Kanuni 10 za kufuata kuongeza ukubwa wa uume kwa asili

Mkuu hizo tiba nazipata wapi?
 
Ukisimama ni inchi sita, kwa hiyo unataka ulingane na wa punda sio?
 
Ikisimama ni nchi 6
Pumbavu kabisa wewe,unajua unasumbuliwa na kutojiamini,inchi sita ni kibamia?
Maumbile ya watu yapo tofauti wengine ikilala inakuwa ndooogo lkn ikisimama inakuwa kubwa,wengine ikiwa imelala ama kusimama size ni ile ile,
Nadhani umeathirika na picha za ngono sasa unataka kujilinganisha na wale,
Mpumbavu kabisa wewe,unatusumbua na ujinga wa tamaa zako,jifunze namna sahihi ya kumjamii mwenza wski,tena tafuta mke funga ndoa mpumbavu wewe,unaanza ujinga wa kutafuta madawa utotoni wakati watu tuna 43 hatujawahi kujiboost na bado tupo gado
 
Zitaje hizo tiba asilia au porojo Tu na uwele wabongo bahati mbaya
 
ameongea kwa usahihi tu.Maana hili jukwaa sio la mambo hayo ndo maaan akasema upelekwe JF Doctor au MMU..Muwe mnasoma mnaelewa
Unalijua jukwaa wewe au unaropoka
 
Asante mkuu
 
Ishu hapa ni directions. Hii tiba asili anaipata wapi?? Angalau likijulikana hilo atajiongeza mwenyewe maana wajanja wa tiba asili wako wengi sana siku hizi.
 
Mtoa mada kaulizia dawa ya uhakika inapopatikana hajaomba ushauri,.kikubwa anayejua inapopatikana aseme. Maswala kuhusu uruzi wa dhakari ndefu au fupi ni mengineyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…