Kanuni na taratibu za kuanzisha huduma ya Upelelezi binafsi (PI) Tanzania ni zipi?

Tafuta connection nenda jkt kapate mafunzo hata short time upate cheti cha ujasiri[emoji28][emoji28] kama hukupata form6.

Then kama itawezekana pata connection ya jeshi, yaan kapate mafunzo yoote huko kuna cozi nyingi na ngumu kuzimster ni vile tu mnachukulia hilo jambo kiwepesi ,

Kuwa mpelelezi kunahitaji akili na uwezo mkubwa wa kiushindani, kuna aina nyingi za fani ktk upelelezi
[emoji117]wanaoshughurikia na makosa ya mitandaoni
[emoji117]wanaoshughurikia masuala ya uchumi, masuala yote ya mbinu za kupambana kuinua uchumi, ama sababu znazozuia uchumi ndani na nje ya nchi
[emoji117]masuala ya usalama wa taifa, naisi wengi mmelikazania hili tu, bila kujua usalama wa taifa ni kakitengo tu kaliko ndani ya idala nzima ya upelelezi.
[emoji117]masuala ya uhamiaji
[emoji117]masuala ya mahusiano ya kimataifa
[emoji117] masuala ya kutekeleza mission mbalimbali nje&ndani ya nchi, na hapa ndipo wanakuwepo wale wazee wa kupewa kazi kwenda kumshughurikia mshukiwa fulan wa uhalifu kisiri(wasiojulikana) na hawa huwa na mafunzo maalum ya mission za aina hii maana hutumika kwa kuzuia mkwamishaji kwa kuangamiza, kuumiza, ama kuzuia jambo fulan la kijambazi,kigaidi, madawa ya kulevya,
hawa ndio huwa na mafunzo ya ukomando pia hawa wengi huwa ktk kitengo cha usalama wa taifa.

[emoji419]note: kila kitengo huwa na wafanyakazi/ maintelejensia kulingana na idala, mfano hao wa kuhusika na mitandao hawahitaj kuwa na minguvu mingi, bali akili na elimu kubwa ya IT na mengineyo, pia hao wa usalama itategemea na mission gan, lkn elimu na uwezo mkubwa wa akili ni kigezo kikubwa, sjajua kwa nchi yetu, lkn huko majuu hawa maintelejensia huchukuliwa ktk tahasisi mbalimbali za elimu(vyuo vikuu), vyuo vya kidini, makambi ya majeshi, itategemea na uhitaji.

Mfano wew umesema unataka kitengo cha ushushushu yaani ukusanyaji taharifa, sasa itategemea na taharifa gani unahitaji na kutoka kwa nani na chanzo kipi,[emoji28], mybe tufanye kuna uhitaji wa kupata taharifa kutoka kwa genge la wanaohusika na human traffic (uuzaji binadamu) sas unazan kukutana na hawa watu wakugundue unaiba taharifa zao watakuacha salama? na je umejipanga vipi kujitetea kupambana nao kama huna mafunzo maalum?,[emoji28]

[emoji116]
Waombe huko jeshini ukibahatika upate mafunzo kwa mkataba kuwa huendi kule kwa lengo la kuajiriwa na serikal kuwa mtumishi bali kupata mafunzo binafsi.

Ukikubaliwa na baada ya kumaliza tafuta team ya wanasheria waliosajiliwa ungana nao muunde taasisi yenu ya kujitegemea nawe fanya usajili ilo kundi lenu ukiwa kama detective wa kujitegemea, taharifa zako zitasaidia sana jeshi la polisi dhidi ya hujma na uvunjaji wa sheria nchini.

Kwa msaada zaidi watafute wasomi wa sheria watakujuza zaidi
 
Hongera Sana mkuu,umempa ufafanuzi wa kutosha.
 
Back
Top Bottom