ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Hunter Biden ambaye ni Mtoto wa aliyekuwa Rais wa Marekani Joe Biden, ametoa taarifa kuhusu hali ya afya ya Baba yake akieleza kuwa hali yake si nzuri kwani ugonjwa unaomsumbua wa Saratani ya Tezi dume kusambaa hadi kwenye mifupa na maeneo mengine ya mwili, akidai Familia yake inapitia wakati mgumu kwa sasa.
Biden, mwenye umri wa miaka 83, aligundulika kuwa na kansa ya tezi dume yenye ukali mwezi Mei 2025. Ofisi yake ilitangaza wakati huo kwamba alikuwa amegundulika kuwa na aina ya kansa inayokua kwa kasi.
Mwaka 2025, alifanyiwa upasuaji wa kuondoa vidonda vya kansa ya ngozi na baadaye kukamilisha matibabu ya mionzi. Binti yake, Ashley Biden, pia aliwahi kuchapisha video ya baba yake akipiga kengele, jambo ambalo wagonjwa wengi hufanya kama ishara ya kufikisha hatua muhimu katika matibabu yao ya saratani.
----------------
My take
Very sad hii itakuwa mwisho usio mzuri Kwa Mzee Biden Kwa kukabiliana na mojawapo ya tatizo sugu Kwa Wanaume tukiwa kwenye umri mkubwa.
Unaambiwa njia ya kuzuia ni kupiga machine walau Kila siku vinginevyo ukifikisha kuanzia miaka 40 shida zinaanza.
Get well Mzee Biden,wewe ulikuwa Rais wa Taifa kubwa ambae hukuwa na makeke sana.