Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

Ingia Facebook tafuta group linaitwa TIBA ASILI mule ndani utapata mawazo na ushauri huenda hata TIBA. Ingia pia TIKTOK tafuta mtu anaitwa TazPlatinumz ni Mtaalam wa tiba jaribu kumfatilia. Hajawahi kunitibu na sijui km ni tapeli au mganga kamili. Pitia page yake utafiti mwenyewe.

NB: CHUNGA MATAPELI
 
Ukifuatilia vizuri chanzo utakuta ni yale MACHANJO YALEE ... which are not really vaccines worth the name, but HEAVY METALS masqueraded as such.

Na MADAWA YALEE wanayomezagaa! Na mauchafu wanayokulaa!

Ukiwaambia wanakurukia, ooooh nyamaza, hujui sayansiiii!! Haaah!

Haya, yangu macho BICHWA MIE!!
 
Pole sana ndugu yangu Mungu amponye shemeji, kama una aseti yeyote jaribu kuuza au kama ni mtumishi unaweza kopa hata Takriban milion 20 na kuendelea uende india kule nahisi wana mwanga wa hili tatizo wengi huenda huko
 
We chizi huo ndo uwezo wako wa mwisho wa kufikiri??

Huo upupu hapo utamsaidia vp mleta uzi, shenzytype.
 
Toa suluhisho sasa sio kushambulia
 
Pole sana mkuu,hakuna linaloshindkan chini ya jua,kikubwa ni maombi na kumtumainia MUNGU YEHOVA
Mungu huyo ni false hopes.

Huwezi kujifariji na illusion, fictional character asiye kuwepo.

Kama hakuna linalo shindikana kwa huyo Mungu, Kansa ya huyu mwanamke ingepona bila hata kuhitaji ushauri hapa jukwaani.
 
Kansa ni balaa sana, na inaenda taratiiibu huku ukiiona na huna cha kufanya
 
JEHOVAH Awatie nguvu kipindi hiko kigumu mnachoptia
 
Pole sana mdau. Je level ya kinga ikoje? Cheki video za mwanamama anaitwa Barbara O’neil ana nondo nyingi unaweza kuambulia.
 
Ahsante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…