Upendo kitundu
Member
- Dec 17, 2022
- 73
- 46
Leo nikiwa kwenye mafunz fulani,nilikutana na hili somo nkaona nisiache kuliandika humu:
Mnaweza pia kulisoma kupitia Upendokitundu ndani ya masaa 24 tu.Ukikuta kuna matangazo utapaswa kuyasoma,kutazama video,ndipo utapelekwa kwenye blog au somo moja kwa moja.
1.Kuomba.
Njia hzi ni kwa wale walioshindwa kujua sehemu pa kuanzia.Unaweza ukawa na mtu anayekuelewa,kisha ukamuelezea wazo lako au jambo unalohitaji kulifanya na akakusaidia.
Inapaswa kuomba kwa watu wako wa karibu,msaada pindi utakapokwama.Watu hao wanapaswa wawe wamekuzidi kipato na kimaarifa pia.
Hupaswi kuomba msaada kwa watu ulionao sawa,kifedha na ki maarifa.
Kwa maelezo zaidi tembelea: Upendokitundu
2.Kutafuta.
Unapaswa kuchukua hatua ya kuanza kutafuta,kwakua kinachofuata hakijulikani kilipo sasa anza kuzitafuta fedha mahali zilipo.Kanuni huwa ni ikiwa umepata msaada kutoka kwenye kanuni namba 1.
Kwa maelezo zaidi tembelea:Upendokitundu