ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Very sad hii itakuwa mwisho usio mzuri Kwa Mzee Biden Kwa kukabiliana na mojawapo ya tatizo sugu Kwa Wanaume tukiwa kwenye umri mkubwa.
Unaambiwa njia ya kuzuia ni kupiga machine walau Kila siku vinginevyo ukifikisha kuanzia miaka 40 shida zinaanza.
Get well Mzee Biden,wewe ulikuwa Rais wa Taifa kubwa ambae hukuwa na makeke sana.
View: https://www.instagram.com/p/Dbx-jWOgHKZ/?igsh=MXFnb2ppbzM4OTRwbw==
Kwa mkeoUnasema tupige mashine,mashine zenyewe siku hizi maradhi kibao!,nguvu zimepungua,ukaja likwaa kubwa kuliko utamlaumu nani?, au ukamix gono,hiv na kaswende!, akina mama siku hizi wanatupangia,twende wapi?/
Kupiga master b, labda endapo,kama italazimika ufanye tendo la kila siku!π
-Master b,inadharauliwa sana lakini ni safety guardance ya vitu vingi sana!,
-Hivπ
-kaswende na nduguze π
-prostate safety kama ilivyoelezwa na mtoa mada!
Jikite kwenye mada ya BidenAfadhali Trump mara million times kuliko huyu wa Malawi
Hakuna mada inayokosa mwendelezo na mifano halisiJikite kwenye mada ya Buden