Kanumba Day..

Kanumba Day..

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Leo ni kumbukumbu ya marehemu Steven kanumba toka aage dunia, ni mwaka wa pili sasa.
1.Ni vitu gani unakumbuka kutoka kwake?
2. Ni filamu gani Kali zilikuvutia za marehemu kanumba?
 
mambo binamu mwenzio humu mgeni sema kale ka uzi ka mnene wa GPL kamenivuta kwako ukiuweka uz kamili niPM jaman. Mi napenda movie yake ya uncle JJ.
 
299000_476953659009000_1114657022_n.jpg
 
napenda Uncle JJ ilikuja tofauti sana na nilivyokuwa nimezoea movie zake

siku nimeiona nilicheka sana.... R.I.P Kanumba
 
mama kanumba si nimesikia anaanzisha Kanumba Foundation.........

na leo ndio inazinduliwa kule Dar live huyu mama nae
 
Ivi lulu na yeye kaenda kweny hyo kanumba day? Maana Jana alikuwa Mwanza cjui karud maana ye ndo muhusika mkuu aka mujane kijana
 
Kana kiherehere hako kamtu ningekua mimi mama Kanumba nishakazima zamanii mnoo
 
RIP Kanumba....muvi zote zilikuwa nzuri....na ndo msanii ambaye nilikuwa nafwatilia muvi zake....
 
Kafa na Bongo Movie ikafa palepale hakuna kilichoendelea wala kinachoendelea,Baada ya Industry kufa na Kanumba waliobaki wamekosa ajira i think ndo chanzo cha tuhuma za ukahaba,usagaji na Ushoga,RIP Kanumba.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kana kiherehere hako kamtu ningekua mimi mama Kanumba nishakazima zamanii mnoo

Hela mbaya binamu lulu anampag hela huyu mama , Mara ampelekee nyama n vikoro koro kibao, c unajua binamu msosi ndo kila kitu? Bas ndo hvo mama hana saut tena juu ya lulu, hapana chezea wekundu ww
 
Wabongo kweli nimewavulia yaani mmepekesha Karume day nayo iitwe Kanumba day muendelee kupiga pesa za matamasha.

Kama kuna moto kweli after death basi kuna watakaochomwa kwelikweli kwa kugeuza misiba ya watu deal.
 
#Kanumba , umekufa bro na bongo muvi imekufa, siku hizi sio talent tena ni uzuri wa sura na umbo ndio unaamua nani aigize. umaarufu unaotokana na talent uliondoka nao wewe, umetuachia maceleb wa scandals za kujiuza, ushoga na kusagana.Kufa kufaana, badala ya kukuenzi watu wanapiga hela kwa matamasha na viingilio kwa hekaya za kukuenzi.
bro, wewe ulikuwa mwigizaji na mwanamuziki kwa kipaji na uwezo, ila siku hizi kila mwigizaji nae amekuwa mwanamziki wa kukata viuno na kuacha maungo wazi, wakifungiwa kazi zao na basata wanasema wanabaniwa! Sikumbuki kazi yako yoyote kufungiwa ila huku kuna utitiri wa kazi zilizopigwa kufuli.
Bro wakati wewe ulisimamia uhuru wa fikra na mawazo faafu, ukasoma hata falsafa za great thinkers wengine na kuzitumia katika kazi zako, huku sasa hivi kila mtu ni script writer, wanaandika ukasuku tu hakuna jipya zaidi ya uliyoyaacha ambayo yameendelea kuwa mapya kila siku kwa ubora wake kuliko haya mapya yasiyo mapya yanayoandikwa sasa.
umetuachia wanasiasa bongo muvi, unashanga?usishangae , wameweka rehani dhamana ya dhima ya usanii wao katika kukosoa wale wafuja jasho letu na hatimae wameungana nao kutufuja!!inasikitisha! tena kwa gharama ndogo ya ahadi hewa na pesa za kijungu jiko.
Wakati director ni fani na uwezo kikazi, siku hizi kuna madirector wengi kuliko waigizaji na kila mmoja ana kampuni tena nyingine zinaendeshwa kwa ruzuku ya kugawa vipochi manyonya.
Yako mengi sana huku ila kwa leo niishie hapa.Pumzika!
 
Well said mkuu yani umemaliza kila kitu
 
Back
Top Bottom