Hela mbaya binamu lulu anampag hela huyu mama , Mara ampelekee nyama n vikoro koro kibao, c unajua binamu msosi ndo kila kitu? Bas ndo hvo mama hana saut tena juu ya lulu, hapana chezea wekundu ww
Kana kiherehere hako kamtu ningekua mimi mama Kanumba nishakazima zamanii mnoo
Akazime hela ya bia atatoa wapi?
Kuna umuhimu hao wanaoandika logo walau wamalize ata darasa la saba less in peace duh