makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Pole kamanda hebu tumuite Herbalist Dr MziziMkavu huenda akawa na 1 mbili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kiburi cha uzima kimekupa upofuAti Kumuachia Mungu!! 🤣🤣🤣
Mmekaa mnasubiri CHANJOO! Aiseee!!
This LAZY MENTALITY and IRRESPONSIBILITY ndio chanzo cha nyinyi kuwa mazombi mnaobugia MAKEMIKALI BILA KUHOJI.
Unamuachiaje Mungu??? 🤣🤣
Sasa kibongo kuiwahi stage 1 ni tabu sana mkuu. Hatuna uelewaPole sana mkuu, dada yangu aliteseka sana na kansa ya shingo ya kizazi alipofikia stage 3 mpaka mauti.
Kansa inapona ikiwa imewahiwa kwenye stage 1 kama alivyoiwahi kikwete.
We chizi huo ndo uwezo wako wa mwisho wa kufikiri??Pole, lakini lazima NIKUAMBIE UKWELII.
Hiyo unayoiita TIBA MBADALA ndio TIBA HALISI, Mimea ya asili yenye nguvu ya kukuponya na kuhuisha mwili dhidi ya maradhi ya aina yoyote.
Hayo MAKEMIKALI ndio yalipaswa kuwa TIBA MBADALA. Ukishafeli kutumia MIMEA SAFI (kitu ambacho hakiwezekani) sasa ndio ukajijaze MAKEMIKALI MACHAFU na MIONZI.
Mkiambiwa MNABEZA, ooohh MIMEA NI UCHAWI! Haya sasa!!!!! Umerudi kule kule!!!
Oooohh, wewe hujui sayansi, wewe mchawiii!! Sayansi yenyewe ndio hiyo, umelipa MAMILIONI ukajazwa MIONZI LUKUKI mpaka mwili ukaharibika zaidi na zaidi.
Najua kuna MAKANJANJA watanivamia hapa, lakini sijali. MIMI NAPASUA UKWELI TU, tukana, bwata, lakini HABARI IMEFIKA.
Kwani JANABI anasemaje??kiburi cha uzima kimekupa upofu
Toa suluhisho sasa sio kushambuliaPole, lakini lazima NIKUAMBIE UKWELII.
Hiyo unayoiita TIBA MBADALA ndio TIBA HALISI, Mimea ya asili yenye nguvu ya kukuponya na kuhuisha mwili dhidi ya maradhi ya aina yoyote.
Hayo MAKEMIKALI ndio yalipaswa kuwa TIBA MBADALA. Ukishafeli kutumia MIMEA SAFI (kitu ambacho hakiwezekani) sasa ndio ukajijaze MAKEMIKALI MACHAFU na MIONZI.
Mkiambiwa MNABEZA, ooohh MIMEA NI UCHAWI! Haya sasa!!!!! Umerudi kule kule!!!
Oooohh, wewe hujui sayansi, wewe mchawiii!! Sayansi yenyewe ndio hiyo, umelipa MAMILIONI ukajazwa MIONZI LUKUKI mpaka mwili ukaharibika zaidi na zaidi.
Najua kuna MAKANJANJA watanivamia hapa, lakini sijali. MIMI NAPASUA UKWELI TU, tukana, bwata, lakini HABARI IMEFIKA.
Mungu huyo ni false hopes.Pole sana mkuu,hakuna linaloshindkan chini ya jua,kikubwa ni maombi na kumtumainia MUNGU YEHOVA
Kansa ni balaa sana, na inaenda taratiiibu huku ukiiona na huna cha kufanyaInawezekana una hoja nzuri sana lkn uwasilishaji wako siyo rafiki kwa mtu anayeuguza.
Kama umeshawahi hata kumtembelea mtu mwenye kansa utaelewa hili.Sijawahi kuuguza ila nimeshawatembelea relatives kadhaa nyumbani na hospitalini aisee si kitu rahisi hata kidogo.
JEHOVAH Awatie nguvu kipindi hiko kigumu mnachoptiayapata miaka miwili imepita tangu mke wangu alipogundulika ana saratani ya matiti, tulianza dozi ya CHEMOTHERAPY pale GOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL ifakara, tulipatiwa jumla ya mizunguko 8 ya CHEMO, hali ilionekana kuwa nzuri ila ndani ya muda mfupi sana uvimbe ulianza tena.
Baada ya kuona uvimbe umeanza upya tulihamia dodoma BENJAMIN MKAPA napo tulipatiwa chemo 4 kisha ukafanyika upasuaji ili kuondoa titi lililo athirika na saratani, upasuaji amefanya mwezi wa 4 mwaka huu.
Baada ya upasuaji hali ilionekana kama ipo vizuri, ila baada ya miezi ipatayo mi 3 mgonjwa ameanza kusumbuliwa tena.
Anasumbuliwa na;
MAUMIVU MAKALI SANA MAHALA ALIPOFANYIWA UPASUAJI
KIDONDA KISICHO PONA (kilianza kidogo sana, kama kiji upele, hatimae kikakua. Hakionyeshi dalili ya kupona.
Najua yote ni mipango ya mungu, ila sina matumaini kama mke wangu anaweza kupona kwa sasa.
KUNA MTU ASHAWAHI KUUGUZA MGONJWA WA SARATANI naomba ushuhuda ambao unaweza nisaidia cha kufanya.
KAMA KUNA DAWA ZA TIBA MBADALA ULITUMIA ZIKASAIDIA, NAOMBA MSAADA PIA.
Kwa sasa mgonjwa yupo tu nyumbani tunasubiri neema ya Mungu
Ushauri wowote pia napokea.
Pole sana mdau. Je level ya kinga ikoje? Cheki video za mwanamama anaitwa Barbara O’neil ana nondo nyingi unaweza kuambulia.yapata miaka miwili imepita tangu mke wangu alipogundulika ana saratani ya matiti, tulianza dozi ya CHEMOTHERAPY pale GOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL ifakara, tulipatiwa jumla ya mizunguko 8 ya CHEMO, hali ilionekana kuwa nzuri ila ndani ya muda mfupi sana uvimbe ulianza tena.
Baada ya kuona uvimbe umeanza upya tulihamia dodoma BENJAMIN MKAPA napo tulipatiwa chemo 4 kisha ukafanyika upasuaji ili kuondoa titi lililo athirika na saratani, upasuaji amefanya mwezi wa 4 mwaka huu.
Baada ya upasuaji hali ilionekana kama ipo vizuri, ila baada ya miezi ipatayo mi 3 mgonjwa ameanza kusumbuliwa tena.
Anasumbuliwa na;
MAUMIVU MAKALI SANA MAHALA ALIPOFANYIWA UPASUAJI
KIDONDA KISICHO PONA (kilianza kidogo sana, kama kiji upele, hatimae kikakua. Hakionyeshi dalili ya kupona.
Najua yote ni mipango ya mungu, ila sina matumaini kama mke wangu anaweza kupona kwa sasa.
KUNA MTU ASHAWAHI KUUGUZA MGONJWA WA SARATANI naomba ushuhuda ambao unaweza nisaidia cha kufanya.
KAMA KUNA DAWA ZA TIBA MBADALA ULITUMIA ZIKASAIDIA, NAOMBA MSAADA PIA.
Kwa sasa mgonjwa yupo tu nyumbani tunasubiri neema ya Mungu
Ushauri wowote pia napokea.
Ahsante sanaCHEMOTHERAPY haiwezi kukuponya KANSA, inakuongezea KANSA. Ni kama unajibanika kwenye TANURU LA MOTO.
Achana na CHEMOTHERAPY, angalia chakula chake cha kila siku ni chakula gani?
Kama una akili timamu, ungelima hapo bustani upande mchicha mwingi ambao hauna MAKEMIKALI, pamoja na KAROTI, hiyo iwe FIRST AID yake.
MAUCHAFU kwenye damu yake pia, SUMUU, UTANDO, MUCUS, afanye namna ya kuondoa yote hayo. DAMU CHAFU.
PAMBANA SANA, ATAPONA KAMA UNA AKILI TIMAMU.
Ukiendelea na MAKEMIKALI na hizo CHEMOTHERAPY utamuangamiza.
Kama ana akili timamu atakuwa AMENIELEWA VEMA.We chizi huo ndo uwezo wako wa mwisho wa kufikiri??
Huo upupu hapo utamsaidia vp mleta uzi, shenzytype.
Yes anaweza pona ila mpaka pia yeye ajue chanzo cha tatizo.Mpeleke kwenye maombi atapona, ila achana na wale wa mafuta sijui nn.
Napendekeza peleka kwa Mwakasege au Sumbe.
Nauhakika 100% atapona
Sent from my Pixel 3 using JamiiForums mobile app