Kansiime Quotes

Sisi Wakikuyu ndio huwa tuna matatizo ya L na R, Lete tunasema Rete na Lala tunasema Rara
Waluhya K na G, Ugali anaita Ukali
Wajaluo SH na S, Shida anaita Sida
 
Hehehehe! Halafu uolewe kijijini kwetu ndio utakoma maana watu wa kabila langu wana matatizo sana kwenye matumizi au tofauti za L na R.
>>wee..nidoona kùría ùkaga gushambia rùrírí««nafaham wewe ni mkenya kutokana na id yako..naomba ufafanuzi kwa haya mkuu..ni hivi,kuna mshikaji wangu ambaye amenitumia huo ujumbe ila sing'amui chochote
 
Ngima inú, thuguma úthií úgakome toro....hehehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…