MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Kabila gani huko kenya lenye matatizo ya 'l' na 'r'.Wakikuyu tatizo lao ni 'dh' na 'th'. Thelathini wanasema dheladhini.
Wakamba tatizo lao ni 'd' na 'b', dada wanasema ndada na obey wanasemaga ombey.
Kisii, Luo, Luya sijui sana matatizo yao ya lugha.
Sisi Wakikuyu ndio huwa tuna matatizo ya L na R, Lete tunasema Rete na Lala tunasema Rara
Waluhya K na G, Ugali anaita Ukali
Wajaluo SH na S, Shida anaita Sida