Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 23,566 Reaction score 24,891 Nov 21, 2009 #21 Azikiwe said: Ujiiiiiiiiiiiinga mtupu. Click to expand... Ujinga wa nani sasa, GPL au member aliyeibandika humu?
Azikiwe said: Ujiiiiiiiiiiiinga mtupu. Click to expand... Ujinga wa nani sasa, GPL au member aliyeibandika humu?
bht JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 10,336 Reaction score 1,873 Nov 21, 2009 #22 JoJiPoJi said: wadau kwani haya maudaku yanauzwa sh ngapi? huwa nayaona sana mitaani lkn sijawahi kujua hata bei yake, hata kuulizia tuu bei huwa najihisi vibaya Click to expand... Thank God!!!!!!!!!!!! usitake kujua usije ukaangukia huko......... achana na kujipa temptations zitakazo shusha hadhi yako Poji! Its not you thing basiiiiiiiiii. Acha wafu wazike wafu wao!!!
JoJiPoJi said: wadau kwani haya maudaku yanauzwa sh ngapi? huwa nayaona sana mitaani lkn sijawahi kujua hata bei yake, hata kuulizia tuu bei huwa najihisi vibaya Click to expand... Thank God!!!!!!!!!!!! usitake kujua usije ukaangukia huko......... achana na kujipa temptations zitakazo shusha hadhi yako Poji! Its not you thing basiiiiiiiiii. Acha wafu wazike wafu wao!!!
D Dalilah Member Joined Oct 15, 2009 Posts 49 Reaction score 7 Nov 25, 2009 #23 JF usiruhusu udaku kupenya humu anaeutaka akautafute kwa kina shigongo huko huko
Suzzie Member Joined Feb 25, 2009 Posts 98 Reaction score 12 Nov 25, 2009 #24 mi naona hii mada ifungwe kwani kuendelea kuchangia ni sawa na kuikubali