Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Mimi hata ukiwa na mimba kubwa sikupishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mkuu, wanasema wema akiba, lkn wema ulikuletea janga kubwaToka nimpishe mzee tandika akaniibia elf 60 yangu ya ada niliweka mfuko wa nyuma wa suruali,na nimetoka kuomba kwa ndugu maana wazazi walishatangulia mbele ya haki mwaka 2009 hiyo nakaribia kupiga pepa ya form 6, niliapa sitkuja kumpisha kiumbe yoyote kwenye daladala labda mke wangu akiwa na mtoto wangu
Unaushaidi yeye ndiye aliyekubia [emoji38][emoji28][emoji1787][emoji23]Toka nimpishe mzee tandika akaniibia elf 60 yangu ya ada niliweka mfuko wa nyuma wa suruali,na nimetoka kuomba kwa ndugu maana wazazi walishatangulia mbele ya haki mwaka 2009 hiyo nakaribia kupiga pepa ya form 6, niliapa sitkuja kumpisha kiumbe yoyote kwenye daladala labda mke wangu akiwa na mtoto wangu
Huu ujinga siupendagi,ilishawahi nitokea G,mboto to mbezi nilisimama,yule mmama akaniambia nmpakate mtoto,mtoto hanitaki analia balaa,ikanibidi nisimame nimpishe, asubuhi saa 11 hivi nawahi gari stendi ya magu,Kuwapa tu watu dhambi ndogo ndogo, siku moja yalinikuta nimepanda coaster alafu nyumba kuna kama coaster nne ivi zimepaki zinasubiriana kupakia. Ile niliyopanda ikajaa ikawa inataka kuondoka stand akaja mdada na mwanae mdogo mgongoni akapanda ile coaster akasimama pembeni yangu ilhali anaona kabisa zile zingine zilizokuwa chini pale jirani niliyekaa naye akamwambia mbona utateseka sana na mtoto zile pia zinaenda hajajibu. Mie kimya nikainamia siti kabisa earphone maskioni kidogo ananiamsha dada nisaidie kupakata mtoto nikamwambia mlete mtoto akaanza kilio hataki watu nilimpisha akakaa na mwanae ila alinikera mnoo.
Siku hizi mpo hivyo[emoji23],tulikuwa tunawategemea nyie mnatupisha sasa hali imebadilika[emoji23]Mimi hata ukiwa na mimba kubwa sikupishi
Huwa hawana waumeMwambie amnunie mmewe
Baba wa mwanae😅😅 je kama mume hana?
Ndiyo hivyo mambo yamebadilikaSiku hizi mpo hivyo[emoji23],tulikuwa tunawategemea nyie mnatupisha sasa hali imebadilika[emoji23]
Waliondoka na gari wewe ulibaki stand ...unauza iphone.Mbona niko stendi sijakuona[emoji3064]
Ww ungemtolea povu mpka Babu yake mtoto anafufuka uku amesimama wimaKuwapa tu watu dhambi ndogo ndogo, siku moja yalinikuta nimepanda coaster alafu nyumba kuna kama coaster nne ivi zimepaki zinasubiriana kupakia. Ile niliyopanda ikajaa ikawa inataka kuondoka stand akaja mdada na mwanae mdogo mgongoni akapanda ile coaster akasimama pembeni yangu ilhali anaona kabisa zile zingine zilizokuwa chini pale jirani niliyekaa naye akamwambia mbona utateseka sana na mtoto zile pia zinaenda hajajibu. Mie kimya nikainamia siti kabisa earphone maskioni kidogo ananiamsha dada nisaidie kupakata mtoto nikamwambia mlete mtoto akaanza kilio hataki watu nilimpisha akakaa na mwanae ila alinikera mnoo.
Nzuri kabisa Pacha. 🤝Mie niko poa,habari za uzima?