Kanumba: Hollywood Nao Walonga!

hapo ndipo mipango ya binadamu ya MUNGU inapotofautiana
 
R.I.P SCK
Huyu Richards amekuwa kwenye Movies kwa muda gani? anafananisha actor na musician. mi naona ni bora hata angesema Kanumba ni Denzel Washington wa Bongo au Richard Gere wa Bongo.
Sasa SCK na MJ?
I doubt kuhusu hii habari but I m not sure.
 
Kanumba didn't realize how a potential and a quality he was. I wonder why he was fooling around with Lulu, which was the begining of his end. Anyway R.I.P bro
 
Dah so sad indeed...RIP Steve K.
 
Kifo kinauma sana, na maumivu yake hayazoeleki.

R i p kanumba
 
Hivi Africa ina Hollywood yake? au ni ile ile ya USA?
 
kilichomuua kanumba anajua Lulu Na mwenyezi mungu, hainingii akilini kua ni kifo cha mungu. Nchi ambazo wananchi wana njaa na rushwa iliyokithiri, kila kitu kinawezekana. Uwezo wako wa kutoa dau ndio muhimu. Unaweza kutengeneza kila kitu kwa pesa yako, kuanzia report za hospitali mpaka kesi mahahamani, everything is possible.


THEY?


Alikufa kwenye harakati zake za uzinzi, period!
 
sitaki kuamini kama Kanumba alikua na uhusiano wa kimapenzi na LULU, iweje magazeti ya udaku ambayo ndio kutwa yako mgongoni wa ma star wa Tanzania wasilijue hili. Iweje tujue haya baada ya Kanumba kufa? Hayo mahusiano yalianza lini? Iweje siku ya kesi ya Lulu, kutokee ubabaishaji wa waandishi kuambiwa wapi kesi itafanyika? wengi walijua kesi itafanyika kinondoni wakasubiri huko, lakini haikua hivyo kesi ikasomwa kwa kificho Kisutu. Kwani Lulu ndio mtu wa kwanza Tanzania kuhusishwa na mauaji? iweje afichwe hata waandishi wa habari washindwe kupata picha.
Leo tunaambiwa Lulu ametimiza miala 17 April, before Kanumba's death she was 16! 2 or 3 weeks kabla ya kifo cha Kanumba, Lulu alikua kwenye kipindi cha mikasi na kudai SHE'S ONLY 18. Hao wazazi, kwa nini hawakukanusha kua ni muongo ana miaka 16! iweje leo baada ya kukutwa na masahibu ndio baba na mama wanajitokeza na kutetea kua mtoto wao ni under age? Halima Mdee anadai kaona cheti chake cha kuzaliwa. Ukiwa na pesa hata hicho cheti kinatengenezwa. Mtoto wa Babu Seya alihukumiwa maisha akiwa na umri wa 17. Watu walilia sana lakini hakuna aliyesikiliza, alikaa jela 4-5 year if I remember well. akatoka baada ya kushinda rufaa. Lulu ni nani, mpaka serikali iingilie kati. Eti ni mtoto mdongo, utoto wake uko wapi?
Wakati anangonoka na mizee mjini wazazi walikua kimya. sasa mambo yamekua makubwa ndio wanajua ni mtoto!
Kifo cha Kanumba kina pazia nyuma yake, lakini with time ukweli utajulikana tu.
kama ni watu wenye wivu na chuki binafsi, tutajua.

Kanumba didn't realize how a potential and a quality he was. I wonder why he was fooling around with Lulu, which was the begining of his end. Anyway R.I.P bro
 
Uncle J.J tunakumiss sana mzazi!dah!mpaka leo naona kama ndoto!hivi ni kweli kanumba haupo nasi?!!!!!nasahau kama umetutoka ila akili ikinijia nashindwa kujizuia kulia!dah.....
 
Hivi Africa ina Hollywood yake? au ni ile ile ya USA?

ingia google search bleeding sunshine..steven kanumba ndio utaelewa..ingepigwa in 4 countries including USA na DOP ni chase bowman ambaye ndiye the best DOP in hollywood, character ya kanumba ilikuwa ni photographer.
 

Dada umenena!
 
could hav been much better 1000x if s.k faced his death while doing anything other than prostitution!
 

kwa taarifa tu prince richard aliyejiita hollywood executive ni mghana ambaye alikuwa meneja wa kanumba. Kwenye fb anijiita prince akiem, sijajua kwanini aidha alijiita hollywood executive au magazeti yaliamua kumuita hollywood executive
 
kwa taarifa tu prince richard aliyejiita hollywood executive ni mghana ambaye alikuwa meneja wa kanumba. Kwenye fb anijiita prince akiem, sijajua kwanini aidha alijiita hollywood executive au magazeti yaliamua kumuita hollywood executive

you are very right and it is so fortunate ( labda unfortunately kwako )kwamba connection zake sio za kitoto..ndio maana pia watu kama AMA AMEBREBESE akaweza kufanya movie na hollywood stars inaitwa sinking sand..so brother was going to the next level ingawa inaonekana bado una mu hate marehemu..ila stay blessed na punguza negativities
 
Ten hours after the hefty contract! The guy was in the middle of a celebration. We do this all the time. I did it every time after passing my UE, after a promising interview etc. Probably the celebration went awry, with a Jack Daniels as it is so claimed, anything could happen. It is just so sad.
 

Ukisema Denzel najisikia raha sana. I love this actor.
 
angalia marehemu ungeacha uzinzi ulikuwa na ndoto nzuri sana za mafanikio
 
Jaman hebu somen wazo la da Asia kwan yule mtt wa babu seya sialihukumiwa na miaka yake 17, sasa mbona hawa wanaosema wataingilia kati ishu ya lulu hawakuingilia ile? Mpaka viongoz kwel? Lulu amewapa nn, kwli walimwengu shujaa, nakumbu usemi usemao ku..ny anye kuku akin..ny bata kaharisha huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…