pesa ni katalisti kwenye mapenzi.
hakuna mwanamke anaweza mvumilia mwanaume ambae hana hela.
Acha tu...... Kuna Muda mnahitaji pesa kwenye mapenzi yenu ili mutoke sehemu moja kwenda nyingineMapenzi bila hela machungu sana. Unaweza kuwa na mwanaume/mwanamke mzuri ukamuona kama mbuzi [emoji23]
Sana yaaniAcha tu...... Kuna Muda mnahitaji pesa kwenye mapenzi yenu ili mutoke sehemu moja kwenda nyingine
Sijasoma ''... na wala sitaki kusoma. ..Umesoma dini?
Kwasababu WANAWAKE wa huko hawana OPTION...
Ila wakishuka masela wenye HELA zao WANAWAKULA VIZURI TUUU...
Basi wewe sio saizi yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijasoma ''... na wala sitaki kusoma. ..
Basi wewe sio saizi yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mapenzi hayana kanuni.Hao tunaotafuta pesa nakuwapa/kuwahonga niwale wanawake wenye shida namaisha yachini au vipato vyao ni chini yavyakwetu watoaji sasa kanuni yako haiwezi kutumika kila mahali kwasababu wako wanawake wenye vipato vyao vyamaana na wanatoka na wanaume wenye vipato vyakawaida au vyachini sana.Ninachokijua nikwamba wewe kama mwanaume mwenye mamlaka yakuwinda nakumiliki windo lako unatakiwa uwe na mbinu zaziada zaidi ya kile unachowinda au kukimiliki.
Inapwaya?
Ndioooo
Men are hunger for PUSSY..Nikki Mbishi - Pesa Kwanza
Women are hunger for money...pesa ni katalisti kwenye mapenzi.
hakuna mwanamke anaweza mvumilia mwanaume ambae hana hela.
We Never Walk Alone...Write your reply...sawa Mr liverfool