The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Kina nani😂😂Huyo Bibi nae ndo wale wale
Tatizo wamarekani hawajajua 'mchawi' wao au 'wachawi' wao ni nani. Kuna Nancy na Donald wanatunishiana misuri tangu 2016Kwenye jicho la demokrasia na uhuru wa kujieleza Twitter walikosea kabisa,ILA HAKUNA UHURU USIO NA MIPAKA,amani na utulivu wa nchi ni bora kuliko uhuru wa kujieleza.
trump ni mjerumani piaWatamfungulia
Kina nani[emoji23][emoji23]
juzi wachina wazi wazi wameweka nia ya kuua watu wa jamii ya kiislam nchini kwao, hawajafungiwa.Kwenye jicho la demokrasia na uhuru wa kujieleza Twitter walikosea kabisa,ILA HAKUNA UHURU USIO NA MIPAKA,amani na utulivu wa nchi ni bora kuliko uhuru wa kujieleza.
Siku hizi U.S.A haina tofaut na UgandaKwani Freedom of speech siku izi USA hamna?