Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Hela mbaya binamu lulu anampag hela huyu mama , Mara ampelekee nyama n vikoro koro kibao, c unajua binamu msosi ndo kila kitu? Bas ndo hvo mama hana saut tena juu ya lulu, hapana chezea wekundu ww
Unawajua wahaya unawasikiaa subiri aache kumpa pesa utaonaaa