Kanumba achanganyikiwa

Kanumba achanganyikiwa

wadau kwani haya maudaku yanauzwa sh ngapi? huwa nayaona sana mitaani lkn sijawahi kujua hata bei yake, hata kuulizia tuu bei huwa najihisi vibaya

Thank God!!!!!!!!!!!! usitake kujua usije ukaangukia huko......... achana na kujipa temptations zitakazo shusha hadhi yako Poji!

Its not you thing basiiiiiiiiii.

Acha wafu wazike wafu wao!!!
 
JF usiruhusu udaku kupenya humu anaeutaka akautafute kwa kina shigongo huko huko
 
mi naona hii mada ifungwe kwani kuendelea kuchangia ni sawa na kuikubali
 
Back
Top Bottom