Kanuna eti kisa hajapishwa siti ya daladala akae na mwanae

Pole mkuu, wanasema wema akiba, lkn wema ulikuletea janga kubwa
 
Unaushaidi yeye ndiye aliyekubia [emoji38][emoji28][emoji1787][emoji23]
 
Nilikuwa natoka kijijini kuelekea mjini,kijiji cha pili kabla ya kufika mjini akapanda mdada mjamzito tumbo kubwa anaelekea hospital kabeba na mabeseni begi nk,

Sasa gari ilikuwa imejaa hatari,konda akamwambia mkaka mmoja asimame ampishe mjamzito,,,aisee yule mkaka aligoma katu[emoji23],,,konda akamwambia mkaka asimame atapewa nusu nauli yake,lakini aligoma[emoji23][emoji23]

Wanaume siku hizi hawana huruma,sijui tumewakosea nini.
 
Huu ujinga siupendagi,ilishawahi nitokea G,mboto to mbezi nilisimama,yule mmama akaniambia nmpakate mtoto,mtoto hanitaki analia balaa,ikanibidi nisimame nimpishe, asubuhi saa 11 hivi nawahi gari stendi ya magu,

Tunashuka daladala akaniuliza unaelekea wapi unisaidie mtoto? Nikamwambia nisamehe tu mwenyewe nina begi na muda ushaenda inanibidi nikimbie[emoji23],,,,,kidogo niachwe na selous.
 
mwingine anasimama karibu yako kaelekeza tako lake kwako,anajamba kila wakati...aisee lazima umpishe akae yy ...
 
Ndio maana mm nikipanda daladala nataka kukaa mbele ya deleva au dirishani nikikosa nakaa happy kalibu af najiranya nimelala kumbe wapi [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ww ungemtolea povu mpka Babu yake mtoto anafufuka uku amesimama wima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…