Kanuni ya 10%: Jitahidi uishi

Kanuni ya 10%: Jitahidi uishi

Hii rule ipo kwenye nyanja 5;
1. Kibinafsi
2. Kifamilia
3. Kiimani
4. Kikazi
5. Kimahusiano

Naomba nizungumzie kwa upande wa Kibinafsi na Kiimani.

Sisi binadamu tumekuja Duniani kuishi na kumuabudu Mwenyezi Mungu. Basi tujitahidi katika kuishi Tuishi kweli kweli na katika Kuabudu tuabudu Kwelikweli, 10 percent rule inataka hivyo.

Mimi binafsi kwa kila hela inayoingia natenga 10% ya kufarahia maisha (Starehe). Natenga 10% kwa ajili ya Sadaka na mambo ya kijamii, ambayo kiimani inaitwa Fungu la Kumi. 80% zingine nazielekeza katika mambo mengine ambayo sitayaweka wazi.

Nakushauri kama kijana mpambanaji kila hela unayopata basi tenga 20% pembeni. Ambayo 10% inaenda katika starehe na 10% inaenda katika Sadaka na Jamii. Hela yoyote upatayo iwe kihalali au kwa wizi hii rule itakusaidia sana.

Nakuasa kuanzia leo tekeleza 10% percent rule, watu wengi wanafariki/kufa bila kuishi maisha. Just enjoy maisha, tenga 10℅ kwa kila kipato chako kufurahia maisha hapa Duniani.

Haujui siku yako ya kufa utaacha hela nyingi (labda) watu watagombania na kuzitawanya. Muda huo wewe hujazifaidi hela zako. Faidi hela zako kabla haujafa, kifo kipo anytime.

Ukipata 100,000 tenga 10,000 ya starehe, tenga 10,000 nyingine ya Sadaka.

Ikumbukwe sadaka sio lazima uipeleke Msikitini au Kanisani, unaweza mpa mtu yeyote ambae unahisi itamsaidia kwa lolote. Faida yake ni kubwa kuliko hicho kidogo ulichotoa.

Kuna watu wanafanya kazi mpaka wanakufa hawajawahi kuishi.
NAKAZIA
 
Mzee wa kabobo! Man of the people
 
Ila wengi ni WAONGO na ni wezi. Mmoja wao ni yule aliyeiba Mke wa Mtu kule Kaskazini
Ukithibitisha Kiongozi wa kiimani ana TABIA ya kuzini na waumini,

Au ukiona kiongozi wako ndotoni anazini,

Kimbia , toroka huko haraka sana, ni WA UONGO.
 
But TAFSIRI ya ndoto ni fumbo.. unaweza kuota KIFO kumbe tafsiri yake ni KUPANDA kwa Cheo.

Je kumuona mtu anafanya mapenzi ndotoni maana yake ni hivyo hivyo.?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wizo niwacheeeee puliiiiizzz
Nacheka mpk machozi khaaaaaaa [emoji119]
Bro angu anakupatia sana inaelekea
Wizo Bro wako anayaweza jamani, sio kwa hili sebene analonipa mpaka mtoto wa kike nashika adabu khaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85]
 
Back
Top Bottom