaanza chemotherapy.

Pia jitahidi kuzingati lishe.
Tupo hospitali mkuu.
Ahsante sana
 
Kuna mtu mmoja nilikutana nae machakos kenya nikiwa na shida fulani,ni daktari mwenye bustani ya dawa na alinisaidia nikapona kabisa,katika moja ya maongezi yake alizungumzia cancer ila sina hakika na jambo alilonalo mkeo kama liko mahala anapoweza kufanyia kazi,
Nitajitahid nikutafutie mawasiliano yake uone kama kuna analoweza kukushauri ama kukusaidia
Nimekutumia mawasiliano yake,mtafute
 
Habari za asbh ,mliotaka na nyie namba za yule babu mliosema anatibu Kansa na nyie mnataka namba zake mzisave izo apo ,mwanachemba alinitumia 0626896577

Ulisema yupo Bukoba??
 
Yapata miaka miwili imepita tangu mke wangu alipogundulika ana saratani ya matiti, tulianza dozi ya CHEMOTHERAPY pale GOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL Ifakara, tulipatiwa jumla ya mizunguko 8 ya CHEMO, hali ilionekana kuwa nzuri ila ndani ya muda mfupi sana uvimbe ulianza tena.

Baada ya kuona uvimbe umeanza upya tulihamia Dodoma BENJAMIN MKAPA napo tulipatiwa chemo 4 kisha ukafanyika upasuaji ili kuondoa titi lililoathirika na saratani, upasuaji amefanya mwezi wa 4 mwaka huu.

Baada ya upasuaji hali ilionekana kama ipo vizuri, ila baada ya miezi ipatayo mi3 mgonjwa ameanza kusumbuliwa tena.

Anasumbuliwa na; MAUMIVU MAKALI SANA MAHALA ALIPOFANYIWA UPASUAJI
KIDONDA KISICHOPONA (kilianza kidogo sana, kama kiji upele, hatimae kikakua. Hakionyeshi dalili ya kupona.

Najua yote ni mipango ya Mungu, ila sina matumaini kama mke wangu anaweza kupona kwa sasa.

KUNA MTU ASHAWAHI KUUGUZA MGONJWA WA SARATANI naomba ushuhuda ambao unaweza nisaidia cha kufanya.

KAMA KUNA DAWA ZA TIBA MBADALA ULITUMIA ZIKASAIDIA, NAOMBA MSAADA PIA.

Kwa sasa mgonjwa yupo tu nyumbani tunasubiri neema ya Mungu

Ushauri wowote pia napokea.
Mkuu
Chukua mmea wa cactus chukua na kilo tatu ya unga wa mbegu za parachichi chemsha maji lita tano kisha chuja yapoe kidogo anywe nusu lita ahsubuhi na jioni. Hakikisha anatumia mwezi mzima kisha tuletee matokeo kama anaanza kujisikia vyema.

Rudia zoezi kwa miezi mitatu naamini utaanza kuona matokeo. Akipata nafuu okoa maisha ya wengine kuwaambia ukweli. Usilipie huu ushauri
 
Back
Top Bottom