Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

Mkuu tafuta mtumishi wa kweli wa Mungu aweze kuombea hilo tatizo.Yasio wezekana kwa Mwanadamu Kwa Mungu yanawezekana bado ana nafasi ya kuishi.
Tuingie kwenye imani maana tumeshuhudia watu wakipona magonjwa makubwa na kama hayo na yale sio mazingaombwe.
 
Upo sahihi, umeongea ukweli madawa ya hospital ni kuongeza majanga, lakini hukupaswa kutumia lugha nzito kama hii kwa mtu ambae anapitia kipindi kigumu. Jamaa anahitaji faraji zaidi na msaada, kuuguza mpemdwa wako ni jambo zito saana
Nazungumza kwa lugha nzito kwa sababu MAKANJANJA ni wengi humu wataanza kumshauri upuuzi na kumpa faraja zisizomsaidia.

Na ndio hao MAKANJANJA waliomshauri mkewe akafanye CHEMOTHERAPY.

MAKANJANJA sio watu, ni wahuni tu na wanastahili lugha nzito nzito tu.
 
Mkuu pole kwa Mke wako kuumwa na maradhi ya Saratani ya maziwa aka Breast Cancer nitafute mimi kwa wakati wako ili nipate kumtibia mke wako.Kwani kutumia CHEMOTHERAPY kutammaliza mke wako taratibu atakwenda zake duniani kwani hiyo CHEMOTHERAPY haitibu Maradhi ya Cancer ya aina yoyote ile kwani CHEMOTHERAPY inauwa Cells zilizo hai na cells zilizo kufa kwa hiyo sio rahisi CHEMOTHERAPY kumponyesha mke wako unapoteza pesa zako bure hapo.

''Chemotherapy is an approach that destroy the Cells.
Chemotherapy doesn't distinguish between good cells and bad
cells. It destroys cells. It's an ACID Approach. -Dr.Sebi.
''Chemotherapy ni mbinu inayoharibu Seli.
Chemotherapy haitofautishi kati ya seli nzuri na mbaya
seli. Inaharibu seli zote. Ni Mbinu ya Asidi. -Dkt.Sebi.
 
Anaendelea pia hapa nimecopy na kupaste unaweza pitia huo Uzi pia wa hidden cancer cures

Sasa tuzungumzie tiba maalum ya cancer:
Kama nilivyoeleza mwanzoni kwamba kuna tiba nyingi za cancer ambazo zimetuzunguka bila sisi wenyewe kujua kutokana na kutokuwa na maarifa na kudanganywa na sekta rasmi ya tiba za magharibi.Tiba hizo zinakuwa na nguvu zaidi kama zitatumika kwa kushirikiana na tiba nyingine.

Kwa sasa nitazungumzia kimelea cha asili kiitwacho amygdalin,jina la kawaida inaitwa laetrile,kimelea hiki kimepewa jina ambalo sio rasmi na kuitwa vitamin B17.Kimelea hiki kinapatikana kwenye vyakula vya asili kama vile; mbegu za apricot/peach/almond,mbegu za maboga,mbegu za ufuta,mtama,ulezi,mbegu za alizeti,mihogo mibichi,uyoga.

Lakini kimelea hiki kinapatikana kwa kiwango kikubwa zaidi kwenye mbegu za apricot/almond.Kwa mtu ambaye haumwi cancer anashauriwa awe anakula tu vyakula vya aina hii na kamwe hatopata cancer.Lakini kwa mtu ambaye tayari ana cancer anashauriwa apate kimelea hiki kikiwa katika concetrated form.Concentrated form ya kimelea hiki inapatikana baada ya kufanya solvent extraction kutokana kwenye vyakula vinavyobeba kimelea hiki kwa kiwango kikubwa kama vile mbegu za apricot.

Baada ya kupatikana kwa kimelea hiki kwenye concentrated form,mgonjwa anaweza kutumia kama food supplement kama chakula katika dozi maalum itakayopendekezwa au kwa njia ya IV injection.Kumbuka kwamba kabla ya kutumia hiki kimelea hakikisha umepitia au unafanya kwa pamoja na hatua ile ya kwanza na ya pili,yaani unafanya therapy ya kuiweka pH ya damu yako iwe alkaline(pH=7.365) halafu unafanya therapy ya kuondoa sumu mwilini kwa pamoja.Mambo haya yakienda pamoja ndio tiba inakuwa imekamilika.

Kazi ya vitamin B17 ni kuua chembe za cancer,chembe hizi zinapouawa cancer inatoweka na haiwezi kurudi kwa kuwa mazingira yanayofanya cancer kuwepo yanakuwa yameshaondolewa,yaani mwili unakuwa hauna sumu na pH ya damu iko sawa,hivyo ukipona umepona,yaani cancer ndio imekwenda zake,haiwezi kurudi.Kwa wale mliofanikiwa kupitia ile documentary nadhani mtakuwa mnaelewa ni kwa jinsi gani/kwa vipi vitamin B17 inaua chembe za cancer,nisingependa nielezee hapa kwa kuwa nataka kuokoa muda na nafasi.

Sasa basi,kama una mgonjwa wa cancer,kwanza kabisa hakikisha anapitia hatua ya kwanza na ya pili huku wakati huohuo ukimpatia vitamin B17 ili kuzuia cancer isiendelee zaidi.Mara nyingi kwa cancer zilizokaa muda mrefu huweza kupona kuanzia miezi 3.Haijalishi ni cancer gani,vitamin B17 inatibu au inaua cancer yoyote ile mwilini.Kwa wale wagonjwa waliopitia tiba za hospitalini kama vile chemotherapy na mionzi huweza kuchukua muda mrefu zaidi kupona kutokana na uharibifu uliofanywa na chemo na mionzi.Wagonjwa hawa ni vizuri kuwapa madini ya zinc ili kurahisisha usafirishwaji na unyonywaji wa vitamin B17 mwilini.

Utaratibu wa kutumia vitamin B17/amygdalin/Laetrile:

1.Hakikisha pH ya damu ya mgonjwa iko sawa kwa kula vyakula nilivyovitaja mwanzo.

2.Hakikisha mgonjwa anakula vyakula vinavyoondoa sumu mwilini kama nilivyovitaja.Hapa nitaongezea supplement iitwayo pangamic acidambayo ina uwezo mkubwa wa kuondoa sumu mwilini.Dozi ya pangamic acid ni 500mg mara mbili kwa siku,yaani asubuhi na jioni.

3.Sasa ili kuua chembe za cancer utatumia vitamin B17,500mg mara mbili kwa siku,asubuhi na jioni.Pia kuna supplement iitwayo zinc citrate(20-50 mg mara mbili kwa siku)ambayo husaidia kusafirishwa na kunyonywa kwa vitamin B17 haraka mwilini.Pia kuna supplement iitwayo bromelain/papain,hizi ni proteolytic enzymes ambazo kazi yake ni kumenya ukuta wa nje wa chembe za cancer ambao kiasilia ni wa protini na kuziacha wazi ili kushambuliwa na kinga ya mwili.Kazi ambayo inafanywa na hizi proteolytic enzymes ni sawa na ile inayofanywa na trypsin itolewayo na pancreas/kongosho.

NB:
Bromelain:Hutokana na extract ya tunda la nanasi/pineapple.
Papain:Hutokana na extract ya tunda la papai/pawpaw.

Hivyo basi,mgonjwa anatakiwa atumie aidha bromelain au papain na si zote mbili kwa pamoja,200mg mara mbili kwa siku.
 
Pole sana kiongozi, Hakika Mitihani ni yetu
 
Pole sana mkuu, nakutumia inbox namba ya Mama mmoja yupo Morogoro, Mwinjilisti...... Mama yetu alikuwa na shida ya miguu lakini baada ya kumfahamu huyu mama,dawa siku ya kwanza tu.....mama anataka kuanza kucheza rede,anadawa za aina nyingi inawezekana akakusaidia pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…