....jamani its his life let him do what pleases him as long as he is not breaking any law 😉Kuna tetesi kwamba kanumba anatafuta 'msichana' amzalie mtoto wa chupa! Je, hali hiyo inaashiria nini?
Nanukuu: "natafuta dogodogo mmoja ambaye atakuwa tayari kunizalia mwana lakini si kwa njia ya kujamiiana bali kupandikiza mbegu kwa chupa - Kanumba" Mwisho wa kunukuu
Kazi kweli kweli
Do you want to know more about him? Visit: http://www.kanumba.com/index.html
usanii bongo?huyu mpuuzi naona sikuhizi anajiuza sana kwenye magazeti ya kakake kuleesiwezi shangaa,kanumba si msanii, basi hata maisha yake yatakua yakisanii sanii tu.