Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,626
Ataondolewa mapema mno!!!
Suala la lugha sijui kama ni kigezo kule ila kwa Tanzania ujue English is our fourth language after, our Kiswahili, mother tongue and father toungue kama wote hawatoki kabila moja!!! Na most of all Kiswahili is our national unification language!! Patamu hapo na hizi academy zetu!! Jamani kila wakati nasema serikali haijaona haja ya kuamua kutumia English as our universal medium of communication??
Kama kuna member hapa ambaye ameshashiriki katika interview panel anakubaliana na mimi kwa wabongo hasa wale waliosoma shule za serikali na zile za private ambazo kiswahili ni mother language!!! Inatisha!!
Maane, tatizo ambalo baadhi yetu tumejaribu kujadili (mfuatilie FP) siyo lugha! Tujikite kwanza kwenye uelewa. Kama mtu anaelewa mada basi anaweza kujadili hata kama lugha yake haijanyooka. Kwa kiwango cha form 6, tunategemea aweze kuelewa angalau vitu vya kawaida kwenye maongezi/majadiliano! Kama hawezi kujua tofauti ya temptation na meditation basi tatizo ni kubwa. Lakini kama anajua basi atajaribu kujieleza hata kwa broken ili msikilizaji amwelewe. Mbona Maximo tunamwelewa?
Labda tuanze hivi; je, kiswahili chenyewe tunakijua?