Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

Pole, lakini lazima NIKUAMBIE UKWELII.

Hiyo unayoiita TIBA MBADALA ndio TIBA HALISI, Mimea ya asili yenye nguvu ya kukuponya na kuhuisha mwili dhidi ya maradhi ya aina yoyote.

Hayo MAKEMIKALI ndio yalipaswa kuwa TIBA MBADALA. Ukishafeli kutumia MIMEA SAFI (kitu ambacho hakiwezekani) sasa ndio ukajijaze MAKEMIKALI MACHAFU na MIONZI.

Mkiambiwa MNABEZA, ooohh MIMEA NI UCHAWI! Haya sasa!!!!! Umerudi kule kule!!!

Oooohh, wewe hujui sayansi, wewe mchawiii!! Sayansi yenyewe ndio hiyo, umelipa MAMILIONI ukajazwa MIONZI LUKUKI mpaka mwili ukaharibika zaidi na zaidi.

Najua kuna MAKANJANJA watanivamia hapa, lakini sijali. MIMI NAPASUA UKWELI TU, tukana, bwata, lakini HABARI IMEFIKA.
Anahitaji msaada sio waraka
 
Yapata miaka miwili imepita tangu mke wangu alipogundulika ana saratani ya matiti, tulianza dozi ya CHEMOTHERAPY pale GOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL Ifakara, tulipatiwa jumla ya mizunguko 8 ya CHEMO, hali ilionekana kuwa nzuri ila ndani ya muda mfupi sana uvimbe ulianza tena.

Baada ya kuona uvimbe umeanza upya tulihamia Dodoma BENJAMIN MKAPA napo tulipatiwa chemo 4 kisha ukafanyika upasuaji ili kuondoa titi lililoathirika na saratani, upasuaji amefanya mwezi wa 4 mwaka huu.

Baada ya upasuaji hali ilionekana kama ipo vizuri, ila baada ya miezi ipatayo mi3 mgonjwa ameanza kusumbuliwa tena.

Anasumbuliwa na; MAUMIVU MAKALI SANA MAHALA ALIPOFANYIWA UPASUAJI
KIDONDA KISICHOPONA (kilianza kidogo sana, kama kiji upele, hatimae kikakua. Hakionyeshi dalili ya kupona.

Najua yote ni mipango ya Mungu, ila sina matumaini kama mke wangu anaweza kupona kwa sasa.

KUNA MTU ASHAWAHI KUUGUZA MGONJWA WA SARATANI naomba ushuhuda ambao unaweza nisaidia cha kufanya.

KAMA KUNA DAWA ZA TIBA MBADALA ULITUMIA ZIKASAIDIA, NAOMBA MSAADA PIA.

Kwa sasa mgonjwa yupo tu nyumbani tunasubiri neema ya Mungu

Ushauri wowote pia napokea.
Pole Sana Ndugu. Usikate Tamaa.
Omba na Muamini Mungu, atamponyesha.
Muambie Mgonjwa Pole. [emoji120]

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Pole Sana Kiongozi..... Nayahisi maumivu unayopitia....

Sina ujuzi kwenye hili ila Naomba Mungu amlinde na kumpa nguvu Mke wako.

Amuondolee kabisa maumivu yanayomsumbua, na kumponya kabisa hiyo saratani Kwa Jina la Yesu Kristo.

Damu ya Yesu imfunike na naalika ufalme wa Mungu utawale Nyumbani kwako.

Pia mpende sana mke wako Kwa moyo wako wote Katika kipindi hiki anachopitia na Mungu wa Mbinguni atawabariki.

Hakuna linaloshindikana mbele zake Kwa Imani.

Amina.
Hiyo damu ya yesu ilikuwa wapi kumkinga asipate maradhi
 
Hebu mtaalam tuambie ,kuna aina ngapi ya cancer za matiti? Wewe unaweza kutibu aina ipi ya cancer ya matiti?
Ni uzushi na ujuha kudhani kwamba kila kansa ina tiba yake.

Iwe kansa ya utumbo,ya ini,ya mapafu,ya matiti bado tiba za mahospitalini ni zile zile chemotherapy ama ama surger.

Ila linapofika suala la tiba asili watu wanalazimisha kwamba kila kansa ya sehemu fulani iwe na tiba yake ?
 
Pole sana mkuu, dada yangu aliteseka sana na kansa ya shingo ya kizazi alipofikia stage 3 mpaka mauti.

Kansa inapona ikiwa imewahiwa kwenye stage 1 kama alivyoiwahi kikwete.
Kuna prostate cancer(kansa ya tezi)na benign prostatic hyperplasia(bph)tezi dume.(uvimbe wa tezi)

Kikwete alikuwa na tezi dume au kansa ya hiyo tezi?

Ninachofahamu kowete alikuwa na tezi dume na sio kansa
 
Alkaline Foods​

  • Most fruits
  • Non-starchy vegetables like dark, leafy greens
  • Sea vegetables (kelp, seaweed, dulse)
  • Soy
  • Beans/Legumes
  • Potatoes
  • Avocados
  • Sprouts (soy, alfalfa, bean)
  • Cucumber
  • Broccoli
  • Himalayan salt
  • Nuts
  • Quinoa
  • Millet
  • Parsley
  • Seeds
  • Olive oil
  • Coconut oil
  • Almond milk

Acidic Foods​

  • Cheese
  • Meat, especially processed meat
  • Seafood
  • Brown rice
  • Yeast
  • Mushrooms
  • Carbonated beverages such as soda and seltzer
  • Coffee and caffeinated drinks
  • Protein supplements
  • Refined sugars
  • Salty foods
  • Eggs
  • Alcohol
  • Processed foods
SHukran sana mkuu.

Nilikuwa na hofu isijekuwa hivyo vyakula navyo tumedanganywa.
 
Ni uzushi na ujuha kudhani kwamba kila kansa ina tiba yake.

Iwe kansa ya utumbo,ya ini,ya mapafu,ya matiti bado tiba za mahospitalini ni zile zile chemotherapy ama ama surger.

Ila linapofika suala la tiba asili watu wanalazimisha kwamba kila kansa ya sehemu fulani iwe na tiba yake ?
Siku hizi wenzetu Wana kitu wanaita targeted cancer treatment inayohusisha chemotherapy na immunotherapy. Mimi sio mtaalam ila katika kufuatilia ndiyo nimejua hii ishu,kuna aina ya cancer hazikubali chemotherapy pekee mpaka wampige mgonjwa na immunotherapy pia. Bahati mbaya sidhani kama Tanzania kuna huduma ya immunotherapy kwa wagonjwa wa cancer.
 
Hizo dawa alizokunywa Hadi sasa zimeleta usalama was afya take kwa kiasi Gani!!?

Urea from a mammal haijawahi kuwa toxic kama ammonia!!

Hizo medicine from hospital are More toxic than own urea plus water!!
Fikiria unachoshauri kwa makini kidogo.

Mgonjwa ametumia mionzi, chemo, upasuaji na dawa zingine.

Mgonjwa ana kidonda kisichopona, yupo stage three ya cancer. Unamshauri anywe mkojo wake!

Mkojo pamoja na urea, pia una ammonia, salts na kiasi kidogo cha bacteria, na waste products nyingine.

Akinywa mkojo itafanya mwili wa ufanye kazi ya ziada kuchuja uchafu mara ya pili.

Ukizingatia mgonjwa hayupo kwenye hali nzuri kiafya, immunity imeshuka, mwili dhaifu sasa hivi,
Huo mkojo utakuwaje salama na utamsaidi nini zaidi ya kumsababishia matatizo mengine zaidi?
 
Siku hizi wenzetu Wana kitu wanaita targeted cancer treatment inayohusisha chemotherapy na immunotherapy. Mimi sio mtaalam ila katika kufuatilia ndiyo nimejua hii ishu,kuna aina ya cancer hazikubali chemotherapy pekee mpaka wampige mgonjwa na immunotherapy pia. Bahati mbaya sidhani kama Tanzania kuna huduma ya immunotherapy kwa wagonjwa wa cancer.
Sahihi mkuu immunotherapy kama ulivyosrma inasaidia kuboost ama kushtua immune system ili iweze kupambana na seli za kansa.

Moja ya sababu ya mtu kupata kansa ni kuwa na low immunity.

Ndio maana logically tu hata hili tunda la mstafeli lina kiwango kikubwa cha vitamic C ambayo ni important vitanic katika kuboost immune system.

So huwenda ika make sense kwamba hili tunda na mfano wake yakawa yanasaidia kupambana na kansa.
 
Yapata miaka miwili imepita tangu mke wangu alipogundulika ana saratani ya matiti, tulianza dozi ya CHEMOTHERAPY pale GOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL Ifakara, tulipatiwa jumla ya mizunguko 8 ya CHEMO, hali ilionekana kuwa nzuri ila ndani ya muda mfupi sana uvimbe ulianza tena.

Baada ya kuona uvimbe umeanza upya tulihamia Dodoma BENJAMIN MKAPA napo tulipatiwa chemo 4 kisha ukafanyika upasuaji ili kuondoa titi lililoathirika na saratani, upasuaji amefanya mwezi wa 4 mwaka huu.

Baada ya upasuaji hali ilionekana kama ipo vizuri, ila baada ya miezi ipatayo mi3 mgonjwa ameanza kusumbuliwa tena.

Anasumbuliwa na; MAUMIVU MAKALI SANA MAHALA ALIPOFANYIWA UPASUAJI
KIDONDA KISICHOPONA (kilianza kidogo sana, kama kiji upele, hatimae kikakua. Hakionyeshi dalili ya kupona.

Najua yote ni mipango ya Mungu, ila sina matumaini kama mke wangu anaweza kupona kwa sasa.

KUNA MTU ASHAWAHI KUUGUZA MGONJWA WA SARATANI naomba ushuhuda ambao unaweza nisaidia cha kufanya.

KAMA KUNA DAWA ZA TIBA MBADALA ULITUMIA ZIKASAIDIA, NAOMBA MSAADA PIA.

Kwa sasa mgonjwa yupo tu nyumbani tunasubiri neema ya Mungu

Ushauri wowote pia napokea.
Dah,nimeumia nafsi,pole sana ndugu,mungu amtilie wepesi!

Hawa matapeli kina mwammposa siwanajifanya wanaponya
 
Back
Top Bottom