Kanuni ya 10%: Jitahidi uishi

Yani starehe iwe 10% tena? Huku inatakiwa kuwa angalau 30%.
Ukipata 100,000 20% weka akiba 50 fanya matumizi na maendeleo 30% kula raha.
30% ni nyingi sana.. kwenye starehe.

Imagine unapokea 1m then 300k yote unaipeleka kitambaa
 
Kwa hiyo nikilipwa mshahara wangu wa laki 5 na thalathini, nitenge kama elfu 50 hivi niende sinza Mori pale nitafute huduma ya full body massage. Nikitoka pale kama nimezaliwa upya vilee
 
Kwa hiyo nikilipwa mshahara wangu wa laki 5 na thalathini, nitenge kama elfu 50 hivi niende sinza Mori pale nitafute huduma ya full body massage. Nikitoka pale kama nimezaliwa upya vilee
Yeaah.. sasa hutakiw kuimaliza hela yote hiyo 10% kwa mara moja.. ingawa ni sawa pia.

Just tenga 10k kale vzr sehemu.

Chukua 30k katafune vile vikuku vya kienyeji pale SINZA.

chukua 10k nyingine vuta kilimanjaro zako hapo zishindilie.. ukalale.
 
Nimekuelewa vizuri sana ndugu yangu, kwamba inatakiwa tuishi kweli kweli siyo muda wote tunawaza tu
 
Hii Ingekuwa kweli basi walokole wangekuwa matajiri sana...

Unatoa zaka 60% kwa hawa mitume na manabii hawa wa mwendokasi hawa? Labda [emoji16][emoji16][emoji16]
Hawatoi ndomana Si matajiri,

Au wanatoa Kwa manabii wa UONGO wenye madhabahu ya shetani,

Ukitoa Kwa Nabii wa uongo Kila kitu kitakufa,

Maana kuzimu au kaburini hakuna uhai kule.
 
Hawatoi ndomana Si matajiri,

Au wanatoa Kwa manabii wa UONGO wenye madhabahu ya shetani,

Ukitoa Kwa Nabii wa uongo Kila kitu kitakufa,

Maana kuzimu au kaburini hakuna uhai kule.
Yupi wa UKWELI yupi wa UONGO???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…